Kunguru Mjanja
JF-Expert Member
- Aug 22, 2012
- 2,038
- 3,931
Serikali ya CCM ya awamu ya Tano imekopa $500m kutoka Benki ya CreditSuisse ya Uswiss Kwa riba kubwa Sana. Sehemu ya Fedha hizo zimetumika kulipia Ndege ambazo Serikali inanunua. Wavuvi wa Migebuka Kigoma watahusika kulipa deni Hilo kupitia kodi zao.