Zitto kufukuzwa CHADEMA siku chache zijazo

Gazeti la RAIA MWEMA na RAIA TZ wanajadili mgogoro kwa kumpendelea Zito.fatilieni toka mwanzo mtaona.
 
mbona wanamchelewesha huyo zizito kakabwe. wapige chini chapu hana chipya tuendeleee kufanya yetu ya msingi bila kuingiliwa na mamluki.
 
Hiyo inaitwa vita ya panzi......................................................... tutampa nafasi ccm ya kuwa msaidizi wa NAPE. Njoo CCM bingwa uwamalize hao wazee wa chama cha kichaga, mafreemanson na wawakilishi wa KANISA VATICAN. Koseeni, tuwqmalize. Tushapata mtaji
 
Gazeti la RAIA MWEMA na RAIA TZ wanajadili mgogoro kwa kumpendelea Zito.fatilieni toka mwanzo mtaona.

Hata wakifanya hivyo, hawawezi kubadili ukweli na madhambi yake na legal position inayoweza kufikiwa
 
Hiyo inaitwa vita ya panzi......................................................... tutampa nafasi ccm ya kuwa msaidizi wa NAPE. Njoo CCM bingwa uwamalize hao wazee wa chama cha kichaga, mafreemanson na wawakilishi wa KANISA VATICAN. Koseeni, tuwqmalize. Tushapata mtaji

Tunashukuru busara za viongozi wa hiyo red kwa hekima maana majeraha waloyapata na maumini wao kwa ccm kutafuta mvuto wa kisiasa yanatosha na mkumbuke kuna watu wa mlengo huo huko ccm kumbukeni nao wanaumia kwa matusi yenu dhidi yao
 
Hakunaga kitu kama usawa duniani na hata mbinguni!! Endeleeni kujidanganya!!

VOX POPULI VOX DEI.......Nadhani uliona kura tulizopiga siku za nyuma kuunga mkono maamuzi ya KK ama kupinga yaan kumuunga mkono Zzk , hope matokeo yake uliyaona licha ya ninyi maccm kumsaidia pia.
 
chikutentema,ichani chikutentema wa kumwitu?

Asikao kamachanku kakuchigoma kala katafya yantu nakuno kasina nantichimwi, nemmwi nduti fi yakawinge kan'tutafya ala ka....au wemwi ulutuli waluko? Zzk wafula intambi, alinakasembo kuyikolo wam'bwa nu usua(uzua) ku wakwe kwene wio!!
 
Unachokizungumza hukijui,endelea kutumika lakini siku ikifika ndio utagundua kwamba kumbe ni bora kutumia akili zako mwenyyewe hata kama ni ndogo badala ya kushikiwa!

By the way nyie wote mnaomsakama zitto lengo lenu ni kuiua chadema kwa sbb mnatumiwa na ccm mnajua kesho mtapata vyeo,lakini nawaaambieni maisha yenu yako hatarini kwa sbb wenzu wakijua mtasakwa hadi kwenye mashimo na watawanyonga

Hizi propaganda zishachuja maana kila mpinzani ccm kihitoria humchonganisha na wenzake kwa kusema ni pandikizi lao, sasa tulia ili cdm ife ccm mfaidi au unasemaje? Hebu naomba jibu kwa hiyo ww uko hapa kutetea CDM isife siyo?
 
Karata pekee na ya ushindi kwa CDM nikumfukuza ZZK.Japo ataondoka na wanaomshabikia lkn CDM itajengeka mara mbili zaidi.
 
Kabla chadema hawajafanya maamuzi kama hayo wakae chini watathimini upya kwanza wajue wa zitto ndani ya chama pia wajue kuwa ccm hutumia mbinu chafu kukisema chadema kuwa ni chama cha kidini na ndio maana sehemu zenye waislamu wengi chadema hakina hata mbunge mfano lindi, mtwara,tanga temeke,nk je hamuoni kuwa zitto anawezakutumiwa kama karata kwa ccm kuwa amefukuzwa kwa ajili ya dini yake kama baadhi ya watu wanavyosema pia hakuna chama chochote duniani ambacho hakina mgongano wa mawazo hata zitto akitoka swala la kutaka uenyeketi watakuja wengine je na wao watafukuzwa?
Kumwogopa mtu kisa manufaa ya kisiasa kwa kukiuka katiba ni kuwasariti watz, na hatu haja kuwa na sheria tuishi tu kama kuku
 
THINK DEEPLY;-CDM ikubali ikatae,Zitto atakapoingia nccr mageuzi CDM ushindi haupo tena KURA by anymeans ZITAGAWANYIKA zilizokuwa za chadema zitaelekea nccr mageuzi hivyo CCM kushinda kirahisi kuliko inavyodhaniwa;n.b;WAZO LISIPUUZWE
 
Hizi propaganda zishachuja maana kila mpinzani ccm kihitoria humchonganisha na wenzake kwa kusema ni pandikizi lao, sasa tulia ili cdm ife ccm mfaidi au unasemaje? Hebu naomba jibu kwa hiyo ww uko hapa kutetea CDM isife siyo?

Siku kuwagundua ni rahisi sana wala hata hamsumbui kama zamani!!
 
bora sasa hilo jambo liishe, tunaanza mwaka mpya, tujipange kwa ajili ya uchaguzi wa serikali ya mtaa.
 
Back
Top Bottom