Zipi kanuni za kulea nyumba ndogo isikukimbie.

Jinsi ya kumiliki small house:-

1. Pesa muhimu, ukinunua big house na small house ipate robo eg. Kama nyumba kubwa inaendesha harrier, nyumba ndogo lazima iwe na vits

2. nguvu za kishujaa
lazima shughuli iwe pevu hadi spinal cord iwe inatenguka ili ukiondoka asiwe na hamu ya kuingiza mwingine

3. Uwe Active
lazima uitembelee frequently, ili kupunguza yeye kuwa idle na kutamani kuanzisha mahusiano mengine, after 2 days lazima upite kwake

4. Sikukuu, hakikisha unapita japo masaa 2 ili ajione yuko juu wakati hayupo popote.

5. Uongo wa akili
lazima ujue kucheza na maneno, uwe na uwezo wa kumfanya aone nyekundu kama bluu. Hii huwa inabalansi mitafafurku isiyo ya maana hasa wivu.

6. Ukweli
lazima zjue nafasi yake ni ndogo so asing'ang'ane kushindana na kubwa. Kubwa ni kubwa na itabaki kuwa kubwa.
Ha ha ha! Kongosho, una kipaji kweli kweli, no wonder kuna watu wanauliza jinsia yako lol
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom