Zikikupanda unafanyaje?

huyo jamaa lazima ni domo zege hawezi kutongoza....aliona hiyo ndio chance,ila ni kujitakia mateso bure
 
I wonder why did the girl kept quite.... if it was me I would have taught him a lesson... so he will never do that to other girls
 
I wonder why did the girl kept quite.... if it was me I would have taught him a lesson... so he will never do that to other girls

Alikuwa anafurahia Mguso na usije shangaa naye alikuwa anarespondi taratiiibu teh teh teh
 
I wonder why did the girl kept quite.... if it was me I would have taught him a lesson... so he will never do that to other girls

Hii tabia imekuwa common sana kwenye daladala, Dar. Nakumbuka kuna mdada mmoja ashafanyiwa hivyo na hakuvumilia she spoke up na wote tukamzomea huyo mwanamume na akatelemka kwa aibu.

We have wierdos everywhere. Unakuta anapanda daladal kufanya uchafu wake tu wala hana destination. As if its not bad enough to have nymphomaniacs!
 
Mbona hizo bongo bado zipo sana wakuu?mie hata sijui inakuwaje maana hata kwa mia tano unapata kitu roho inazimia mfano mzuri pale mnazi mmoja wala huitaji lipia guest sasa huyo mie naona ni **** tu
 
Hahahahahahahah mfadhaiko wa akili :)...hii kitu inanikumbusha jamaa pale ambaye alipata mfadhaiko wa akili kwenye foleni ya kulipa bills za TANESCO na pale ilipokuwa HQ ya TANESO zamani (samora avenue) maana yeye alimua kabisa kutoa dudu lake na kufanya kweli kwenye wowowo la kukata na shoka, mama kushtuka yuko chepe chepe hapo ndiyo ikawa mshike mshike na hatimaye jamaa kama sikosei alifikishwa mahakamani na katika kujitetea ndiyo akatoa hiyo kauli kwamba alipatwa na mfadhaiko wa akili. Nadhani aliishia kupigwa faini kwa kumdhalilisha mama yule.
 
Hii tabia imekuwa common sana kwenye daladala, Dar. Nakumbuka kuna mdada mmoja ashafanyiwa hivyo na hakuvumilia she spoke up na wote tukamzomea huyo mwanamume na akatelemka kwa aibu.

We have wierdos everywhere. Unakuta anapanda daladal kufanya uchafu wake tu wala hana destination. As if its not bad enough to have nymphomaniacs!

Hata pale Tokyo hii tabia ipo sana tu hadi sasa hivi wake kwa waume hawachangii tena mabehewa baada ya wanawake kulalamika sana kuhusu kudhalilishwa, na sehemu nyingi tu duniani kule India tena ndiyo kabisa kule hushika hadi matiti kwa jinsi walivyojazana kwenye treni na si rahisi kumgundua ni nani aliyekushika.

http://www.reuters.com/article/idUSTRE55G4VP20090617
 
migongo ya kichina kwenye daladala inashawishi mno. inakuta binti kakalia hamira halafu anavaa kata kundhuz. halafu mbanano kisha hiyo serawili yake laiiinnn kiasi kwamba ukiigusa umegusa ngozi na ni mtepweto haswa. hivyo akikutana na kijana ambaye amezoea kupiga chabo, and akifanikiwa saaana ni kupiga nyeto basi muvi yake huwa si haba.

ila kuna viashiria vinaonesha kwamba bintiz wanapenda sana hizi soft attack ktk daladala..... huoni akilalamika wala kupangaranyika zaidi ya kusimama kimyaa na ukiangalia chini utamkuta kana panua miguu ili msokomezaji ahamasike zaidi....
 
Duh! Kuna mmama alimkamata kijana mmoja dudu yake kwenye daladala kimya kimya akaanza kuiminya mbya. Kijana ikabidi apige kelele, wattu wakaona, wakamtwanga kijana.
hii ndo tiba itakayowasaidia vijana na wakware wengine wanaopenda kupanda daladala pasipokujua uelekeo ilhali wanatafuta migongo ya kichina ya bure....
 
Akiendelea na tabia hiyo, lazima atakuja kuumbuka....................., atakuja kumwaga tui la nazi mbele za watu!
 
unaweza ona hata mtu yuko uchi, kama akili hujaitune, mtarimbo hauwezi kurespond
 
Back
Top Bottom