Teamo
JF-Expert Member
- Jan 9, 2009
- 12,272
- 1,035
- Thread starter
- #41
hehehehe!....Cheating, corruption, wars, na ufisadi wa kila aina ni matokeo ya "INFIDELITY". Nimeandika kwa rangi nyekundu kwa sababu huyu mdudu naifananisha na "SHETANI MWEKUNDU". Hakuna kirusi kinachotutafuna kama huyu....! Hata vita dhidi ya UKIMWI vimekuwa gumzo kwa sababu ya mdudu huyu; "INFIDELITY". Mimi automatically nimewekwa kwa wapinzani, na hivyo naipinga kwa nguvu zote....!
mkuu unataka kuisamaraiz sala ya bwana??