Zitto Kabwe: Mkopo wa Benki ya Dunia kuboresha elimu, Serikali ililenga kuinufaisha CCM kwa kununua vyuo vilivyo chini ya chama hicho

"Zitto jiandae kwenda kugombea ubunge katika Jimbo la California au Washington Ila huku kwetu kigoma sahau kabisa. Mnafiki mkubwa wewe, Watoto wangu wanakaa chini na wanasoma mazingira magumu harafu Wewe kwa uchumia tumbo wako unachochea pesa isije.. laana zetu Wana kigoma hazitakuacha salama kijana mrundi wewe" mwisho wa kunukuu

Maneno ya mzazi mmoja wa kigoma
 
Wazungu Wana akili mno .Kuna mtu kanitonya

Ni kuwa world Bank kuna mabosi wa kiislamu wa uarabuni waliongea nao kuhusu ajenda za kuruhusu ndoa za utotoni sababu kwenye uislamu kuoa mtoto ruksa.Sisi Kuna Sheria ya Haki za mtoto kusoma nk na umri wa kuolewa ni miaka 18 na kuendelea .Wakaona kutubadilisha Ni wagumu

Ndio wanapitia world Bank ili itumike Tanzania kuhalalisha ndoa za utotoni

Zitto Kabwe kabeba agenda ya kidinii zaidi akitetea ndoa na mimba za utotoni za kiislamu .Wapata mimba wengi utotoni ni wasichana wa kiislamu ili likipita vitoto vya kike vikina Asha Ngedere,Mwajuma Nichokonoe,Maimuna Kigodoro nk wasiogope kubeba mimba wakiwa wadogo

Lengo kuu kuhalalisha mimba za utotoni
mkuu achana na propaganda za kidini kabisa, moto wake hutouweza kbs..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tazama mahojiano ya BBC jinsi Kiongozi wa ACT Wazalendo Ndg. Zitto Kabwe anavyopangua propaganda dhaifu za CCM na Serikali ya Rais Magufuli kuhusu kusogezwa mbele kwa maamuzi ya Benki ya Dunia (WB) kuipa mkopo wa elimu Tanzania kutokana na hoja zilizotolewa na Zitto na wanaharakati wa Tanzania kwa WB.




Sent using Jamii Forums mobile app


Huu mkopo wakitoa ACT mtafanya nini ? Naona mnafikiria kama ndio mmeshika kura ya veto. Muda utaongea
 
katafuteni nchi yenu akufanyia ujinga wenu nchi hii inaongozwa kwa mujibu wa sheria na katiba mtaongea sana lakini hamuwezi kushindana na sisi
Kalaghabaho! Ninyi ni akina nani!!? Yaani mvunje haki za watu halafu Dunia iwaanglie tu.
Hivi nyie si matajiri, Kwani kulilia mkopo!!?
 
Tanzania ikinyimwa huo mkopo nyinyi na chama chenu mnafaidika nini? Hao watoto ambao hela hizi zilikuwa zikawasaidie watafaidika nini na hio 3-0 ya Zitto?!

ID ya chama kabisa inakuja kuleta ushabiki maandazi JF.
Tukipinga UKANDAMIZAJI na utawala usiozingatia taratibu, SERIKALI (sio wananchi) itawekewa vikwazo then ITASHINDWA halafu itakosa uhalali wa kuongoza then TUTACHOKA NA KUITIMUA baas. Hakuna mwenye hasara, kwani wapi pameandikwa kuwa ni lazima watawale wao tu tena kwa namna wanayotaka wao? TUMECHOKA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi Zitto kuongozwa na hisia kwamba eti ccm huenda itatumia Mkopo kutoka WB kujinufaisha kisiasa kwa kudanganya wapiga kura CCM ndiyo imetoa hela zake kusomesha Watoto, ndizo zinatosha kuhamaki na kwenda kuichonganisha Serikali na WB ? Je nini Afya ya Jitihada za Zitto kwa Taifa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Speedometer accelerator naserereka.
tapatalk_jpeg_1580290159593.jpeg


dodge
 
hizi hela zingeelekezwa tofauti, hata kama zingejenga shule za wanaopata mimba, serikali ingesema ni shule za ccm, hisia au maoni ya zitto yako sahihi ukizingatia tunaenda kwenye uchaguzi, si ajabu zingeekekezwa huko, kuna siku tutaambiwa hela za tasafu zinaelekezawa kwingine si ajabu zikaenda kwenye kampeni za uchaguzi mkuu, jamaa hawana hela hawa, ohoo..!
 
Hivi Zitto kuongozwa na hisia kwamba eti ccm huenda itatumia Mkopo kutoka WB kujinufaisha kisiasa kwa kudanganya wapiga kura CCM ndiyo imetoa hela zake kusomesha Watoto, ndizo zinatosha kuhamaki na kwenda kuichonganisha Serikali na WB ? Je nini Afya ya Jitihada za Zitto kwa Taifa?

Sent using Jamii Forums mobile app

..kama hizo ndizo hoja alizowasilisha WB na wao wakakubaliana nazo basi makosa siyo ya Zitto bali upumbavu wa wahusika wa WB.

..pia sioni sababu ya wabunge wa CCM kufura na kutishia KUMUUA / KUMWAGA DAMU.

..Haiyumkiniki SERIKALI na CCM kushindwa kuwasilisha hoja za kupangua madai ya Zitto na kuishia kutoa vitisho vya kumuua.
 
Back
Top Bottom