Zitto hujui siasa za Tanzania ya leo! Achana na siasa! Nenda kafundishe!

Huyu kila mara nawaambia ni mate wangu chuo na alibebwa na anabebwa hamtaki kuelewa, si mnaona wengine wanaofanya siasa chuoni mikataba ikiisha basi, yeye ndo anapeta, ndo maana nakuwambie iwapo ZZK yuko na huyo prof lazima anatumiwa na serikali ya CCM. haina ubishi na ACT inabebwa si unaona uchaguzi eti kilipaa, wanatumia kuwahadaaa wananchi kuwa ZZK anapendwa ili hali kigoma penyewe kura zake zilikuwa zinashuka kila uchaguzi, madiwani walishuka hadi 2 kutoka 11, CCM bwana na ZZK wao ni hatari tupu. JANJA YA NYANI KISHA JUA

Duuuuu.....aisee hii ni hatari sana!
 
Heshima mbele!

Mosi, na Mwisho

HUELEWEKI SERIOUSLY UNAPIGANIA NINI BRODA!
Zitto hujui siasa za Tanzania ya leo na hata za Dunia ya leo, Achana na siasa nenda kafundishe! Uliwahi kunukuliwa ukisema kuwa siasa sio mapenzi yako, mapenzi yako ni kufundisha! Nashauri huu ndio muda muafaka sasa wa kwenda kufundisha, siasa za Tanzania ya leo huzijui hata kidogo! Siasa za Tanzania ya leo zimebadilika sana, watu wanajitambua mno, watu wanafuatilia sana, wanahoji sana, watu hawana uoga tena, watu wanafikiri sana! Bro, hili umeshindwa kulibaini kabisa!

ACT Tanzania ulichokianzisha utakipotezea mwelekeo kama ambavyo nawe hauna mwelekeo, hauna msimamo, haueleweki unapigania nini serious, kwa jicho la tatu unapigania maslahi fulani fulani kiujanjaujanja sana! Na ndo maana hata jimboni mwako una shinda kwa taabu sana hata umeamua kukimbia, haueleweki! Hawakuelewi!

Hujui tu, lakini ukweli ni kwamba hata wale wafuasi makini uliokuwa nao wamekukimbia maana wameshindwa kukuelewa vema! Usiende mbali sana, hapa hapa JF wameanza kukubadilikia kwa kasi ya ajabu sana! Kama sio msaada wa moderators kufuta nyuzi, kama huu utakavyofutwa punde si punde wallah sijui ungeweka sura yako wapi! Umeshaanza kupotea rasmi kwenye ulingo wa siasa! Wewe sio yule Zitto wa kipindi hiko!

Walau siasa za Mtikila zinaeleweka zaidi kuliko siasa zako, heshima mbele!. Siasa zako hazieleweki, unayumba sana kisiasa! Wewe una silka za kutaka Sifa, Madaraka hata pasipokustahili! Huo sio mtaji katika siasa za Tanzania ya leo!

Kwamba, unapigania ujamaa katika anga hizi za uchumi wa leo duuuuu....bro, haupo serious! Baba yako Nyerere mwenye nchi alishindwa, sembuse wewe! Naweza kusema taifa hili lipo hapa lilipo kwa sababu ya ujamaa, tungekuwa mabepari tangu enzi za Nyerere leo tungekuwa mbali sana kiuchumi, kisiasa, na kwa kila kitu! SURVIVAL FOR THE FITTEST, Full stop hakuna kurembana!

Ujamaa ni uduanzi tu kama uduanzi mwingine wowote ule, nyie mlio matajiri mnamiliki magari yenye thamani ya USD 40,000 na viwanja kibao, nyumba kibao, ndo mnatuambia eti ujamaa, aisee hii ni dharau kama dharau zingine tu! Ujamaa ulishafeli, na kwa sasa it can not exist at all!
Moderator leo ni pasaka acheni walau huu uzi kwa siku ya leo bila kufuta, tusherekee pasaka kwa amani!

