Zitto anatamba hapa JamiiForums, hivi kwanini na Wabunge wa CCM msimiminike humu?

Zitto mbona tunamkimbiza sana hapa JF, wabunge waje kutafuta nini humu wakti wananchi wapiga kura wa wabunge wa CCM tupo makini kujibu kila uongo wa mtu yeyote. Nadhani waendelee kuhimiza maendeleo kwenye majimbo yao, acha sisi tupambane na wanafiki na waongo kama akina Zitto.
Huna haya boss wenu anatudanganya kwamba Mambo yako.sawasawa kumbe NI kinyume. Report za IFM & CAG zimemvua nguo...
Mtu anahubiri KUPAMBANA na ufisad kumbe ndiye mkuu.wao
 
Hahaha Zitto ni liongo sana, yaani ni bonge la liongo. KIbaya 2020 lilishatoswa ubunge hapo KGM, sasa anahaha kuanzisha habari za uongo uongo
Mbona kila likija suala la Mh Zitto wewe unakimbilia Ubunge wake?? Kwani asipokuwa Mbunge ndiyo hataishi?? Mbona wewe na mimi sio Wabunge na maisha yanasonga?? Watu Dhaifu hawawezi kuja humu kwani hata hoja zao zitakuwa DHAIFU.
 
Hahaha Zitto ni liongo sana, yaani ni bonge la liongo. KIbaya 2020 lilishatoswa ubunge hapo KGM, sasa anahaha kuanzisha habari za uongo uongo
wahi hospital mapema ...hii ni dalili ya malaria kuanza kupanda kichwani....zitto hawezi shindwa ubunge kgm mjn...hata mkihamishia majeshi yote....
 
Zitto mbona tunamkimbiza sana hapa JF, wabunge waje kutafuta nini humu wakti wananchi wapiga kura wa wabunge wa CCM tupo makini kujibu kila uongo wa mtu yeyote. Nadhani waendelee kuhimiza maendeleo kwenye majimbo yao, acha sisi tupambane na wanafiki na waongo kama akina Zitto.
Wewe hata nzi huwezi kumkimbiza utaanzia wapi kumkimbiza Zitto ??

Unaweza kuweka hapa uchambuzi wako kuhusu report ya IMF ???

Tuanzie hapo kwanza.
 
Ungemshauri Zitto afanye mtihani unaomuhusu, kuelimika ni kufanya yale ya msingi kwa wakati wake na kwa wanaokuhsu zaidi kwanza. Mnakosea sna mnapozani UMBEYA ndo jambo la muhimu. ZITTO tell us more about jimbo lako.
Naamini Jamii Forums inawanachama wa vyama vyote,kwanini wabunge wa CCM hamji kumwaga data humu jamvini?
 
Wewe hata nzi huwezi kumkimbiza utaanzia wapi kumkimbiza Zitto ??

Unaweza kuweka hapa uchambuzi wako kuhusu report ya IMF ???

Tuanzie hapo kwanza.
Kwa taarifa yako kijana wewe na ZZK wako hamuniwezi kabisa, wewe ni mchumia tumbo kama mwenzako ZZK. Zitto wenu ni liongo liongo tu kisa linatafuta rushwa, safari hii limekomeshwa
 
Mbona kila likija suala la Mh Zitto wewe unakimbilia Ubunge wake?? Kwani asipokuwa Mbunge ndiyo hataishi?? Mbona wewe na mimi sio Wabunge na maisha yanasonga?? Watu Dhaifu hawawezi kuja humu kwani hata hoja zao zitakuwa DHAIFU.
Wameanza kuweka masingira ya kuiba kura zake km iringa na mbeya
 
Back
Top Bottom