Zitto na Kitila wavuliwa vyeo vyote ndani ya CHADEMA

Forget it, but are moving ahead together or you are all among the worthless.

We are moving pamoja..na haya ni maamiz ya dalili za kufika ikulu..sio lowasa kabeba fedha zetu leo anawania uraisi na watanzania wapumbavu wachache wana shangilia.
 
lema mmachame ndugu yake mbowe wamemfanyaje yeye kwa kumpga mwgamba tofali mbele ya mbowe na kumtukana zito au wamachame a.k.a wachaga hawaguswi?????????????????? Duh kweli chadema niliyoiona kama chama mbadala imeshakufa kwa kufanywa saccos ya mbowe na mtei...silaha kwa sababu ya njaa anapelekwa pelekwa tu...tunajua mbowe anajua nguvu ya zitto hana ubavu wa kumfukuza anapma upepo ili achaguliwe kuwa mwenyekiti dn wamrudshe zitto...zitto kaifia chadema kulko mbowe na wezi wa magari kna lema na wacheza dsko waliopo na vijana wengi wanaipenda chadema kwa sababu ya zitto kabwe time will tell subirini muone motto utakaowaka chadema

You are young in every aspect. "vijanga wengi wanaoipenda Chadema kwa sababu ya Zitto". Fire burn the devil, I command fiiiiiiiire.
 
Kwi kwi kwi kwi kwi eti Zitto anatisha!!! MACCM walikuwa wanamuogopa atawazibia njia ya kubaki Ikulu, lakini wakati huo huo ni kipenzi cha MACCM!!! Mashambulizi yote ya MACCM kwa Dr Slaa!!! Go figure!!! Wahi lumumba nasikia MACCM yameandaa ubwabwa kuomboleza mtu wao kuvuliwa madaraka, mchana mwema.






Zitto anatisha! usisikie ya kuambiwa.

Msiwasahau Godbless J Lema Ben Saanane na Yericko Nyerere kuziba mapengo. Hao ni vichwa kweli kweli.
 
Well, it is very interesting. 35 Years in Marriage!! so what makes you happy when other fellows are being unmarried from their political parties?? was expecting you to be advocate for unit in every aspects of our lives??

Being "unmarried" from their parties? never heard of that term before. Sorry, no comments.
 
Mkuu mungi kwani na wewe ni wa kasikazini?? Chadema inawenyewe nawenyywe wachaga na badhi ya watu kutoka arusha, ambao wanatumika bila kijijuwa chadema mnapoteya sana, zito ni mara mia ya mbowe kwenye siasa mbowe ni mtoto kwa zito na ndio maana anatumia nguvu kubwa kumdhibiti anajuwa zito atamshinda. Piya baba mkwee alishasema nani awe mwnyekiti na slaa abaki kuwa katibu, vp hawajajadili pesa za ruzuku zinavyotumika???
 
Mzee Mtei anaanza kuwasaliti watu waliojenga chama.

Follow very closely to see the outcomes. This is just the beginning...

Kwa hiyo kama ulikijenga chama ndiyo ufanye uwezavyo? Dr. Hamza!! we si unaakili na maarifa yakukutosha? ni lini basi utaondokana na roho yakujifanyisha na kupindisha mambo kwa sababu ya interest za kisiasa?
 
tayari amepewa siku 14 za utetezi,nafikiri tunaomlilia tumpe nafasi ya kuzitumia kwa umakini hizi siku za utetezi kulikokuporomosha matusi na kashfa kwa maamuzi ya kikao halali cha kamati kuu
 
hapo kwenye red vijana wengi wapo wapi mkuu unatakiwa kusimama mwenyewe ..... usizungumzie wengine mimi sijawai kusubiri zito aondoke chamani nilikuja mwenyewe na nitaondoka mwenyewe alikuwepo ferguson kaondoka na man u bado inaifunga asenal na wenger wao
hapo ndo pamenifurahisha
 
Tatizo umekariri CCM,unashindwa kuchangia ktk Uzi kwa hoja za mashiko unabaki kutupia lawama ,ifikie kipindi Siasa za ushabiki wa kijinga tuache,Mimi ni CDM damu ,napotoa precaution kama hiyo,nipo kwa nia ya kujenga kwa uchangiaji wa mitazamo tofauti toka kwa washiliki.Hivyo so lazima uandike Kama huna jambo la msingi ni vyema ukakaa kimya,acha wenye kufikiria kwa mapana wachangie

Sasa unatoa precaution wakati maamuzi yameshafanyika, kwa hiyo unataka kusema kuna wakati ambapo haifai kuwachukulia hatua wanachama/viongozi ambao chama kina mashaka nao; kisa eti matokeo? huyo muungwana hakukosea kwenye comment yake, bila maamuzi magumu hatufiki popote nchi hii, hicho unacho suggest hakina tofauti na kulindana kulikoifikisha Tanzania hapa. Nashukuru hauko kwenye kamati kuu ya CDM.
 
Haitaji hata Komuniyo ya kwanza ama kipaimara kujua kwamba Zitto Zuberi Kabwe alikuwa msaliti.. Kama ni kweli Hongera kamati kuu kwa maamuzi magumu na kama ni uongo CDM mnajichimbia kaburi kwa kumwacha huyo kidudu mtu..
 
Baada ya maamuzi haya ya kamati kuu ya chadema ni wazi sasa yale yote yaliyokuwa yanasemwa juu ya chama hiki sasa yako wazi.

Na hii ni kutokana ndani ya chama hicho kila amabaye anajaribu kuwa na mawazo tofauti dhidi ya wachaga ama wakasakazini basi adhabu yake ni kufukuzwa ndani ya chama hicho

Hii inamaana yakuwa kama wewe sio mkaskazini ama mchaga basi hauna haki ya kukubaliana kutokubaliana na wenye chama chao ambao ni wachaga na wakaskazini

Ikiwa na maana rejea kauli ya muasisi wa chama hicho kuwa hatuwezi kumkabidhi chama mtu asiyejulikana ndani ya ukoo wetu

Na wale wote wenye mihemko ambao sio wachaga ama waksakazini basi jaribuni kukubaliana kutokukubaliana muone cha mtema kuni
 
Sioni tofauti yako na Nape Nnauye! BTW, Kamati kuu ya CCM inakutana lini? Naamini ile agenda ya kuwang'oa Maghembe, Malima na Chiza wataijadili?

Hahahahahahahahaaaaaaaahahahahahah!

Hakuna siku niliyocheka kama leo. Hivi wewe upo Tanzania?
 
Leo si siku ya furaha kwa wachaga wote Tanzania.

Bila nidham ya uwoga nimewapende kweli ukicheza wanazima mziki wanakata umeme akafiye mbele kwa mbele chadema hawarembi lazima niwe mwanachama wa hiki chama
 
Back
Top Bottom