Mimi nadhani mbowe mwenye gpa kubwa ya havard univarsity ndiye anafaa kuwa mbunge au rais, waliofeli form six kama zito waachane na siasa za siku hizi za tanzania kabsa
 
Last edited by a moderator:
Kinachomsumbua zito ni being egoistic,he is always yapping ,and sometimes he forgets what he stand for....ACT is a group of mercenaries under the supreme leader Ayatollah Zitto zuberi kabwe...n if you want to see the hypocrisy of this guy just look at his eyes.

Umeaua mkuu........
 
Mimi nadhani mbowe mwenye gpa kubwa ya havard univarsity ndiye anafaa kuwa mbunge au rais, waliofeli form six kama zito waachane na siasa za siku hizi za tanzania kabsa

Kwan lazima u comment mkuu? What if ungekaa kimya tu! Mbowe kaingiaje hapa!
 
usimlaumu sana mwandishi ndio tatizo LA sekondari za kata hata kuchanganua hawezi. zitto na Act ndo habari ya mujini. ACT Oyeeee

Huu sio uzi wa uchanganuzi.......usinilazimishe nimlaumu mwalimu wako, wakati wewe ndo unabeba kichwa chako! Hata kama una mahaba na ACT kiasi hiki, sio hadi unajishindwa kuelewa kama ww ni ke ama me maana ndivyo ilivyo hapa!
 
Zito aliwahi sema kuwa hatagombea ubunge mwaka 2015 bali atagombea urais! Pia zitto aliwahi tamka kuwa atakuwa wa mwisho kutoka cdm badala yake amekuwa wa kwanza kutoka cdm. Pia amewakimbia wananchi wake wa kigoma kaskazini na kuangakia majimbo mengine. Lakini cha kufurahisha aliwahi sema kuwa tusiwaamini wanasiasa!

Mkuu kwa mtu yoyote anayemfahamu vizuri Zitto hawezi kumfuata mana nizaidi ya tapeli,sio hayo tu aliyowaahidi watanzania,nakumbuka wakati wa kampeni zake kule Mwamgongo aliwaambia wananchi atamuowa Muhonga Ruhwanya kabla ya mwaka mmoja na asipofanya hivyo akiludi kuomba kura wasimchague kwa sababu atakuwa ni muongo
 
Sio lazima kila mtu aandike kwa kufuatana na mahaba yako.....sometimes tulia tu hata kama inakuumiza!

Achana nae huyo! Watu wengine utadhani wamelishwa limbwata. Badala ya kujibu kutokana na ushauri uliotolewa wao wanaanzisha ligi na maneno mbofombofu. Kuna watu wanaona raha sana kughilibiwa mpaka wakajenga mahaba pekee badala ya kujifikirisha.
Wanachosahau ni kuwa Mwanasiasa/kiongozi hatakiwi athaminishwe kama mcheza mpira kama tufanyavyo kwa Messi na Ronaldo. Zile ni burudani hazina impact na maisha ya watu, lakini ulaghai katika siasa na uongozi unaleta dhiki hata vifo kwa waathirika.
 
Umesema vizuri sana!
 
Mkuu kwa mtu yoyote anayemfahamu vizuri Zitto hawezi kumfuata mana nizaidi ya tapeli,sio hayo tu aliyowaahidi watanzania,nakumbuka wakati wa kampeni zake kule Mwamgongo aliwaambia wananchi atamuowa Muhonga Ruhwanya kabla ya mwaka mmoja na asipofanya hivyo akiludi kuomba kura wasimchague kwa sababu atakuwa ni muongo
He kumbe alishaingia kwenye utapeli hadi wa mapenzi?
 
Yaani haka kajamaa ni kapuuzi sana...eti kameshindwa jimboni kwake kanataka kakagombee jimbo jingine...huku ni kujikweza kuliko pitiliza!! Nilikuwa namkubali lakini kumbe hamnazo aisee!!
 
Kwanini msimuache huyu "msaliti" aendelee na maisha yake? Si keshaondoka kwenye lichama lenu?
 
Back
Top Bottom