Zitto: Nitagombea Ubunge 2010

Mtimti

JF-Expert Member
Feb 23, 2008
942
644
Zitto kabwe ametangaza kugombea tena ubunge katika jimbo lake mwaka 2010 na hivyo kufuta ile kauli yake ya kuachana na ubunge. Namwomba MWENYEZI MUNGU ampe nguvu/siha na afya njema ili aendelee kuwawakilisha watanzania wenye uchungu na nia njema na nchi yao

MUNGU IBARIKI TANZANIA NA WENYE MAPENZI NA NCHI YAO NA UWAUMBUE MAFISADI NA WANAOLIPELEKA PABAYA TAIFA LETU

Source: Kulikoni.
 
Zitto ww si memba humu JF?? watu wana kuzulia hapa,kwanini tuandikie mate?? njoo mwenyewe useme hapa kama umebadili msimamo wako. PLZ
 
Zitto ww si memba humu JF?? watu wana kuzulia hapa,kwanini tuandikie mate?? njoo mwenyewe useme hapa kama umebadili msimamo wako. PLZ

ndio maana nikaweka source,acha kukurupuka na kuandika kisichoeleweka
 
Nasisitiza Zitto ni memba hapa(kama ndo ww mtimti sawa) aje hapa kwa jina lake aseme kama alivyokuja kutetea uamuzi wake wa ku'ngatuka, magaazeti yanaandika mengi Mkuu, hatahivyo sijasema kuwa ni uwongo!
 
nakubaliana na wewe,akipata nafasi aje atuhakikishie maana kama ulivyosema.pamoja mkuu
 
Kwa tamko hilo tu na source hiyo mimi nina furaha maana Zitto unatia uzito mjengoni bwana .Safi sana na hata mchango wa mafuta sisi tuko tayari .
 
Nothing new.... mshahara wa 10,000,000 sio mchezo.

Talk abt staki nna taka!
 
Inatia matumaini. Ni uamuzi mzuri na kwa ustawi wa upinzania Tanzania. Hongera kwa kubadili uamuzi wako Zitto
 
Inatia matumaini. Ni uamuzi mzuri na kwa ustawi wa upinzania Tanzania. Hongera kwa kubadili uamuzi wako Zitto

Mkuu inatia matumaini sana, binafsi nilisikitishwa na kauli ile kwamba hagombei, na hakika mafisadi walisha kunywa bia na kusherehekea kwamba walau wata pumua!

Sasa ole wenu mafisadi, Zitto atakuwepo, achilia mbali damu mpya itakayo tinga humo mjengoni patakuwa hapatoshi. labda ardhi ipasuke mtumbukie, tutafukua hadi makaburi yenu!
 
naombeni kujua utaratibu mpya utakuaje maana naskia hakutokuwa na viti maalum.. So what system will replace it?
 
Source: Kulikoni.
Kama kweli Kulikoni waliandika kuwa Zitto atagombea "Jimboni mwake" (wakimaanisha Kigoma Kaskazini) basi watakuwa wamekosea, si huko tena! Lakini, muda muafaka ukifika atakuja 'mwenyewe' ndani ya JF kuwafahamisha ni Jimbo gani atagombea na sababu hasa za maamuzi yake.
 
Atagombea jimbo la Kawe. ? .
 
Ni umamuzi wa kipuuzi,kwani alikwisha sema anang'atuka sasa anafutaka kalui.

Kwa maoni yangu hata matamuashi yake ya leo anaweza kuyakana tena,kisha kuyafuta nk

haifai.
 
Kama kweli Kulikoni waliandika kuwa Zitto atagombea "Jimboni mwake" (wakimaanisha Kigoma Kaskazini) basi watakuwa wamekosea, si huko tena! Lakini, muda muafaka ukifika atakuja 'mwenyewe' ndani ya JF kuwafahamisha ni Jimbo gani atagombea na sababu hasa za maamuzi yake.

Hivi kuna ukweli na haya 'Matamshi ya wakuu' ?
Rorya?
 
Ni lipi la kifisadi aliloliibua Zitto ambalo wengi mnadhani ni wa muhimu kiasi hicho yeye kuwepo BUNGENI? Au ni ule ubishiubishi wake wa watu wa KIGOMA kama akina KADUGUDA wa Simba?
 
I thought Zitto Kabwe was only bluffing when he announced that he would not run for Parliament in 2010. He has been a real thorn in the flesh of the CCM government in spite of his youthfulness.

Mafisadi take note that there will be no letup in the forthcoming Parliament. Zitto, uzi ni ule ule. Hakuna kulala, mpaka kieleweke!
 
Zitto hana lolote la ziada katika siasa!ameshajizika kisiasa.
Mimi naungana na WilCard!

wana jf wengi wameamua kufa nae,na hakika MTAKUFA NAE.mzimu wa dowans 'unamtafuna'.blood cash za RA zitamuondoa kabisa kabisa kwenye ramani ya siasa
 
Back
Top Bottom