Zitto na Kitila wavuliwa vyeo vyote ndani ya CHADEMA

Calm down kabwe & Kitila,you will never walk alone Comrades,

Watanzania walio wengi sio wajinga kama chadema wanavyodhania,tunajua kila kinachoendelea,

Hata ingekuwa kwa namna gani,nyinyi hamna number one qualification ya kuaminika ndana ya chama hiko na sababu zinafahamika,ukabila & ukanda...


Hamna haja ya kuandika barua,pigeni kimya kama kawaida sisi tunataka tujitosheleze kuna nin hasa ndan ya chdema??NI CHAGA DEVELOPMENT MANIFESTOPHISM AU CHACHAWANGWENISM??

ITAFAHAMIKA TUH...

time will tell! Shida yako uko mbali na Tanzania, tulio karibu na 'usalama' wa taifa tunajua how devilish stupid Zitto is. Siku ukijua utoe na uzi. Dr. Kitila Mkumbo is just a victim of circumstance
 
Last edited by a moderator:
CDM ni chama cha kikanda na ni chama chenye wawazo mgando, yeyote asie kubali kua kivuli cha mbowe lzm ataenda na maji. Hivi vikao vya harusi hutoa maamuzi bila hata mtuhumiwa kuwepo na kupewa nafasi ya kujitetea! Huo ni woga. Kwann msinge subiri Zito arudi? Mmesahau ya Kafulila? CDM itabaki na akina Lema,Sugu na Vivuli wengine, lkn watu makini kama Zito, Mnyika hawatabaki! Mbowe's party juuuuuuuuuu!
 
Zitto kama hawa wabaguzi wakikuondoa kwenye chama chao ,Tua CUF chama kisichoongozwa na wakaskazini uungane na Mtatiro na vijana kadhaa ili tuishuhudie chadema ikiwa ya nne kwenye uchaguzi wa mwaka 2015. Maana wamesahau kilichowakuta NCCR ya Mrema na Marando. Sasa wanajaribu sumu kwa kuilamba. Tutawaachia chama ili kife mikononi mwa wahafidhina.
Chama kisicho heshimu demokrasia ,chama cha Wahafidhina. Wenye uchu na tamaa ya madaraka .Mungu bado anamapenzi na Tanzania,Mungu anamakusudi,kama chadema ingepewa nchi kwa Mwendo huu tungeshuhudia wizara na Taasisi za umma zikisheheni watu wa kabila moja,watu wa ukanda mmoj na watu wa dini moja. Nani angekuwa Gavana wa BoT? nani angekuwa waziri wa fedha? Nani angekuwa mkurugenzi wa Bandari?nani angeongoza TRA? Hakika mungu bado anatupenda watanzania na kwa mwendo huu CCM kuondoa ni ndoto.Nape jiimarisheni na muache ifisadi ili muendelee kututawala,wapinzani ni wasaka vyeo na madaraka na wala si mabadiliko.
 
tamuchungu !

Why tusimsubiri msemaji wa CHADEMA JJ Mnyika (MB)atueleze makosa ya Zitto yaliyo pelekea asimamishwe?

Why unachagua sababu zinazo m favor Zitto tu ukaziacha zingine kama:

Mawasiliano yake ya karibu na jasusi Jack Zoka!

Kuunga mkono serikali wakati wa kesi ya ugaidi ya Rwekatare aliposema wazi kuwa rafiki yake Msacky alitaka kuuliwa kwa njia za kigaidi

Kila mara kuleta visingizio kukwepa Mikutano muhimu ya chama

Kujitenga kwenye operation za collectively responsibility kama vile uchaguzi wa Arumeru na Arusha

Tuendeleeeeeee?

Hakuna haja ya kusubiri hili picha lishaonekana tokea mwanzo, fitina tu hakuna jipya
 
Last edited by a moderator:
Namshukuru Mungu kwa ajili ya mh Zitto Kabwe kuvuliwa vyeo.Vinginevyo 'wangemchachawangwe' bure masikini! Anaweza kuendelea na maisha ya kisiasa yenye afya kama atajifunza masomo yaliyo katika maisha ya watu kama Raila Odinga wa Kenya.
 
