Zitto aitisha Press Conference (Machi 22, 2015) Serena Hotel

HUWEZI KUWA NA CHAMA IMARA ENDAPO NDANI YA CHAMA HICHO HICHO UTAKUWA NA WATU WASALITI KAMA AKINA ZITTO KABWE /katu hatutaweza kusonga mbele

Vyama vyote vya upinzani maarufu (nccr, chadema) vimepata umaarufu kwa misingi ya usaliti mfano slaa alikisaliti ccm akajiunga na chadema, mrema hivo hivo so nothing new stop blaming
 
Anachokifanya zitto si kitu kigeni ktk siasa tofauti ni kuwa anayafanya haya kwa kufadhiliwa na chama cha majambazi na ili uamini angalia mapambano humu jamvini ni dhidi ya CHADEMA
tunasubiri tuone mpambano utakavyokuwa hapo baadaye
 
Zitto kwel kiboko yao,ameng'atuka ubunge ili aimarishe chama,Anazunguka nchi nzima kw Choppa kuwaeleza watz udicteta w cdm ulivyo ndo maana yko Act,rushen choppa tatu tena na nynyi mkamjibu kama mnajeur hyo tena mmezoea kuznguka na choppa sasa zamu yake na anavyojua kupanga maneno cjui kama mtapiga ata kampen mwaka huu,
Kamwe Zitto hawezi kuisahau Chadema na atakuwa anaiota.

Nilifikiri ametoka Chadema ili awakomboe wananchi kwa sera za ACT kumbe anzunguka nchi nzima kueneza sera za Chadema. Mwambieni ajikite kwenye sera za ACT kama zipo maana nasikia wana katiba mbili sintoshangaa kusikia wana sera mbili na itikadi mbili tofauti.
 

Juzi niliwaambia watu humu ndani hawa ccm ambao walikuwa wakijifanya wanampenda na kumtetea Abaki Chadema ..kwa manufaa Yao ...Mara tu alipojitoa ..WALIANZA kutumiana MSG Za kumkebehi......
Lusinde ni Aina ya watu ambao ANAONGEA anachojisikia lakini Hiki Nicho wanachoongea wana ccm wengi kwenye mijadala Yao ..ya USO kwa USO au groups Zao ......
Wanasema rule ya mafia deal ..ukimaliza lazima upotezwe ( Kisiasa )
 
Anachokifanya zitto si kitu kigeni ktk siasa tofauti ni kuwa anayafanya haya kwa kufadhiliwa na chama cha majambazi na ili uamini angalia mapambano humu jamvini ni dhidi ya CHADEMA
tunasubiri tuone mpambano utakavyokuwa hapo baadaye

Hata mrema mlisema ni ccm lakini ilibaki kidogo achukue nchi 1995 tena hapo baba wa taifa alikuwepo. Just a piece of information hivi unajua kama slaa ni tisssss?
 
Yap...... Tanzania ni zaidi ya uijuavyo..... waandishi wanampa airtime kipindi hiki kigumu baada ya chama kuanza kazi watakuwa wanamfitinisha tu!
 
Nilikuwepo mnazi moja siku hiyo na niliaminii kwa wakati huo Mrema ndiye angekuwa rais patakapofanyika uchaguzi. Mkutano wake wa mwisho wa kampeni za urais zilifanyika pale uhuru street kwenye viwanja vya shule ya Benjamin Mkapa lakini wakati huo shule ilikuwa haijajengwa kwa hiyo uwanja ulikuwa mkubwa sana. Ilikuwa ni balaa siku hiyo kwa jinsi umsti ulivyofurika. Popularity ya Zitto Kabwe haijafikia hata 1/3 ya Mrema wakati akijiengua CCM. Ninapomtizama Mrema leo najiambia moyoni mwangu ULIMWENGU WA SIASA UNA MAAJABU.

You are very right ...Mimi pia na wenzangu tulikuwapo ...mapokezi yake akitokea Dodoma ....Enzi hizo aliyekua anatamba Siasa Za harakati vyuo vikuu ni mtikila ....Kama mnakumbuka zile Mix tape zake Za SAA YA UKOMBOZI VOL 1 to 10 ....lakini wote tulihamia kwa Mrema ...,kizuri sikupata kuchukua kadi ..
Nakumbuka Baada ya ule mkutano pale Mnazi mmoja ambako Remmy aliimba..tulisindika gari lake kufika pale jamati ya wahindi tukapigwa mabomu na kuingia jamatini ....nilipoona yeye Polisi wammruhusu na wanachuo na WANANCHI tuliokua pale tukapigwa mabomu ..basi nijajua kuna tatizo hapa ....si kwenda Tena mikutanoni..
Ndio maana kwa Watanzania dhambi kubwa kuliko zote kupewa ukiwa Mwanasiasa ni kudhibitika kuwa msaliti ..hawatakusamehe...kwakuwa wapo watu wamekua vilema ,maskini ,WAMEULIWA ...tena Mara nyingine kwa Ajili ya Mwanasiasa Huyo Huyo ......ukishakua branded msaliti that is a political suicide ..hata wakikufuata watu ni watu tu mfano ...wa IANZI wanaofuata mtu aliyejinyea

