magindu
................... Uliyoandika yako ktk red, majibu yangu ktk bold black
1.
Ulitaka kusema nini hapo? Mwaka 2000 Zitto alikuwa Bungeni? Kumbuka tu huu ni muhula wa pili wa Zitto Bungeni, labda uweke vizuri hoja yako.
2.
Je, hapo unataka kusema hiyo ni achievement?
3.
Hapo ndipo Zitto alipoanza kutoka nje ya mstari. Ule ulikuwa ufisadi katika gift wrapping-paper!
4.
Zitto hawezi wala hastahili kuchukua credit peke yake kama unavyofanya. It was a collective effort by CHADEMA, and him was (then) part of CHADEMA.
5.
Hapa umejipambanua vizuri kuwa una uwezo mdogo wa kufikiri na kuchambua mambo. Pia unasumbuliwa na chuki na ubinafsi.
6.
Nauliza tena hiyo nayo ni achievement?
7.
Rejea Namba sita hapo juu.
8.
Ok, je mpango ulifanikiwa kiasi gani? Ulishindwa kiasi gani? Kwa nini?
Kwa maoni yangu, kwa vile Pinda bado ni PM, Prof. Maghembe, Malima, Nyalandu, Ghasia, Mkuchika na wengine bado wako kwenye Baraza la Mawaziri.....mpango mzima wa ile kitu haukufanikiwa. Ukitaka nitakupa sababu zaidi.
9.
Umesikia vizuri yanayojiri kuhusu ishu nzima au umekurupuka tu? badala ya kuwa sifa inaweza kuwa na matokeo ambayo sio mazuri kwa Mhe. Zitto.
10.
Hoja hii dhaifu inahitimisha propaganda zako kidhaifu. Eleweni tu kuwa CHADEMA haiwezi kuharibiwa na watu dhaifu kama wewe. Natia shaka kama Zitto ataunga mkono hoja zako hizo mfu, zisizo na mashiko.
My Take:
Kwa hali ya propaganda na kuchafuana ilivyoshika kasi ktk siasa za Tz, ni busara mods mkatafuta mapema namna ya kuratibu mambo haya. Nashauri mngeweka jukwaa la siasa za maji taka.
jadili hoja nilizoweka hapo.
wabunge wako wasio wanafiki wamesimamia nini tangible mpaka hivi leo?
Ushauri wa bure: Man You know the words BUt you miss their meaning!! in life katu usipende majibu mepesi kwa maswali magumu! unaongea as if ZZK alitarajiwa awe zuzu wa kupiga makofi tu Bungeni and therefore aliyoyafanya is a favour to the this nation state! la hasha!
Na wala usichukulie kwamba criticism zinazomuandama zinalenga kumdidimiza au mizengwe fulani, hivyo ni vijembe na uswahili tu usio na mshiko but for the purpose of this debate I will ignore that with the contempt it deserves!! Kuwa public figure carries its own baggage; worse still mtu anapo stand out na kuwa "maarufu" kama ZZK; you open yourself to sucker punches! if you get what i mean!?
You become a source of news or news itself, and people will have opinions about your every utterances, you will be ridiculed, criticized, lampooned, caricatured, mimicked, quoted and what have you! sasa kama kila watu wakiwa na mtazamo tofauti na wewe basi ni mizengwe ya kukumaliza, then you dont have what it takes; the fire to be in the public domain, ZZK quit kauze migebuka kule kwetu! afterall who said ZZK ni St Jibril; (Mt Gabriel)??!!
Na kwa hiyo hawezi kukosea au watu wote are supposed to see the world through his eyes and view only, have we all become automatons, heterogeneous, that silly?
The world or Tanzania does not revolve around Zitto's head, he is and will remain a mere mortal, indespensable for that matter, Walikuwepo watu maarufu na waliofanya vitu vikubwa zaidi ya ZZK na kwa muda murefu zaidi ya ZZK, waliondoka na ZZK ataondoka lakini taifa Mama Tanzania litabaki and there will emerge wengine pengine bora kuliko ZZK.
Kaka Zitto katu asijiaminishe kwamba yeye single handeddly ataweza kuibadilisha Tanzania, shurti ajifunze kuwa team player; tendencies za kutaka ku-outshine and outdo wenzie zitamponza na pengine kumaliza safari yake katika medani za siasa mapema kuliko ambavyo anatarajiwa na watanzania wengi.
