Zitto: Wavuvi wa Migebuka Kigoma watahusika kulipa deni la benki ya CreditSuisse ambalo Serikali ilikopa kununua ndege

JPM tumekusikia wanakigoma,ndege zenu hamkununua kwa kubadilishana na migebuka wala dagaa.Sisi wavuvi wakigoma acha tuendelee kuvua migebuka,dagaa na mawese maana tumesoma kwa vitu hivyo.

Lakini nakuasa tu usijaribu kwa Zitto Kabwe kufanya kafanya ulivyomfanyia mwanachadema.Sisi huku Kigoma hatuna smg,bastola wala AKA 47,wala gobole huku tunu yetu ni wazee.

Tunajua unaijua kigoma vizuri basi tunaomba utuheshimu nasi tutakuheshimu.Sisi niwanakigoma hatukubali kuzurumiwa wala kukashifiwa.Sifa yetu kuu tunaamini moto dawa yake nimoto,SMG dawa yake niwazee kwahiyo tunaomba utuheshimu nasi tutakuheshimu.
Haya maneno ni ya mtanzania kweli!
 
Huyu Muha akili zimehamia kwenye madevu yasioshwa, na anachokitafuta kipo kingi atapewa mpaka kimshinde, alewe na alale mahala afurahi aendelee kurukaruka kama maharage
 
Huyu Muha alipoona wenzio wamekula vyeo akawa na kazi ya kusifia t huku akijua Wizara flan inamngoja alipopigwa chini naona shuzi zinamtoka tu kama kavimbiwa na maharagwe ya wapi sijui
 
Zitto usiendelee kumuumbua dikteta tafadhali. Huyo jamaa hataki hata kuambiwa ukweli. Jiangalie la sivyo yatakukuta ya Lissu.
Naona kila dalili za zitto kukamatwa muda si mrefu!! Ninachoamini zitto huwa hasemi uongo!! Ukiacha hilo la mkopo na hizo pesa za mashirika sijui kama utakuwa salama zitto.Mungu akulinde.
 
Hapo ndipo zitto anaonekana mpuuzi.
hao wavuvi wake wa mgebuka kwa kutumia ngalawa wanalipa nini wakati ushuru wao unaishia halamshauri tu.
Ukiona chama cha watu wapuuzi kama chadema wanafukuza mtu ujue huyo mtu hafai hata mbinguni
 
View attachment 615135

Serikali ya CCM ya awamu ya Tano imekopa $500m kutoka Benki ya CreditSuisse ya Uswiss Kwa riba kubwa Sana. Sehemu ya Fedha hizo zimetumika kulipia Ndege ambazo Serikali inanunua. Wavuvi wa Migebuka Kigoma watahusika kulipa deni Hilo kupitia kodi zao.



Jamaa muflisi siku hizi. Anasubiri tukio gani litajiri ili apate kuondolea frustrations zake za kukimbiwa na wanachama
 
Watz watu wa ajabu saana kuwahi kutokea nchi za maziwa makuu, zzk ametema cheche, ameeleza kwa fact na ameahidi kueleza kwa fact, tumemshangilia kwa sauti kubwa na kumsifu kwa ujasiri wa kitaalamu.Leo hii kapigwa bango na mkulu kila mtu anamshushua zzk hapa, dah! Ivi tutafika jaman???
Tusiwe ivo wakuu!
 
!!Kuna mtu naona anamsomea pindi watu fulani wakiandika sidhani kama ana muda wa kufuatili hivyo!!!
Kama anapata muda wa kuangalia shilawadu, atakosa wa kusoma tweets za watu? Hana kazi pale Ikulu! Ndiyo maana anazidi kunawiri; haumuzi kichwa wala akili juu ya umaskini uliokithiri wa watanzania! Yaani viongozi wa kiafrika uwa wanaingia madarakani wakiwa wamepauka kweli, ila wakiwa madarakani wanatakata na kung’ara. Viongozi wa nchi zenye watu (siyo maiti kama Tanzania) viongozi uingia madarakani wametakata, wakiwa madarakani upauka na kuzeeka ghafla hata kama ni vijana. Wakistaafu ung’avu wao urudi. Huwezi kutoka kitambi na mashavu kama unaumiza akili ya namna ya kupambana na umaskini wa wapiga kura wako; au pale unapoongoza taifa lenye watu wanaojielewa na kujitambua.
 
Nimemsiikia leo JPM wakati anatoa vyeti kwamba FUEZA ZOTE ZINAZOJENGA RELI YA SGR, BOMBADIER 6,MRADI WA STIEGLER GORGE,MELI ZIWA VICTORIA NI FEDHA ZA NDANI KWA MAANA ya makusanyo 1.3T kiilla mwezi toka TRA.....!Ndo kusema
GHARAMA ZA MRADI WA S.GORGE NI 7.0T sawa na makusanyo ya miezi 6.....!!!
TAFAKARI......!!!
 
Back
Top Bottom