All in all Mrema ni msaliti ...na ni Moja ya watu waliochelewesha mabadiliko hasa ....watu walivyo mpenda na badaye kugundua hakuwa genuine ...Ndio maana chaguzi zilizofuatia watu wakakata tamaa na wapinzani ...

Ukiniambia mtu wa Pili kwa umaarufu Siasa Za Upinzani nitakuambia ni Dr Slaa ...angalau amerudisha hamasa iliyokuwapo mwaka 1995 ..na Chadema wamejitahidi Sana kutowavunja moyo watu au kuwasaliti....

Kwenye Siasa Za upinzani ...bado Zitto haiingii kwa watu Hao hapo ...Hata hajafikia umaarufu...wa Walid AMAAN Kaborou au Masumbuko Lamwai .....tofauti tu ni kuwa Sasa yeye Ana twitter na FB ....Siku Mrema anajitoa ccm yalikuwa mafuriko ...kadi Za chama hicho Zaidi ya 100,000 zilikuwa zinauzwa in a day .......
 
Cku zote mfa maji haishi kutapatapa ZZK anajaribu kutafuta 7bu nying il aonekane ye ni mwema wakat alikua msalit kwa chama chake na viongoz wke....kama kwel ni mtu mwenye busara ajaribu kukaa kimya nakutafakar ni chama gan kitakachomwingiza bungen mwez november kma ye mwenyewe alivyosema
 
TAARIFA KWA UMMA

mwami Zitto Kabwe. Kesho tarehe 22-3-2015 atazungumza na waandishi wa Habari.

Tukio Hilo muhimu na la kihistoria litafanyika SERENA HOTEL kuanzia saa Tano Kamili asubuhi.

Tafadhali fika bila kukosa kupata kujua mustakabali wa siasa za kweli Tanzania.



NB.watakaoenda watu-update

Kiongozi wa kijamaa anakutana na waandishi Serena what a venue ..... ,Watu Kama Zitto ,Albert MSANDO ...na Aina hio ..wanaishi Maisha ya Kijamaa ?? A Talking Point .....Maana wanasema tofauti ya Msingi na Chadema na vyama vingine wao ni watu wa Mrengo wa Kushoto wajamaa ... Kwa misingi ya Azimio la Arusha
 
Juzi niliwaambia watu humu ndani hawa ccm ambao walikuwa wakijifanya wanampenda na kumtetea Abaki Chadema ..kwa manufaa Yao ...Mara tu alipojitoa ..WALIANZA kutumiana MSG Za kumkebehi......
Lusinde ni Aina ya watu ambao ANAONGEA anachojisikia lakini Hiki Nicho wanachoongea wana ccm wengi kwenye mijadala Yao ..ya USO kwa USO au groups Zao ......
Wanasema rule ya mafia deal ..ukimaliza lazima upotezwe ( Kisiasa )

Kwa kejeli hizi Zitto na wafuasi kama wanaakili timamu watambue kuwa wameingizwa chaka.
 
Huyu kijana ana matatizo. Sijaona umuhumu wa hizi hotuba mara waraka wake wakati hana ushahidi wa kimaandishi wa kufutwa chama. Ana haraka gani, si asubiri apewe barua ya mkufukuza? Sasa ana aga hadi bungeni wakati hakuna ushahidi wa kimaandishi kuwa kafutwa chama, ni nini maana yake? Aliyemshauri kampoteza.

mwami luyagwa mlimuweza chacha huyu kawashinda team ZZK
 
act.JPG
 
Vyama vyote vya upinzani maarufu (nccr, chadema) vimepata umaarufu kwa misingi ya usaliti mfano slaa alikisaliti ccm akajiunga na chadema, mrema hivo hivo so nothing new stop blaming


duuu kazi kweli unashindwa kutofautisha kuhama chama na kufukuzwa chama bado safari ni ndefu kuelewa hata hiki kidogo tutaweza kweli kutengeneza baskel
 
Back
Top Bottom