Zitto Mahakamani Kigoma

Kudadadeki

Member
Oct 7, 2010
70
3
Zito amekamatwa na kufikishwa mahakamani kwa tuhuma za kumtorosha mtuhumiwa katika kituo cha Polisi wakati wa kampeni.

Amesomewa mashitaka, amekanusha na amedhaminiwa na mtu mmoja hadi kesi itakapotajwa tena January 2011.

Source:
Breaking News ya Radio One kama ilivyoripotiwa na Reporter wao Msokolo.

KUTOKA KWA ZITTO:

Dear Friends,

Leo nimepandishwa kizimbani katika mahakama ya Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Kigom. Kosa langu hili hapa chini. Hii ni kwa taarifa tu.

Criminal Case no. 10 of 2010

Republic versus ZITTO ZUBERI KABWE

CHARGE: STATEMENT OF OFFENCE

UNLAWFUL RESCUE OF A PERSON UNDER LAWFUL CUSTODY; Contrary to section 115(1)(c) and 35 of the Penal Code (CAP.16 R.E 2001).

PARTICULARS OF OFFENCES

ZITTO ZUBERI KABWE on 27 day of October 2010 at about 11:00 hours at Mahembe Police station in Kigoma District and Kigoma Region by using force did rescue PETER KIBWEGA who was under lawfully custody of police at Mahembe police station.
==============================
========

Kesi tarehe 10 Februari.

Zitto
--
Kabwe Z. Zitto,MP
Deputy Secretary General CHADEMA
Member of Parliament, Kigoma North, Tanzania.
 
Du...
sIDHANI KAMA KUNA UKWELI WA JAMBO HILI!..Zito anajua sana impact za kitendo kama hicho, especially kwa mtu wa status yake!
 
We Kudadeki,

Zitto yumo humu hata sasa anachangia kwenye thread ya "Zitto hatahama Chadema"
 
Users Browsing this Forum

There are currently 1034 users browsing this forum. (190 members & 844 guests)
 
We Kudadeki,

Zitto yumo humu hata sasa anachangia kwenye thread ya "Zitto hatahama Chadema"

Sio kwamba ninasema story is valid lakini it depends HUMU ni wapi....... Unaweza ukawa popote lakini through your mobile phone ukawa JF....
 
Zitto Kabwe
in court, Kigoma Resident Megistrate, CHARGED


app_2_2254487659_1473.gif
4 hours ago via BlackBerry · LikeUnlike · Comment
 
Sio kwamba ninasema story is valid lakini it depends HUMU ni wapi....... Unaweza ukawa popote lakini through your mobile phone ukawa JF....

Ila atakuwa mahakamani then simu iwe ON?? May be ................. nilikuwa naquestion tu credibility ya story kwa kuwa mtoaji wote tunamjua........................... "KUDADEKI"
 
Users Browsing this Forum

There are currently 1034 users browsing this forum. (190 members & 844 guests)

Zitto If you are here please clear the air.
But I cant trsust something from ''Kudadadeki''
 
Kukamatwa kwa zitto itakuwa ni kutaka kubadili upepo wa mijadala ndani ya nchi kwa sababu kama angekuwa na hatia angekamatwa zamani. Wanataka kufunika mijadala ya katiba mpya,bei ya umeme na migomo ya wanafunzi.
 
Siku hizi Radio One Stereo wana Breaking News Service kupitia Mobile phones. Saa sita na dakika 12 na sekunde 38 nilipata ujumbe kutoka Na 15556 (namba yao ya huduma hiyo) kwamba Zitto kafikishwa mahakamani Kigoma kwa kosa la kumtorosha mtuhumiwa.
 
Back
Top Bottom