Zitto awabana NSSF, Daily News; serikali yamtaka kutoingilia uwekezaji wa NSSF

NSSF's monies are belonging to its members for meeting their old age-retirement benefits the rest are subsidiaries. Whatever investment that is made by the fund managers requires compliance to their investment policies without external (political and government) interventions.

If the NSSF management have had a through recovery plan over General Tyre facility - for which auctioning/disposing off of securities over other plans, like conversion of debts into equity and revive its operations, were thought to be the best feasible recovery option it means that POAC's decision is irrational and goes against best financial investment practices.

Simply put POAC's decision goes against practices of good governance for pension funds and puts contributors/members at risk. This is the beginning of the bad end given NSSF tendency of heavy reliance on single borrower i.e government (s). It is on this basis that one a prudent fund manager will start to revisit its investment strategies as internal debts increases and financial muscles of government gets back to 1990s.

Politics killed Tanesco and other public corporations with this trend Tanzanian pension funds will be of no exception, I predict. We should stop politicizing technical matters like this as NSSF and other financial/non financial institutions are investing in socially desirable investments to keep them financially viable!

I present.

God Bless Tanganyika!
I totally agree with you!....Government failed us so many times and i really can't see the public interest in General tyres,that company had problems since Nyerere times(Remember LORNHO too).
 
Hakuna cha investment ni ujinga tu. Hizo investment zinampa nini mwanachama? Mwanachama ambaye pesa yake imewekwa ktk investment hizo.

Miradi hiyo imegundulika kuwa ni njia bora ya kutafuna mali za hii mifuko. Ujenzi hapa nchini ni kitovu cha ufisadi. Nyumba nyingi walizojenga ni overpriced. Pesa ya ziada ndo wanazokula kila siku na bodi zao.

Zitto umetenda haki hapo. Lakini sasa usiwe na selectivity ili utakapofika PPF, PSPF mambo kama hayo yaonekane wazi. Zungumzia miradi yao ya ujenzi inavyofyonza mifuko hiyo bila sababu na hata consultation kwa wadau. Mifuko imekuwa kama mfuko chakavu wa kikao cha harusi. Nasikia hata Mfuko wa bima ya Afya wa Taifa nao sasa ni sehemu ya serikali kujichotea tu!!!
Hata siku moja mifuko kama ya NSSF haiwezi kukaa idle! with devaluating shilling,you have to invest the money or utafilisika,Mifuko kama hii ni lazima iinvest heavily and smartly!....kumbuka lile jengo la kitega uchumi ni hela za NPF!...na siyo manji tu,hata mbowe na mengi or whoever your hero is,they all borrow from these funds!!
 
For public interests, if The General Tyre were to revive its operations it would substitute or compete with foreign made tyres and save forex, add to jobs and so on. However, Its revival should not be made at the expense of NSSF and its members. NSSF should be allowed to dispose off thereafter POAC and Government should seek investor/s and enforce whatever public interests they are pressing if they will.

Does it mean POAC has forgotten EAC workers' pension saga? This is one of likely consequences if pension funds fail us leave alone the collapse of the financial markets at large.

Please keep distance politics to matters of profession.
 
Nadhani hatutendi haki kukwepa ajenda kwa kumuangalia mtu usoni. Nadhani tunapaswa kujadili hoja lakini pia tusipindishe. Kwann tusijadili kuhusu TSN na matumizi? Kwann tusijadili General Tyre yetu badala ya kununua matairi ya China na Kenya?

Mnyonge mnyongeni....Zitto Goooo

Halisi,

Kabla sijasoma input za wengine labda na wewe ujiulize. Kama Kiwira ikawa chini ya STAMICO na leo ikakodishwa kwa NSSF then wakashindwa kurudisha zile 400bil+ then what next kwa sisi ambao tumeamua kushikilia NSSF no matter hata kama ni hela zetu za vitumbua?

G. tyre walikopeshwa kwa misingi ipi? Kama kiwira au?

Tusiangalie usoni bali nyuma yetu wakati wa kuplan
 
Zitto hawezi kuigusa PPF kwa sababu ameshavuta mno, atawaonea aibu au kama atataka kutengeneza mazingira ya kuongezewa mshiko.

PPF walinunua computer system kwa Bilioni 1.2 iliyoitwa ENRICH, Haikufaa kitu maana ni aibu. Mtaalamu wa IT Mr. Ngororo alikataa kuwa haifai, lakini wapi, management wakanunua na baadaye kushindwa kabisa ikaombwa Bodi kuifuta hiyo hasara (Zero value for money)

PPF walinunua tena system nyingine iliyoitwa AK System, masikini shamba la bibi PPF, nayo haikufaa chochote, Mzungu aliyeiuza akawatoroka hadi leo.
PPF management waligawana about 200 milion each na Zitto anajua, alipohoji akapigwa vijisenti na kufunga mdomo
PPF iliwauzia mkurugenzi wa fedha, Mr. Mmari na Mkaguzi mkuu wa ndani viwanja vinne vyenye thamani ya shs. 56Milioni mwaka 1996, kwa shs. 16Milioni mwaka 2004.

