Jamani najiuliza maswali sipati jibu.hivi umaarufu wa zitto kigoma,ameshindwa kuisaidia CHADEMA kunyakua majimbo zaidi?kwa nini imekuwa NCCR MAGEUZI kinara huko?ina maana Zitto hakufanya jitihada zozote??mnijuze wana JF!
kuna watu humu wangekua na uwezo wangeomba kuolewa na zitto.... they are abusing zitto in the name of forumJamani najiuliza maswali sipati jibu.hivi umaarufu wa zitto kigoma,ameshindwa kuisaidia CHADEMA kunyakua majimbo zaidi?kwa nini imekuwa NCCR MAGEUZI kinara huko?ina maana Zitto hakufanya jitihada zozote??mnijuze wana JF!
mkuu zitto ana modern opposition, lakini watu kama magessa kwao upinzani ni hata kumchoma moto mtui am very confident na zitto kabwe,
kwanza kama jimbo limeng'oka ccm na kupelekwa upinzani hilo ni la kushangilia.
Demokrasia siyo kuhodhi bali kushirikisha.
Inaonesha mtoa hoja kaathiriwa na siasa za ccm
KURA NI UTASHI WA WAPIGA KURA, ACHA UMBEA KABLA SIJAKUITA GEA HABIBU WA CLOUDS!!!!!!!!!!!:tape::tape:Jamani najiuliza maswali sipati jibu.hivi umaarufu wa zitto kigoma,ameshindwa kuisaidia CHADEMA kunyakua majimbo zaidi?kwa nini imekuwa NCCR MAGEUZI kinara huko?ina maana Zitto hakufanya jitihada zozote??mnijuze wana JF!