Zipi ni sifa za mwanamke anayefaa kuolewa?

kandidus

Member
Feb 6, 2012
70
17
Wanajamii forum wenzangu, eb mnisaidie nifaham sifa anazotakiwa kuwa nazo mwanamke wa kuoa.
Bila shaka kwa sifa hizo, ninavyoona mimi ndo zitakamilisha neno "mwanamke mzuri"
 
kandidus,swali lako umeuliza kama mtoto wa darasa la 1b. Mwanamke yeyote anafaa kuolewa,anaolewa na nani? Hapo ndo cha kuzungumzia. Ww hujatuambia unasifa gani,unataka tukwambie ni mke gani atakufaa? Ndo maana nmesema swali lako ni kama la std 1a. Mke wa jambazi sifa zake ni tofauti na mke wa ustadh,mke wa mwanamziki ana sifa tofauti na mke wa polisi cha msingi jiangalie tabia yako, rafiki(mke) mzuri ni yule anayefanana na tabia zako na maadili yako iwapo ni ya kazi au moral ethic. Kama ww ni kaka jambazi,tafuta mke atakayekuwa na uvumìlivu hasa pale utakapokuwa na misukosuko na dola na mtunza siri.kama ww ni mcha Mungu tafuta mke mwenye tabia kama yako . Mke ni rafiki,hana spesifikeshen kama unazohitaji unapotaka nunua kompyuta yaani awe ivi awe ivi vinginevyo
 
Pamoja na majibu yako kuelea hewani, walau mistari mitatu ya mwisho umezungumza vizuri kidogo. Hapo swali limesimama wima kabisa ila kutokana na mtazamo wako ndo unaoona kana kwamba swali la mtoto wa std 1b. "this is a universal question"
 
Ukishaongelea "KUFAA" au "UZURI" moja kwa moja unaongelea morals and not immorals. So ningetegemea uelewe kwamba sifa ambazo ungeziainisha ni zile zinazoambatana na good morals na sio bad morals.
Mpaka hapo nimegundua kwa nn ulifeli shule!
 
1. Awe na Matege
2. Kitambi kiduchu
3. Anyoe Kipara
4. Awe anakojoa kitandani
5. Awe anaoga japo mara tatu kwa wiki
6. Awe na ushujaa wa kuachia ushuzi hadharani.
 
1. Awe na Matege
2. Kitambi kiduchu
3. Anyoe Kipara
4. Awe anakojoa kitandani
5. Awe anaoga japo mara tatu kwa wiki
6. Awe na ushujaa wa kuachia ushuzi hadharani.
7. awe na meno kama gaucho
8. awe anaweza kukaa siku nzima bila kupiga mswaki
9. awe na nywele za kipilipili natural
10. awe na sura kama yako wewe mtoa mada
 
Mke utatajia awe wako, halafu unaomba sifa za mke wangu mtajaiwa!! Basi mimi mke wangu mtajiwa ni yule ambaye yuko tayari kuwa na mimi club mpaka saa 11 alfajiri, anakufaa huyo? Kumbuka ndege wafananao huruka pamoja.
 
7. awe na meno kama gaucho
8. awe anaweza kukaa siku nzima bila kupiga mswaki
9. awe na nywele za kipilipili natural
10. awe na sura kama yako wewe mtoa mada
11. Awe na jinsia mbili
12. Awe na sura kama ngumi ya mwizi
13. Awe na vinyweleo kwenye chuchu zake
14. Awe na mikono yote ya kushoto
 
Kushindwa kwako kutofautisha mambo na ku-generalize vitu kutakufanya uendelee kubaki std 1b mpaka mapengo ya uzeeni yakutoke! Unatutaka tuutizame ubinadamu ktk sura moja? Hiyo unayoitaka ww? Hicho ni kiwango cha chini sana ktk kufikiri! Huwezi uliza swali linalopeapea ukadhan kila mtu uelewa wake ni kama wa dreva wa bodaboda kama wako. Hakuna kudhaniadhania hapa. Every human being is unique,na hiyo ndo inanifanya mimi niwe mimi,wewe uwe wewe. Individuality na si collectivity. Kwani tabia za mke anayemtaka mdogo wako ndizo anazotaka mjomba wako?
 
1. Awe na Matege
2. Kitambi kiduchu
3. Anyoe Kipara
4. Awe anakojoa kitandani
5. Awe anaoga japo mara tatu kwa wiki
6. Awe na ushujaa wa kuachia ushuzi hadharani.

Eeee, hii ya leo kali!
 
mke mzuri ni yule unayeweza kujadiliana nae- critical discussion- na mkafikia muafaka bila kununa, kususa, kulia, kukasirika; ni anayeweza kukuhoji bila woga, ni yule unayeweza mpa ATM card yako na password na baada ya muda ukaitwa kuangalia kiwanja cha kununua, mkatengeneza ramani ya nyumba, mkajenga msingi wa nyumba na kusimamisha nyumba na hatimae mkahamia na kuanzisha miradi; mke mzuri ni yule mnayeweza kujadialiana na shule ipi mtoto aende na kwa nini; mke mzuri ni yule anayesimamia misingi yenu na hang'ang'anii mfanye kama jirani na familia nyingine zinavyofanya; nk nk nk
 
1. Awe na Matege
2. Kitambi kiduchu
3. Anyoe Kipara
4. Awe anakojoa kitandani
5. Awe anaoga japo mara tatu kwa wiki
6. Awe na ushujaa wa kuachia ushuzi hadharani.

Afadhali umekuwa specific! Ndio alichokitaka muuliza swali.
Mie nitamjibu akituletea kwanza sifa za mwanaume anayefaa kuoa.
 
mke mzuri ni yule unayeweza kujadiliana nae- critical discussion- na mkafikia muafaka bila kununa, kususa, kulia, kukasirika; ni anayeweza kukuhoji bila woga, ni yule unayeweza mpa ATM card yako na password na baada ya muda ukaitwa kuangalia kiwanja cha kununua, mkatengeneza ramani ya nyumba, mkajenga msingi wa nyumba na kusimamisha nyumba na hatimae mkahamia na kuanzisha miradi; mke mzuri ni yule mnayeweza kujadialiana na shule ipi mtoto aende na kwa nini; mke mzuri ni yule anayesimamia misingi yenu na hang'ang'anii mfanye kama jirani na familia nyingine zinavyofanya; nk nk nk

Shosti umesahau kuwa mengi ya hayo ulioyasema mtu (mwoaji) utayajua baada ya kuoa na kuishi na huyo mke. Mleta hoja anataka sifa za anayefaa kuolewa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom