Kwa hiyo yeye mnyonge wake ni Mbowe?
Maana kama ni tuhuma, aliyezitoa ni Tundu Lissu, lakini yeye kamrukia Mbowe.
tundu lisu ni kifaranga tu...
kwa lugha nyingine zito haongei na mbwa, anaongea na mwenye mbwa!!
Kwa hiyo yeye mnyonge wake ni Mbowe?
Maana kama ni tuhuma, aliyezitoa ni Tundu Lissu, lakini yeye kamrukia Mbowe.
Mchuzi wa mbwa unanywewa ukiwa ungali moto, alikuwa wapi siku zote, ni sawa unavamiwa leo na majambazi au vibaka unapiga kimya mpaka unapata fununu ya mwizi wako ndio unakwenda kuripotiZitto hajachelewa kusema ukweli ukizingatia CDM hawapendi kuambiwa ukweli wa udhaifu wao. Kaka Zitto funguka zaidi kuhusu deal la Kinana na Sumaye maana umetuacha njia panda. Pia usisahau lile la NHC na NSSF sisi tunataka kujua ili tuchague pumba na mchele.
Kama unajua Chacha wangwe alichofanyiwa pls tenda Polis ukawape ukweli wote haki ichukue mkondo wake.
Mkuki kwa nguruwe sio??
Mwenyekiti CHADEMA anatia aibu,aje akanushe tuhuma zake sasa na yeye
Tundu lisu anacheza ngoma ambayo haijui,wanamtanguliza tu kichwa kichwa yeye hajui kama anajidhalilisha!
Ni ujinga mtu mwenye elimu kama ya tundu kupelekwa pelekwa na kujazwa uongo na mbowe...
Mbowe atoke atuachie chama chetu alishashindwa kabla hajaanza
Na Dr Slaa ajiangalie naona anapotea taratibu
Tulianza na Mungu a tutamaiza na Mungu. Kumbe pembeni ni majambazi.
Nyinyi Wafuasi wa Mbowe mnashangaza sana kwakweli,Hivi mara hii mshasahau kuwa Zitto alianza kutuhumiwa kwanza na Lissu na yeye ikambidi ajibu mapigo?Nani asiyejua kuwa Mbowe yupo nyuma ya yote haya yanayomtokea Zitto akiwatumia vibaraka wake?Kwahiyo msichukie sana jiandaeni kusikia uozo mwingi kuhusu huyo Mungu wenu na safari asiposimama Mahakamani sijui!
siasa mbaya aisee, hawa jamaa huwa wanahutubia mishipa imewatoka,oh tunataka kuwakomboa watz,mara oh kamanda wa anga na watu tunawaamini, kumbe wanapokea mihela kibao nyuma ya pazia
AMA KWELI FADHILI MBUZI UTAMLA NYAMA.............
Nampa pole sana Mh Freeman Mbowe, mwenyekiti wa Chadema Taifa kwa kutukanwa na kukosewa adabu na kijana mdogo, Msaliti Zitto Kabwe, ambaye leo mafanikio yake yametokana na yeye Mh Mbowe, lakini kasahau na kaamua kukutuna ati wewe ndo kamati kuu!
vile vile nimpe pole Mh Tundu Lissu Mbunge wa Singida mashariki na Mwanasheria wa chama, kwa kuitwa Kifaranga na huyu kijana ----- asiye na Adabu, we mpuuuze kwani leo amewadhihirishia watanzania kuwa hafai hata kuwa Balozi wa nyumba kumi......
Zitto Z Kabwe mpaka sasa hujakanusha tuhuma za kweli kabisa kwamba ulihongwa Magari mawili na Mh mkono iliusimsimamishe mgombea Msoma Vijijini, badala yake uliishia kujitoa ufahamu na kuwatukana Viongozi mtandaoni kuonyesha ulivyofilisika mawazo kama si kufilisika hoja!
Zitto Kabwe amejitoa ufahamu na kudai eti mtu asiyemuheshimu mke wake aliyewazalia watoto wake hawezi kumfundisha mtu maadili.......
Zitto, kabla ujanyoosha kidole kwa mwenzako embu jaribu kujitazama wewe mpaka leo una umri miaka 37 umeshindwa kuoa, na kinacho kusumbua ni uzinzi, embu kumbuka April tukio la aibu ulilolifanya pale Mount Meru Arusha, baada ya kunywa KONYAGI, mbona sisi hatusemi..........
Si jambo jema kujadili misha ya Binafsi ya Kiongozi, kwani hakuna aliye mkamilifu Chini ya Jua.......
SI VEMA MAAMUZI YA KAMATI KUU KUMBEBESHA MH MBOWE NA LISSU PEKE YAO..
Pamoja na kwamba natamani dogo apewe one more chance lakini naungana na wewe alikuwa wapi siku zote kusema hayo aliyosema kama ni kweli maana mnapokuwa marafiki mlivumiliana kwenye madhaifu flani flani lakini once mkitofautiana tu mnaanza kuibua yale yote yaliyojificha kipindi kile mlipokuwa mpo vizuri, sidhani kama ni utamaduni mzuri huu kama mlivumiliana siku za nyuma basi ni busara kuendelea kuvumiliana pindi mnapotofautiana
We kweli muathirika hivi unafikiri mbowe ni sawa na papuchi mwenzio zito? Nani anamda wa kujitu hekaya kama hizi?yaani zitto anatabia kama za watoto ukimuudhi anaaza kudai alicho kupa, huo ni utoto na umama wa huyo mwenzenu,,na ccm mlivo majinga ya kufikiri utakuta mnaona kama hii bonge ya hoja!wakati wenzenu wanajua ni mafa maji tu huyo anatapatapa
Naona wengine mmeishiwa nguvu kabisa mmebakia kulia na kusaga meno tuh,
ZUBERI KABWE KIBOKO YAO,A.K.A GOGO LA UDII,,MZEE WA LEKATUTIGITEE,,,
WASALIMIEN TENGERU KWA LILE ZEE LENYE MAKENGEZA