Jaalut
Member
- Jan 18, 2020
- 72
- 244
UKWELI AMBAO WAZINIFU WENGI HAWAUJUI....
1. Zinaa ni deni
Zinaa ni deni ambalo lazma mzinifu alilipe atake au asitake.
Ukizini na mwanamke lazma ujue umezini na mtoto wa mtu au mke wa mtu au dada wa mtu au mama wa mtu...
Hivyo basi Ukizini na mwanamke yeyote yule, lazma na wewe mkeo, mama ako, dada yako pamoja na wanao waziniwe. Either kwa kujua au kwa kutokujua.
Kama Unajisifu umekula tunda kimasihara jua na mkeo watu wanamla kimasihara pia. Mana zinaa ni deni. (KARMA)
2. Zinaa humfanya mtu kukosa haya. (Kuwa kama mnyama)
Kimaumbile hakuna kitu kigumu kwa mtu mzima mwenye akili timamu kama kumvulia nguo mtu mzima mwenzake.
Lakini pindi mtu anapoingia kwenye ulimwengu wa uzinifu, haya umuondoka na suala la kuwavulia nguo watu tofaut tofauti linakuwa ni jambo jepesi mno.
Leo hii utakuta mtu hajaoa wala hajaolewa lakini watu chungu nzima wanajua utupu wake ulivyo na yeye wala hajali.
Kitendo cha mtu kuwavulia nguo watu wengi bila kujali ni dalili ya kukosa haya, kwa kifupi unakuwa hauna tofaut na mnyama.
3. Zinaa inasababisha ndoa kutokudumu.
Ni ukwel usiopingika kwamba kizazi cha sasa ndoa huwa hazidumu ila sababu kubwa ni kutokana na zinaa.
Mtu aliyezoea kubadilisha wapenzi kila kukicha hata akioa lazma atacheat tu, hii ni kwa sababu zinaa huleta addiction.
Siku zote mzinifu anapoowa au kuolewa lazma amlinganishe mumewe au mkewe na ma-ex zake wa zaman,
sasa ikitokea ma-ex wakawa
mafundi na watamu kuliko mumewe au mkewe basi hiyo ndoa lazma itaingia kwenye misukosuko mwisho wa siku itavunjika tu.
Mfano mzuri leo hii wanawake wengi wanalalamika kuwa wanaume wana vibamia, ila wanasahau kuwa sababu kubwa inayomfanya mwanamke aseme mwanaume fulani ana kibamia ni ulinganisho wa uume wa mwanaume huyo na mabwana zake wa zaman.
Kiuhalisia yapo madhara mengi ya zinaa kijamii, kiafya na kiuchumi ila naomba kwa leo niishie hapo,
VIJANA TUACHE ZINAA TUCHAPE KAZI.
#Corona-is-real #stayhome #staysafe
Sent using Jamii Forums mobile app