Zitto, Mbowe na viongozi wengine wa vyama vya upinzani katika kikao cha pamoja leo Dar es Salaam

Not God forbid....jamaa wanatuzarau sana...wametugawa kwenye matabaka...ccm tabaka A kwamba wao kila kitu kwao ni sawa wengine tabaka B hawa wakifanya hata wanayofanya tabaka A jela inawahusu....hapo unategemea nini...kunamsemo unasema haki huinua taifa

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani na wewe ukiwa CCM utapungukiwa nini jiunge uepuke kudharauliwa!
 
Naona Polisi wamefanyiwa kitu inaitwa " diversion".. Wamekomaa makao makuu ya ACT, wanaume wameenda kufanya kikao chao kusikojulikana bila bugdha... Nimeipenda hii.
Penye nia pana njia..
 
Kwa mbali kabisa naoana dalili za maono yangu kutimia...nilikiwaza sana hiki kitu kinachofanywa na wapinzani kwa sasa, wakiweza kuwa kitu kimoja basi upande ule mwingine utatapatapa sana.
 
Huu ujumbe umfikie Yericko kama ulivyokusudiwa.

Yericko toka alipokamatwa na kuachiwa na usalama wa taifa amekuwa pandikizi tiifu la CCM ndio maana siku hizi hasumbuliwi tena na serikali kesi zake zote zimefutwa .


Sent from my iPad using JamiiForums
 
View attachment 1055548
Viongozi wakuu wa vyama nane vya siasa vya Upinzani nchini wakiwa katika kikao cha pamoja cha mashauriano juu ya masuala ya kisiasa yanayoendelea nchini.
View attachment 1055547
Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe akiongoza kikao cha vyama nane vya siasa vya upinzani kujadili hali ya kisiasa nchini . Wa kwanza kushoto ni Makamu wa Rais wa Kwanza wa Serikali ya Zanzibar Maalim Seif Shariff Hamad.
View attachment 1055549
Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe na Makamu wa Kwanza wa Rais Mstaafu wa Serikali ya Zanzibar Maalim Seif Shariff Hamad wakiteta baada ya kikao cha pamoja cha vyama nane vya siasa nchini vilivyokutana kujadili hali ya siasa nchini leo jijini Dar es salaam. Kikao hicho kilihusisha Chadema, ACT Wazalendo, NCCR Mageuzi, DP, CCK, NLD, Chaumma na UPDP
Mbona wanyonge sana?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nafurahi kuona Mbowe na Maalim wakiwa Bado Ni ma-senior katika Siasa za Upinzani Huko Nchini Tanzania.

Kila La Kheri Mungi awabariki Wapinzani wa TANZANIA, UNITED DEMOCRATIC FRONT towards 2020.

Viva MBOWE Viva Maalim Viva Zitto.

TUNDU LISSU RAIS BARA 2020.
MAALIM RAIS VISIWANI 2020.

"Mopao Mokonzi"
 
Mnaosubiri upinzani usambaratike,mtasubiri sana!

Endeleeni na propaganda zenu za kipuuzi ila mjue tu mnajifariji.

Jiwe anawafanya wapinzani wawe kitu kimoja kuliko ilivyowahi kutokea tangu mfumo wa vyama vingi uanzishwe hapa nchini.

Hajui alitendalo na hana tofauti na Wayahudi waliomsulubisha Yesu kwani hata wao walikuwa hawajui walitendalo.
Umesahau ukawa ilianza lini? Usiwe mpuuzi wa kila mara kudanganya! Na usifikiri kila mtu ana ubongo kama wa kuku, nani kasema kuna mtu anayeweza kuua upinzani. Hata nyumbani kwenu kuna pande mbili mkiwa watoto zaidi ya mmoja sembuse watanzania wote. Kumbuka bila upinzani imara hakuna maendeleo hata JPM anajua
 
Kwa sasa dawa ni kulianzisha tu,liwalo na liwe, maana sometimes ustaarabu na uvumilivu wajinga hudhani ni unyonge ama ukondoo.

Anatubipu huyu mtu tena kwa muda mrefu sana hivyo ni wakati wa kumpigia kama ilivyotokea mpaka wakaua mtoto wa watu(mwanachuo).

Nilishasema mtu hata kama humuwezi pigana naye atakuheshimu, zile siasa za kikondoo zilizoletwa na yule mzee toka ccm ndio zinagharimu wapinzani.
 
Back
Top Bottom