Pengine tumshauri isifikie mahali asije ZZK akaondoka with nothing to show for his troubles!! sometimes kuwa a good listerner ni bora kuliko kuwa msemaji sana kwani anajinyima fursa ya kunufaika kutoka kwenye maoni ya wenzie.
Nimekuwa nikusubiri kwa hamu sana kusikia majibu ya Mbunge wa kigoma kaskazini Mh.Zitto zuberi. dhidi ya tuhuma za kuhususishwa na rushwa. Mbunge huyu kwa majibu yake ninauhakika atakuwa amewajibu watanzania walio wengi kwamba yeye ni mtu makini,msafi na anajiamini na misimamao yake.
Kwa yeyote mwenye dukuduku kwamba Ooohhh zitto nimla rushwa ameambiwa aende mahakamani,au aungane na chama chake,au afanye chochote kama kuunda tume aende akamchunguze kwamba yeye ni mla rushwa.Otherwise ni uzushi wapuuzi flani walioamua kupandikiza chuki ili washushe hadhi yake kisiasa.
Moja kwa moja kwenye Hoja,mwenendo wa CHADEMA kwa siku za karibuni unaonekana kwenda mrama hasa katika maamuzi na kenye utendaji kazi pamoja. Mh.zitto kabwe amekuwa ni moja wa viongozi wa juu pale CHADEMA ambaye amekuwa akianagaliwa kwa jicho la husuda na viongozi wa juu wa chama,hasa jicho hilo limekolea mara baada ya kutangaza nia kuwania urais mwaka 2015.
Viongzoi hawa licha ya kutuhumiwa na kashfa kama hivi ambazo ni hatari kwa mstakabari wa chama na taifa kw aujumla kama watanzania tutakuja kosea tukawapa nafasi za kuongoza nchi yetu.mfano wa kashfa ambazo majibu yake yalkishawahi tolewa hapahaopa jf ni kama
KATIBU MKUU WA CHAMA_TAIFA
Anakashfa zifuatazo ambazo majibu yake yapo(ikibidi kuyaleta yafika) na amewahi kukili hapa JF kipindi flani alipobanwa na wadau hapa Jf.
1.Kumlipa posho ya tsh;280000 mfanyakazi wa ndani kila siku anaopokwenda kwenye kesi arusha..pesa hiyo ni ruzuku ya chama.
2.Kujikopesha fedha za kujengea nyumba Kunduchi( nyaraka tunazo na majibu alishatolea hapa-bahati mabyaa sana waliokopeshana mmoja wao ameshamfukuza).
3.Kulipa kodi kwa mwezi zaidi ya Millioni Moja kupitia ruzuku ya chama pale kijitonyama alipokuwa naishi awali(Abla apartment)
4.Kukopeshana pesa za uchaguzi na mbunge wa iringa(viti maalumu) na kupanga matokeo ya uchaguzi huo..mgogoro hadi leo haujaisha pale iringa
5.kumufukuza/kwafukuza viongozi wa mbulu na Shunyanga kwa sababu tu walmeonekana wakiunga mkono sera za ZZK
6.Kufukuza kazi wakurugenzi bila kufuata kanuni ilimradi nafasi hiyo akabidhiwe Joseophine(mama Joniour)
7.Anakashfa ya kujilipa mshahara wa Million 7 kwa mwezi,ili hali katibu mkuu wa mkoa,wilaya,kata hapewi hata cent moja ya posho wala mshahara.
MWENYEKITI
Yeye anakashfa ya kukiuzia chama magari mabovu kwa bei ya dukani,Pia kujikopesha Million 300 kwaajili ya matumizi yake,Kuchelewesha na kupitisha vifaa vya chama bandari ya kenya vikitokea china,Nabaada ya hapo nusu hushuka Arusha na Kiasi kusambazwa mikoa iliyobaki hali inayosababisha kuishiwa kwa vifaa upande mmoja wa nchi.
Pia kukwepesha pesa iliyotengwa kwa ajili ya ujenzi wa chuo kibaha. (ikumbukwe majibu ya kashfa hizi yapo na katibu mkuu alikili wazi hapa JF kwamba ni kweli).
Kutokana na uchafu kama huu ni dhahiri si rahisi kwa watu hawa kupikika chungu kimoja,Kilichotokea ni kwamba wabunge na baadhi na viongozi hawa wameunda mtandao ambao umelenga kujiimarisha kisiasa na kuzika siasa za kijana huyu wa kigoma.
