Uzuri wa Serikali ya CCM ni Rewards kulingana na Uborongaji
Boronga leo huku, kesho tukuhamishie kwingine ukaboronge....Siraji Kaboronga....Ni yule yule, Juzi Jana na Leo na hata Kufa kwake
Kama sikosei, huyu jamaa siku chache baada ya uchaguzi wa 2010 alikuwa miongini mwa wa wabunge toka tabora waliopeleka ng'ombe pale ikulu kama zawadi kwa jk kushinda nafasi ya uraisi!!!
Kama ni hivyo basi naye kazawadiwa tena!