Losambo
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 2,612
- 864
Kwa mara ya kwanza najitupa Chit Chat mnisaidie hili. Sina hakika kama lilishawahi kujadiliwa sana ama laaah lakini lengo hasa ni kutaka kufahamishwa ni jinsi gani unaweza ukailea nyumba ndogo kiasi ambacho haiwezi kukimbia. Nimekuwa nikijiuliza ili nyumba ndogo isikukimbie ni sharti uwe;
Najua Chit Chat ina wenyewe nami nawaita na kuwaalika ili tujadili hili.
Nawakilisha.
- Handsome? Mwanaume mwenye mvuto kiasi ambacho siyo rahisi kukimbiwa huku kunako sita kwa sita ukiwa mtaalamu wa kutosha?
- Uwe na uwezo wa kuihudumia nyumba ndogo? Kuihudumia kiasi gani sasa?
- Uwe na mali kama gari na vitu vidogo vidogo?
- .....
Najua Chit Chat ina wenyewe nami nawaita na kuwaalika ili tujadili hili.
Nawakilisha.