ZITTO Alipotangaza nia ya kugombea urais,ameukwa akiwekewa vikwazo vya kila namna juu ya kufanya mikutano ya hadhara.
Ndio maana unaona Zitto hapewi nafasi ya kufanya mikutano ya hadhara kwa sabau ya kwamba hakuna pesa, lakini wakati huohuo kunawatu wanazunguka na CHOPPER nchi nzima kwa lengo moja la kuimarisha na kutafuta wajumbe wa mkutano mkuu watakao kuwa upande wa kaskazini.
Sasa kwa mazingira kama haya wala usishangae akina Nassari wanavyosimama Bungeni na kumuomba spika wa bunge aivunje kamati ya zitto kwa madai kwamba imejawa na rushwa.
Zitto anafanya siasa za kishujaa kicha ya maadui wake kuwa wengi,lakini YEYE ANASEMA HATO SALIMU AMRI MBELE YA WATU WAOVU KAMA HAWA.MWISHO WA SIKU ZITTO ATAFUNGA MLANGO THEN TUZUNGUMZE KWA VITENDO
NI hatari kwa chama kama kweli wabunge wa ccm na chadema wanafikia hatua ya kuungana kwa lengo la kumdhalilisha zitto kwa sababu tu haivi na top head's.
Jf Jukwa huru nawasilisha.
usijali ndugu yangu tumeshawabaini na tutawadhibiti.nimepitia comment hapa lakini nlichogundua wengi wanaompinga zitto hawana hoja wala ushahidi wanayoyasema wala wanayoyaamini'
Zitto kaweka kila kitu wazi tena kasema mwenye ushahidi juu yake kwa yanayosemwa atoe sasa hapo ubishi wa nn? Zitto ni kimbunga cha ukweli big kaka zitto tuko pamoja wewe kwangu ndio mwanasiasa pekee wa mfano kwa nchi kama yangu sijaona anaekukaribia acha kukufikia
umeongea vizuri sana mzee wanguNimesoma hizi threads, ambazo wengi wa wachangiaji wanaonekana ni wanaCDM, nikawa na wasiwasi sana. Wasiwasi wangu unatokana na dalili za wanaCDM kugawanyika katika makundi kuhusu Zitto.
Kama muasisi wa Chadema na Mwenyekiti Taifa (mstaafu), nafarijika sana siku hizi kuona jinsi chama kinavyokua na kuleta matumaini kwa Watanzania kwamba siku za kutekeleza sera zetu za ukombozi zinakaribia. Kwa hiyo ni lazima kila mzalendo wa kweli afanye lolote liwezekanalo kuleta umoja ndani ya hiki chombo muhimu cha ukombozi. Zitto Kabwe akiwemo.
Katiba ya sasa kwa bahati mbaya, haimruhusu Zitto kugombea 2015 kwa vile umri wake utakuwa ni chini ya miaka 40.
Umakini na uzalendo wa Zitto ni obvious kutokana na michango yake Bungeni na kushirikiana kwake na umma kwa jumla. Ninachotaka kusema ni kwamba chama chetu ni muhimu kionekane ni imara, na kwamba hata mwanaChadema mwingine akipata fursa ya kuongoza nchi 2015, Zitto anaweza kupata fursa ya kushiriki naye serikaleni, kupata uzoefu, akamrithi kipindi cha baadaye.
Mkuu umenena,kijana kayataka mwenyewe,unajua unaweza ukawa mjanja sanaa ukawa na uwezo wa kujieleza lakini kumbe ni mnafiki inamsaidia nini???njia ya mwongo ni fupi,aache kulalama ati anahujumiwa na wana siasa wapinzani asubiri tume ili azikwe kabisa kisiasa.Hizo ndiyo zinakupa upofu wa kutokuona mabaya yake! Huyo Kijana tunamfahamu uzuri! Amechenga katika mengi na kutumia CV yake ya umaarufu mwepesi wa kukataa posho sasa hivi kwa sababu ya rushwa kubwa kubwa. Katika hili haponi, hana "moral authority" tena. Mbona anaweweseka sana na tuhuma. Unataka tutoe ushahidi wa msg zake. Hopeless kabisa acheni kuchezewa akili na wanasiasa uchwara wanaotumia matatizo yetu kuapata umaarufu huku wakituumiza kwa kuwaamini.