Na mengine mengi, safari za nje za mkurugenzi mkuu, Bodi ya wakurugenzi na wakurugenzi wengine wa ndani zisizo na tija. Hivi niandikapo, Audit Commettee ipo Dubai. Hili ni zoezi endelevu kila mwaka kipindi hiki.

Zitto kama umebadilika fuatilia haya.

CAG kama ni mwadilifu na wewe fuatilia haya.

Hakuna cha investment ni ujinga tu. Hizo investment zinampa nini mwanachama? Mwanachama ambaye pesa yake imewekwa ktk investment hizo.

Miradi hiyo imegundulika kuwa ni njia bora ya kutafuna mali za hii mifuko. Ujenzi hapa nchini ni kitovu cha ufisadi. Nyumba nyingi walizojenga ni overpriced. Pesa ya ziada ndo wanazokula kila siku na bodi zao.

Zitto umetenda haki hapo. Lakini sasa usiwe na selectivity ili utakapofika PPF, PSPF mambo kama hayo yaonekane wazi. Zungumzia miradi yao ya ujenzi inavyofyonza mifuko hiyo bila sababu na hata consultation kwa wadau. Mifuko imekuwa kama mfuko chakavu wa kikao cha harusi. Nasikia hata Mfuko wa bima ya Afya wa Taifa nao sasa ni sehemu ya serikali kujichotea tu!!!
 
Naanza kuwa na wasi wasi na Dr. Wa Ukweli Dau.... Dr. Vipi Kashfa zinakunyemelea kwa kasi ya mshale jitikise usiwe kama mkwere utanukishwa fasta japo una kundi kubwa la kukutetea Tuliona Mengi Alipokutikisa wewe na Fisadi Mwenzo Manji wazee wa Deal Hapo Kwenye Mfuko Unamcha Allah Kiukweli punguza deal za ajabu ajabu.

Daraja la kigamboni uliona litatolewa macho so ukaona hakuna Deal, umebaki unazuga zuga tu ati litajengwa hadi serikali umekusuta bungeni umejikausha tu duh! mashaka mashaka matupu. Nashangaa na Zito hajaona miradi uliyoanzisha ambayo hailipi hata kwa miaka mia mbili pesa haitorejea kwenye mfuko... Naomba wakaguzi Wa uchumi watizame kama miradi ina ya kiakili au ni deal kama zile ulizopiga na Manji hapo Uachie Shirika Pesa zetu hizo!!!! Mshahara Mkubwa unapata bado Uridhiki. uelekeo wa kupoteza haiba ya binadamu
 
Mkubwa zito ktk hili la TSN hongera zenu,bt hili la NSSF naona km mnataka kutuzuga ili muonekane hamna upendeleo then mrudi kivingine kuwatetea hapo KIWILA.
 
Siraju Kaboyonga, Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka mpya ya Usimamizi wa Mifuko ya Pensheni, Social Security Regulatory Authority (SSRA), iliyozinduliwa Machi 23, 2011, na Rais Jakaya Kikwete amemshushua Zitto Kabwe kwa kuingilia uwekezaji wa mifuko ya pensheni haswa NSSF.

Bila kumtaja Zitto au NSSF, Kaboyonga alisema mbele ya Kikwete kuwa kuna tabia inayojitokeza ya hivi karibuni ya baadhi ya wanasiasa kuingilia katika utendaji kazi wa mifuko ya pensheni.

"Eneo na uwekezaji wa mifuko ni muhimu, haswa inapotokea kuingiliwa na wanasiasa. Si vyema wanasiasa wakashinikiza mifuko iwekeze sekta fulani bila kuzingatia economic viability ya miradi hiyo," alisema.

Hivi karibuni, Zitto amekuwa akitumia nafasi yake kama Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mashirika ya Umma (POAC) kutoa "maagizo" kadhaa kwa NSSF kuwekeza kwenye sekta ya nishati, haswa Kiwira, na kuwakataza katika kazi zake zingine, kama kupiga mnada mali za General Tyre ili kupata pesa walizoikodisha kampuni hiyo mufilisi.

NSSF iko chini ya Wizara ya Kazi. Sasa leo mwanasiasa Zitto yuko bize kutoa "maagizo" kwa NSSF, imekaaje hii?

