Amefikishwa mahakamani leo kwa madai kuwa alimtorosha mtuhumiwa ambaye alikuwa chini ya ulinzi wa polisi. Ila hayo yote yametokana na sakata la umeya kigoma/ujiji.
Zito amekamatwa na kufikishwa mahakamani kwa tuhuma za kumtorosha mtuhumiwa katika kituo cha Polisi wakati wa kampeni.
Amesomewa mashitaka, amekanusha na amedhaminiwa na mtu mmoja hadi kesi itakapotajwa tena January 2011.
Source: Breaking News ya Radio One kama ilivyoripotiwa na Reporter wao Msokolo.
KUTOKA KWA ZITTO:
Dear Friends,
Leo nimepandishwa kizimbani katika mahakama ya Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Kigom. Kosa langu hili hapa chini. Hii ni kwa taarifa tu.
Criminal Case no. 10 of 2010
Republic versus ZITTO ZUBERI KABWE
CHARGE: STATEMENT OF OFFENCE
UNLAWFUL RESCUE OF A PERSON UNDER LAWFUL CUSTODY; Contrary to section 115(1)(c) and 35 of the Penal Code (CAP.16 R.E 2001).
PARTICULARS OF OFFENCES
ZITTO ZUBERI KABWE on 27 day of October 2010 at about 11:00 hours at Mahembe Police station in Kigoma District and Kigoma Region by using force did rescue PETER KIBWEGA who was under lawfully custody of police at Mahembe police station.
======================================
Kesi tarehe 10 Februari.
Zitto
--
Kabwe Z. Zitto,MP
Deputy Secretary General CHADEMA
Member of Parliament, Kigoma North, Tanzania.
akisema tunamtukana, akikaa kimya tunamuita aseme... JF bwana kibokoZitto If you are here please clear the air.
But I cant trsust something from ''Kudadadeki''
Jamani kwa kweli kabisa Jeshi letu la Polisi limeishiwa kama sio kufilisika
Siku hizi limeanza kufanya kazi kwa kuvizia??
Kwani toka tarehe 27/10/2010 mpaka leo miezi miwili walikuwa wapi kumtafuta Zitto?
Au jeshi la Kigoma linafanya kazi kwa sheria ya kutokuvuka mipaka ya Kigoma kiasi cha kungoja mpaka arudi Kigoma?
Hapa naona utata mtupu.
Mbona Zitto alikuwa humu JF half hour ago. Au ni double face!!
Siyo sakata la Umeya -- ni sakata la kampeni lililotokea Okt 27. Tazama post yake Zitto mwenyewe iliyowekwa No 1 hapo juu.
Jee Zitto kapanga kukamatwa kwake na kufikisha mahakamani ili azoe sympathy kutoka kwa wananchi -- hususan wanaChadema -- ambao imani yao ilikuwa inapotea very fast kutokana na kauli zake tata?
Huwezi ukashangaa hili, wakala wake, akina RA wanao uwezo wa kufanikisha hili! Kabisa wanaweza -- these people a really crooks! Siku zote polisi walikuwa wapi wasimkamate Zitto!