Zitto aitisha Press Conference (Machi 22, 2015) Serena Hotel

Huyu jamaa ana akili sana manake watu walidhani ataongelea mambo ya CHADEMA lakini yeye kajikit kwenye chama chake tu.
Wewe ulitegemea atakwa na jipya zaidi ya kukitetea chama alichoanzisha ndani ya Chadema.
 
Siasa za bongo bhana, tutaendelea kutawaliwa na ccm hadi mwisho wa dunia,kwakuwa vyama vya upinzani hakuna kilicho series na kukamata madaraka badala yake zimekuwa taasisi za kujitafutia ridhiki na yeyote atakayejitia kimbelembele anatimuliwa tu

Najuta kupenda siasa na mabadiliko. Sasa nimeanza kuwakubali raia wa Zibambwe.
 
Kamanda mbona umepanic ghafla, wewe mwenyewe umetoka kutuambia Zitto kaanzisha chama hivi marehemu anaweza kuanzisha chama.

Chama cha marehemu kinawafanya wote mchanganyikiwe.
Zitto ni marehemu kisiasa hana muda mrefu atafanana kwa kila kitu na Mrema kuanzia maisha, sura, na hatutashanga na yeye anaanza kulialia kwa JK apelekwe india kwa matibabu.

Nasiki Afande Sele yule uliyekuwa unampinga kajiunga na chama cha marehemu, tuletee ile picha uliyokuwa unaisambaza JF ikimwonyesha kuchojoa nguo plse.
 
Siku zote nawambia humu Chadema ni tawi la CCM tunawekea Lowassa wote nyie mtamkimbia Dr.Slaa na kuipigia kura CCM.

teh teh teh

teh teh chezea njaa wewe umegangamala weee hatimaye umekubali mwenyewe, the next president is a christian
 
Atagombea kwa Katiba ipi kaka? Umri wake aumruhusu ndio maana akasema Novemba watakutana mjengoni. Ila asidhani ni rahisi hivyo. Komba alizimika kama kibatari, maisha kitu cha ajabu sana. Amejiongezea maadui wengi sana Serikalini. Kama Mkono aliwekewa sumu sijui wengine.
Kama alivyo Cheyo na Mrema ndivyo atakavyokuwa Zitto.

Ni mawazo yako tunayaheshimu ila jana sio leo inaweza kuwa tofauti mkuu;ngoja tusubiri tuone
 
Wekeni hotuba yake hapa tumechoka kusubiria tangu saa 5, sasa ni saa 7.33 hakuna yeyote aliyeko Serena?
 
Naomba nielezwe hiki chama ACT. Viongozi wake structure yake , malengo yake nk. Au naomba link yoyote ya kupata taarifa kamili yachamahii Muda mrefu tunatafuta chama cha kizalendo na kinachoangalia maslahi ya wananchi.
 
Zitto kwel kiboko yao,ameng'atuka ubunge ili aimarishe chama,Anazunguka nchi nzima kw Choppa kuwaeleza watz udicteta w cdm ulivyo ndo maana yko Act,rushen choppa tatu tena na nynyi mkamjibu kama mnajeur hyo tena mmezoea kuznguka na choppa sasa zamu yake na anavyojua kupanga maneno cjui kama mtapiga ata kampen mwaka huu,
 
Siku zote nawambia humu Chadema ni tawi la CCM tunawekea Lowassa wote nyie mtamkimbia Dr.Slaa na kuipigia kura CCM.

teh teh teh
Hii post i forward kwa Nape na Makonda itawafaa sana, eti mlikuwa mnasema rais hawezi kutoka kaskazini lile ni jiwe kuu la pembeni ambalo waashi wamelishindwa sembuse Nape, mkulu mwenyewe ameanza kujipendekeza kwa kuwatumia mashehe wa Bagamoyo.
 
Back
Top Bottom