Zitto: Watanidharau, watanicheka, watapambana lakini nitashinda!

Naona ZZK anataka kutumia media kuingia Ikulu kama JK 2005, kazi kweli kweli...
 
ZZK ndugu yangu mbona ghafla mabadiliko? Umelipwa bei gani kuja kuvuruga? Lakini leo ninakuapisha mbele ya Mungu kama una mpango wa shetani!! wa kutumwa kuvuruga basi hutofika popote!!

Kwa sababu mpango wa ukombozi wa TZ ni mpango wa Mungu. Na soma katika vitabu vyote yaliyowapata wale waliojaribu kuingilia mpango wa Mungu!! Tafadhali sana!! tulia uongozi utaupata na hata urais!! Lakini kwa mtindo huu wa kuwafanya hata maadui wa CDM wakachekelea hutosamehewa believe me!!
Hiyo makala ina uvurugaji gani? Tusipofushwe na chuki binafsi.
 
ujana unamsumbua..ona wazee walivyotulia..wanajipanga taratibu mpaka muda mwafaka ndio watu wataanza kujitokeza
 
Sijaelewa hapo mpango wa ukombozi ni mpango wa Mungu, yaani hii M4C ndio mpango wa Mungu, Mungu yupi huyo wakati serikali haina dini au CDM ina dini, pananitatiza hapo
Mkuu kutokuwa na dini siyo kutokuwa na Mungu. Hakuna mpango wowote utakaoweza kufanikiwa bila MUNGU. Na huu siyo "UDINI"
Hapa sijahubiri UDINI au kama utapandikizia kama tabia yenu ni DINI gani hapa!!.
Kitakachoiangusha CCM siyo M4C ni MUNGU tu. Hivyo ninarudia huyo ZZK kama ataenda kinyume cha mpango wa MUNGU ni lazima ataionja adhabu/laana tu!!
 
Kwiwkiwkwiwkiwkwiwkwiwkwiwiwiwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiikwiwkwiwkwiwwiwkwiwkwiwkwiwkwiwikwiwiwiwkwiwkwiwkiwkwiwwkwiwkwiwkwiwkwiwiwiwiwiwkwiiwiwwiwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiikwiwkwiwkwiwiwwiiwiwwiwiwiwiwiwiwiwiwi kele wwoooooooooooooooooooooomiiiiiiiiiiiikwkwiwkiwkwikwiwwkiwwkwiwkwiwi Zitto
Huna jimpya wewe kicheko chako kina fanana na cha......................ikina mshutoko kwa vi baba kama zitto.
 
Last edited by a moderator:
There are 224 guests browsing this thead.napita tu naelekea Sumbawanga
 
Ni makala nzuri sana hii toka kwa Zitto.
Hoja yangu kwa Zitto ni moja tu kwamba ajitahidi kufanya kazi yake chini ya mwavuli wa chama chake kadri inavyowezekana.
Mara nyingi anasimama na hoja zake kama independent candidate hivyo kuwa rahisi kushambuliwa na adui hata kushindwa.
Hoja zako ni nzuri na zenye mlengo wa maslahi mapana kwa nchi yetu, usichoke kuyasema haya hata kama waziri anayeboronga ni profesa wa uhai.
 
Last edited by a moderator:
Kumuelewa ZITTO you need to dust yourself, come with clear mind. Go on Zitto but it will be better if you do all these under you political party. Yet all is well.......
 
Jamani zzk kajadili hoja nzito! Hebu someni kwanza and then mjadili hoja mezani! Anaweza akaw na mapungufu! hili yko wrt
 
Katiba ijayo ni muhimu kumtambua Mgombea Binafs!.
La sivyo tutawapata akina Mtikila wengi na ninaona ZZK anaelekea huko!.
 
Kuwa mshauri wa uchumi wa nchi fulani siyo sababu ya kukufanya ukubalie zzk.
 
ZZK=zana za kilimo i.e anatumika na mafisadi kwa malengo ya kudhoofisha CDM..hawa watu mwisho wa siku wanaumbuka vibaya au wanakufa kifo kibaya.Ni Traitor! Ana uchu wa madaraka kama edward Lowassa!

jifunze kuchangia maoni yako baada ya kusoma makala na kuelewa.
 
msaliti na ndumilakuwili mkubwa huyo ZZK........lakini kwa uweza wa MUNGU aliye hai atashindwa kwa aibu kubwa...kijana amejaa tamaa ya mafanikio ya haraka...simwamini huyu kiumbe
 
"Ni rahisi sana mimi kuweza kuona suala linalosemwa na serikali linasemwa tu au serikali inamaanisha? Katika suala la mapitio ya mikataba kwenye sekta ya madini na mafuta kwa kweli serikali haipo makini." Nimeipenda hii, nakupa heko Zitto.
 
Back
Top Bottom