Zipo Juice za kunywa ila sio kama hii

Mwita Mtu Mrefu

JF-Expert Member
Sep 6, 2020
739
1,106
Dah hii juice ina sukari nyingi sana..

Haijakaa sawa haswa kwa matumizi ya watoto na wazee..

16187508754662721876213429163662.jpg
 
Dah hii juice ina sukari nyingi sana..

Haijakaa sawa haswa kwa matumizi ya watoto na wazee..

View attachment 1755505
Kwa watoto nzuri tu, labda wazee ndo haifai maana miili yao haiko active sana hivyo sukari itakaa mwilini bila kazi italeta shida.

Just imagine mishe mishe alizonazo mtoto kwenye masaa 12 ya kutwa nzima kuna sukari itabaki mwili mwake? Labda wale watoto wa geti kali wasiocheza kwenye hizi purukushani za kitaa.
 
Hiyo ni rangi ya ukili. huwa siwaelewi watu wanaoendekeza kunywa ati juisi zilizosindikwa, sasa hapo umeona ingredients zake? ndugu nunua matunda utengeneze juisi fresh na halisi kwa kujenga afya yako na watoto, ndugu na jamaa zako, kisha nishukuru baadaye. Nchi hii imebarikiwa matunda yapo misimu yote, acha kunywa rangi za ukili!
 
Si watoto ndo wanapenda vitu vyenye sukari nyingi ndo maana wanaiba sukari na kuiramba.
 
Kwa watoto nzuri tu, labda wazee ndo haifai maana miili yao haiko active sana hivyo sukari itakaa mwilini bila kazi italeta shida.

Just imagine mishe mishe alizonazo mtoto kwenye masaa 12 ya kutwa nzima kuna sukari itabaki mwili mwake? Labda wale watoto wa geti kali wasiocheza kwenye hizi purukushani za kitaa.
Yeah, kwa watoto wa uswahilini hakuna madhara kabisa.

Kwa hawa watoto wetu wanaocheza kwenye playstation za tv ndio changamoto.

Kwa watu wazima, kuanzia 30 kuendela hasa hawa wa white colour jobs ni za kuepuka kama ukoma maana sio muda zitaanza kuleta matatizo.

Kwa wazee na brother zetu wa kuanzia 40, wakae nazo mbali kabisa.
 
Back
Top Bottom