Je, kazi ya kamati ya Bunge ni kutoa maagizo kwa mashirika ya umma au wizara? NSSF nao wapokee maagizo kutoka serikalini au kamati ya Zitto? Na maagizo haya yakigongana inakuaje? Ni maswali tu yaliyonikaa kichwani baada ya Kaboyonga kutoa onyo lake kwa wanasiasa kama Zitto?

Kwa mujibu wa sheria, Social Security Regulatory Authority (SSRA) iliyozinduliwa juzi na Rais ndiyo yenye mamlaka ya kusimamia shughuli za mifuko ya pensheni ikishirikiana na Benki Kuu, ikiwemo uwekezaji wake.

Sasa kwenye situation hii NSSF imsikilize nani? Board of Trustees yake, Wizara ya Kazi, Zitto Kabwe au SSRA? Kama NSSF itakuwa inapokea maagizo kutoka pande zote hizo 4, nani atakuwa wa kujibu when things go wrong?
 
Nothing is new politics in action

Huu ni mchezo wa RA na EL wakitaka issue ya NSSF ipate media coverage
 
Nadhani Siraju amehisi SSRA inakuwa pre-emptied na wanasiasa, binafsi sioni kama kuna ubaya as long as SSRA inafanyia kazi mawazo ya wanasiasa na kuyatilia utaalam ili kujustify concerns, potentials and avenues available

KAMA sIRAJU ANADHANI HAKUNA HAJA NA nssf KUFUATILIWA, ATUAMBIE, HIVI YALE MAGODOWN WALIYOCHEZEANA UPATU NA MANJI WALISHAURIWA NA WABUNGE??
 
Huyu Siraju alishapata kuwa Board chair wa NSSF wakati wa lile godown la 42bn....now in another hide
 
Siraju Kaboyonga, Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka mpya ya Usimamizi wa Mifuko ya Pensheni, Social Security Regulatory Authority (SSRA), iliyozinduliwa Machi 23, 2011, na Rais Jakaya Kikwete amemshushua Zitto Kabwe kwa kuingilia uwekezaji wa mifuko ya pensheni haswa NSSF.

Bila kumtaja Zitto au NSSF, Kaboyonga alisema mbele ya Kikwete kuwa kuna tabia inayojitokeza ya hivi karibuni ya baadhi ya wanasiasa kuingilia katika utendaji kazi wa mifuko ya pensheni.

"Eneo na uwekezaji wa mifuko ni muhimu, haswa inapotokea kuingiliwa na wanasiasa. Si vyema wanasiasa wakashinikiza mifuko iwekeze sekta fulani bila kuzingatia economic viability ya miradi hiyo," alisema.

Hivi karibuni, Zitto amekuwa akitumia nafasi yake kama Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mashirika ya Umma (POAC) kutoa "maagizo" kadhaa kwa NSSF kuwekeza kwenye sekta ya nishati, haswa Kiwira, na kuwakataza katika kazi zake zingine, kama kupiga mnada mali za General Tyre ili kupata pesa walizoikodisha kampuni hiyo mufilisi.

NSSF iko chini ya Wizara ya Kazi. Sasa leo mwanasiasa Zitto yuko bize kutoa "maagizo" kwa NSSF, imekaaje hii?

Je, kazi ya kamati ya Bunge ni kutoa maagizo kwa mashirika ya umma au wizara? NSSF nao wapokee maagizo kutoka serikalini au kamati ya Zitto? Na maagizo haya yakigongana inakuaje? Ni maswali tu yaliyonikaa kichwani baada ya Kaboyonga kutoa onyo lake kwa wanasiasa kama Zitto?

Kwa mujibu wa sheria, Social Security Regulatory Authority (SSRA) iliyozinduliwa juzi na Rais ndiyo yenye mamlaka ya kusimamia shughuli za mifuko ya pensheni ikishirikiana na Benki Kuu, ikiwemo uwekezaji wake.

Sasa kwenye situation hii NSSF imsikilize nani? Board of Trustees yake, Wizara ya Kazi, Zitto Kabwe au SSRA? Kama NSSF itakuwa inapokea maagizo kutoka pande zote hizo 4, nani atakuwa wa kujibu when things go wrong?
Haya bana ngoja tuone ligi hii itakwishaje! Bila shaka mkuu wa kaya aka ****** atajitokeza kuliotlea suruhisho baada ya kusikia mafisadi dagaa watasemaje!
 
Siraju umeiza TRC kwa wahindi leo umegeukia mifuko ya pension, haya ngoja tusikilize MAFISADI WANAZIDI KUJIMEGEA. NGOJA tumwambie Rwegasira wa TRL akushughulikie
 
Uzuri wa Serikali ya CCM ni Rewards kulingana na Uborongaji

Boronga leo huku, kesho tukuhamishie kwingine ukaboronge....Siraji Kaboronga....Ni yule yule, Juzi Jana na Leo na hata Kufa kwake
 
Back
Top Bottom