Zitto Kabwe awasha moto Songea!

TUNTEMEKE

JF-Expert Member
Jun 15, 2009
4,587
579
Maelfu ya wananchi wa mji wa Songea wamejipanga barabarani hivi sasa kumpokea naibu katibu mkuu wa chadema Zitto Zuberi Kabwe anayetarajia kuwasili mjini hapa muda mfupi ujao akitokea Mbeya na moja kwa moja ataelekea kwenye uwanja wa mkutano shule ya msingi madizini kata ya Lizaboni kazi ni moja tu kuwazika CCM katika uchaguzi mdogo wa udiwani.

Nitaendelea kuwajuza moja kwa moja toka viwanja vya kampeni. Watu ni wengi kwa kweli.
 
Ivi kuna mtu anaweza list post ambazo zagombaniwa sehemu mbalimbali Tz
Maana najua tuu ya udiwani kirumba na kiwila then Ubunge Arumeru
Ila nimekumbuka kuna diwani alivuta Ruvuma pia
 
Chadema bia bia hata likienda bunzi litapokelewa tuu wananchi wamekunywa maji ya chadema kusini kazi ya chiku abwao hiyo Fuime kwa mbele
 
Ivi kuna mtu anaweza list post ambazo zagombaniwa sehemu mbalimbali Tz
Maana najua tuu ya udiwani kirumba na kiwila then Ubunge Arumeru
Ila nimekumbuka kuna diwani alivuta Ruvuma pia

Nakumbuka hizi
kata ya kiwila -mbeya
kata ya kirumba- mwanza
kata ya Lizaboni-songea
kata ya vijibweni-Temeke

Na zingine tatu nimezisahau
 
Picha za Songea mchana wa leo. Naomba mleta mada au moderators mziweke hapo juu

Screen_20120328_17177.jpg Screen_20120328_171549.jpg Screen_20120328_17168.jpg Screen_20120328_171518.jpg
 
Ivi kuna mtu anaweza list post ambazo zagombaniwa sehemu mbalimbali Tz
Maana najua tuu ya udiwani kirumba na kiwila then Ubunge Arumeru
Ila nimekumbuka kuna diwani alivuta Ruvuma pia
Nakumbuka baadhi ya harakati zilizoko ni hizi ambazo si haba hata kidogo!!
1. Arumeru Mashariki Arusha - Ubunge
2. Kirumba Mwanza - Udiwani
3. Kiwila, Mbeya - Udiwani
4. Dodoma - Udiwani ( sikumbuki jina la kata)
5. Songea - Udiwani (Sikumbuki jina la kata)
6. Kigamboni, Temeke Dar es salaam - Udiwani ( sikumbuki pia jina la kata)
 
Zitto anaendeleta kuwasha moto mkubwa sana hapa Songea.Watu ni wengi sana hoja anazojenga ZITTO zinawaliza watu hapa uwanjani.
 
Zitto anawaambia ongea kwa uchungu sana na anasema hiv sasa hakuna mahali ambako mtoto wa tajir na maskini hawakutani sehemu yeyote ile wanayokutana.
 
Sasa anazungumza na kuhusu mambo ya umeme,amewaahidi wanasongea kuhusikia moto wake katika suala la umeme Songea.Katika nyumba 100 ni nyumba 14 tu zinaumeme Tz.
 
Yes CDM twanga twangaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!kotekote hadi kieleweke.
 
Nakumbuka baadhi ya harakati zilizoko ni hizi ambazo si haba hata kidogo!!
1. Arumeru Mashariki Arusha - Ubunge
2. Kirumba Mwanza - Udiwani
3. Kiwila, Mbeya - Udiwani
4. Dodoma - Udiwani ( sikumbuki jina la kata)
5. Songea - Udiwani (Sikumbuki jina la kata)
6. Kigamboni, Temeke Dar es salaam - Udiwani ( sikumbuki pia jina la kata)
7. Simiyu-Bariadi kata ya Lagangabilili
 
Back
Top Bottom