Gazeti la RAIA MWEMA na RAIA TZ wanajadili mgogoro kwa kumpendelea Zito.fatilieni toka mwanzo mtaona.
Hiyo inaitwa vita ya panzi......................................................... tutampa nafasi ccm ya kuwa msaidizi wa NAPE. Njoo CCM bingwa uwamalize hao wazee wa chama cha kichaga, mafreemanson na wawakilishi wa KANISA VATICAN. Koseeni, tuwqmalize. Tushapata mtaji
Hakunaga kitu kama usawa duniani na hata mbinguni!! Endeleeni kujidanganya!!
chikutentema,ichani chikutentema wa kumwitu?
Unachokizungumza hukijui,endelea kutumika lakini siku ikifika ndio utagundua kwamba kumbe ni bora kutumia akili zako mwenyyewe hata kama ni ndogo badala ya kushikiwa!
By the way nyie wote mnaomsakama zitto lengo lenu ni kuiua chadema kwa sbb mnatumiwa na ccm mnajua kesho mtapata vyeo,lakini nawaaambieni maisha yenu yako hatarini kwa sbb wenzu wakijua mtasakwa hadi kwenye mashimo na watawanyonga
Kumwogopa mtu kisa manufaa ya kisiasa kwa kukiuka katiba ni kuwasariti watz, na hatu haja kuwa na sheria tuishi tu kama kukuKabla chadema hawajafanya maamuzi kama hayo wakae chini watathimini upya kwanza wajue wa zitto ndani ya chama pia wajue kuwa ccm hutumia mbinu chafu kukisema chadema kuwa ni chama cha kidini na ndio maana sehemu zenye waislamu wengi chadema hakina hata mbunge mfano lindi, mtwara,tanga temeke,nk je hamuoni kuwa zitto anawezakutumiwa kama karata kwa ccm kuwa amefukuzwa kwa ajili ya dini yake kama baadhi ya watu wanavyosema pia hakuna chama chochote duniani ambacho hakina mgongano wa mawazo hata zitto akitoka swala la kutaka uenyeketi watakuja wengine je na wao watafukuzwa?
Kikifa wewe una hasara gani?
Du!! Kumbe na wewe uliishaiona hiyo? Ndio mchezo wao hao.
mh!!! unazidi kunichanganya tu sasa akiki ndio nini??? nahuko kwenye jina wanakoishi watu ndo wapi,
Hizi propaganda zishachuja maana kila mpinzani ccm kihitoria humchonganisha na wenzake kwa kusema ni pandikizi lao, sasa tulia ili cdm ife ccm mfaidi au unasemaje? Hebu naomba jibu kwa hiyo ww uko hapa kutetea CDM isife siyo?
Gazeti la RAIA MWEMA na RAIA TZ wanajadili mgogoro kwa kumpendelea Zito.fatilieni toka mwanzo mtaona.