Wilbroad Slaa ndiye masterminder wa hii biashara yote,kwa kipindi cha hapa karibuni,tumeona namna ambavyo alivyokawa anawatumia vifaranga vyake kama Yericko Mla mbwa na figure namba nane kuja kuwachafua viongoz hawa wawili ili kufanya character assassination huku wakisaidiwa na lema & nasari,haitoshi hadi kileo mjela jela akaamua kushikikia bango utumbo ule hadi akauweka kwenye BLOG YAKE,,HAUKUPITA MUDA AKATOKEA SLAA YULE YULE ALIEKAWA ANASHANGILIA VURUGU HIZO HUMU MITANDAONI KUSEMA KWAMBA HAWANA TATIZO NA ZITTO NA KWAMBA CHADEMA IKO IMARA,YANAYOTOKEA YANAFANYWA NA WATU WA CCM NA WALE WASIOITAKIA MEMA CHADEMA,LEO VIPI GARI INAGEUKA BILA INDICATOR??VICHEKESHO SANA,SIASA ZA KITOTO HAZIWEZ KUAMINIWA KIAS CHA KUPEWA AMANA YA KUONGOZA TAIFA
 
Bihafsi nasikitika. Si kwa sababu ya Zito kutimuliwa bali kwa jinsi ambavyo tumehama barabara. SASA tunapita kulia badala ya kushoto mwa barabara. Kwa siku 14 zijazo siasa za chadema zitakuwa taabani na ccm watatumia muda huo kujiinngiza kwenye suala hili ikiwa ni pamoja na mahakama kuzuia halafu watafanya mabo kuwa magumu sana. SI MTAONA???!!!!!!
ATAKAMTWA CHADEMA HAPA.

ILI KUJINUSURU KWA USHAURI WANGU NI HUU:

:A S-confused1: JUHUDI ZA KISHERIA ZIFANYIKE KWA MUDA WOTE SAKATA HILI LITAKAPOKUWA LINAFUKUTA

:frusty: UTULIVU WA MAJIBIZANO UNATAKIWA KWA KIWANGO KISICHOELEZEKA

:A S-confused1: AACHWE MSEMAJI MMOJA TU KWENYE USEMAJI WA SUALA HILI AMBAYE NI KATIBU MKUU MWENYEWE

:A S 2152: HOJA ZOZOTE ZITAKAZOLETWA NA CCM SIPUUZWE KWA KIWANGO KIKUBWA

:noidea: WANACHAMA TUTULIE MAANA MAAMUZI HAYA NI YA MSINGI SANA KWA USTAWI WA CDMA NA NCHI KWA UJUMLA

Kupewa barua ya kujieleza sidhani kama itakuwa na mistari mitatu itakuwa imesheheni evidences ambazo nadhani baadhi tumejiridhisha hata sisi wasomaji.CC itakuwa imejiridhisha kuwa thoseallegations proved to be relevant for making decision they have taken.Ni pagumu kwa wao kuzijibu zaidi ya kuomba msamaha yaishe other wise it is a catastrophe event
 
hongera kamati kuu, tunamwomba Zito pia ajieleze kwa nini hashiriki vikao vya kamati kuu huenda nae ana lake la msingi
 
Siku ya kujieleza Zitto atupe ufafanuzi wa haya!

Mawasiliano yake ya karibu na jasusi Jack Zoka
yanahusu nn!

Kuunga mkono serikali wakati wa kesi ya ugaidi ya Rwekatare aliposema wazi kuwa rafiki yake Msacky alitaka kuuliwa kwa njia za kigaidi na kuwa yupo upande wa Msacky!

Kila mara kuleta visingizio kukwepa Mikutano muhimu ya chama na kuondoa dhana nzima ya uwajibikaji

Kujitenga kwenye operation za collectively responsibility kama vile uchaguzi wa Arumeru na Arusha

Athibitishe madai yake ya hivi karibuni kuwa CHADEMA Makao Makuu wanahusika kumchafua kwenye media

Tuendeleeeeeee?

yako zaidi ya haya! Kwa nini Kikwete kazunguka nchi nzima 2010 in exception of Kabwe's constituency!
 
Hapa ndipo watanzania tujihoji kuwa cdm ni chama cha nani, na ndani ya cdm
kumefichwa nini.

Kadri siku zinavyokwenda, cdm wanajidhihirisha wao ni kina nani hasa.
Taratibu wa tz tunaanza kuwaelewa. Nje Ngozi ya kondoo kumbe ndani ni .....
 
Back
Top Bottom