Zijue athari za kutoa mimba katika ulimwengu wa roho

Naunga mkono hoja,ulimwengu wa roho unatuaffect kuliko tunavyodhani,Unachoweza kufanya katika situation kama hii ili uwe free yakupasa utubu dhambi zako zoote kwa dhati kabisa,ufanye ama ufanyiwe maombi, na kujifunika na damu ya Yesu from that point onwards,
Damu ya Yesu na nguvu ya Mungu is everything, is soooo powerful, Ikumbukwe tukiziungama dhambi zetu Mungu huzisafisha na husahau kabisaa
 
Kuna idadi kubwa sana ya wanawake duniani wanao toa ujauzito. Wasicho kijua dada zetu hawa ni kwamba, kuna athari kubwa sana za kiroho katika tendo la utoaji wa mimba.

Unapotoa mimba, unakuwa umefungua milango ya roho ya mauti pamoja na wasaidizi wake katika maisha yako. Kutoa mimba ni moja kati ya fungu kuu arobaini za milango ya roho wa umauti na wasaidizi wake.

Roho hii ya umauti itakwenda kuathiri mfumo mzima wa maisha yako, kuanzia mahusiano., biashara, kazi nakadhalika. Mara nyingi roho hii hufanya kazi kwa utaratibu (gradually) na ina po komaa (mature), hali huwa mbaya sana wa muhusika.

Kwa ufafanuzi kidogo, umauti unaoletwa hapa unakuja katika sura tofauti tofauti na unaenda kukaa katika maeneo tofauti tofauti katika maisha yako. Kila kitu utakachokuwa unakifanya, kitakuwa kinakufa au hakikamiliki.

Katika Ulimwengu wa rohoni mwanamke aliye toa ujauzito, hujulikana kama “ MAMA WA MAITI” ama mama wa vitu vilivyo kufa. Katika ulimwengu usio onekana, hakuna watu ambao ni “ easy target” kama wanawake walio toa mimba. Kwa lugha ya kiingereza wanawake wa nao toa mimba, wako “ so visible from the point of the Devil’s Observation “.

Wachawi wanapotuma mapepo kwenda kufanya uharibifu katika mji Fulani, miongoni mwa watu wanao anza kushambuliwa huwa ni wanawake walio toa mimba au “ mama maiti” kama wanavyo julikana katika ulimwengu wa uchawi.

Wanawake wanaotoa mimba, hufungua malango ya roho ya umauti katika maisha yao. Hutumiwa na wachawi kama mabanda ya kufugia mapepo wachafu pamoja na mambo mengine mengi.

Pia huweza kuchukuliwa kama misukule kwa urahisi sana. Wengi wao huishia kuwa wagumba au kuwa na uzazi wa tabu na hata wanapo fanikiwa kujifungua watoto, basi watoto wao huwa wa ajabu ajabu sana na huwaletea madhara makubwa sana hapo baadaye.

Mtoto anayezaliwa baada ya mwanamke kutoa mimba, mara nyingi huwa anakuwa eidha ni :
i. Roho ya mtoto uliye muua akiwa tumboni.
ii. Mtoto wa kichawi ama mtoto wa kijini ambaye ni dini anayekuwa amepandikizwa kichawi kwa ajili ya kuleta matatizo katika maisha yako.
iii. Kufahamu kuhusu jinsi mtoto wa kichawi anavyo kuwa, hebu tembelea makala haya hapa

SULUHISHO : Ili kuondokana na athari za kiroho za kutoa mimba, mwanamke aliye toa mimba, anatakiwa kufanya tambiko maalumu kwa ajili ya kui –please roho ya mtoto aliyedhulumiwa haki ya kuja duniani kwa wakati alioutaka yeye. Baada ya kufanya tambiko hilo maalumu, anatakiwa kufanya tambiko la kufunga milango ya roho ya mauti pamoja na wasaidizi wake ( DEATH SERVANTS ).
Badala ususitize TOBA ya kiMungu unatoa suluhu ya TAMBIKO...umeanza vizuri umemaliza na ushetani.
 
Naunga mkono hoja,ulimwengu wa roho unatuaffect kuliko tunavyodhani,Unachoweza kufanya katika situation kama hii ili uwe free yakupasa utubu dhambi zako zoote kwa dhati kabisa,ufanye ama ufanyiwe maombi, na kujifunika na damu ya Yesu from that point onwards,
Damu ya Yesu na nguvu ya Mungu is everything, is soooo powerful, Ikumbukwe tukiziungama dhambi zetu Mungu huzisafisha na husahau kabisaa
Na kuwa nyeupe kama theluji
 
Kuna idadi kubwa sana ya wanawake duniani wanao toa ujauzito. Wasicho kijua dada zetu hawa ni kwamba, kuna athari kubwa sana za kiroho katika tendo la utoaji wa mimba.

Unapotoa mimba, unakuwa umefungua milango ya roho ya mauti pamoja na wasaidizi wake katika maisha yako. Kutoa mimba ni moja kati ya fungu kuu arobaini za milango ya roho wa umauti na wasaidizi wake.

Roho hii ya umauti itakwenda kuathiri mfumo mzima wa maisha yako, kuanzia mahusiano., biashara, kazi nakadhalika. Mara nyingi roho hii hufanya kazi kwa utaratibu (gradually) na ina po komaa (mature), hali huwa mbaya sana wa muhusika.

Kwa ufafanuzi kidogo, umauti unaoletwa hapa unakuja katika sura tofauti tofauti na unaenda kukaa katika maeneo tofauti tofauti katika maisha yako. Kila kitu utakachokuwa unakifanya, kitakuwa kinakufa au hakikamiliki.

Katika Ulimwengu wa rohoni mwanamke aliye toa ujauzito, hujulikana kama “ MAMA WA MAITI” ama mama wa vitu vilivyo kufa. Katika ulimwengu usio onekana, hakuna watu ambao ni “ easy target” kama wanawake walio toa mimba. Kwa lugha ya kiingereza wanawake wa nao toa mimba, wako “ so visible from the point of the Devil’s Observation “.

Wachawi wanapotuma mapepo kwenda kufanya uharibifu katika mji Fulani, miongoni mwa watu wanao anza kushambuliwa huwa ni wanawake walio toa mimba au “ mama maiti” kama wanavyo julikana katika ulimwengu wa uchawi.

Wanawake wanaotoa mimba, hufungua malango ya roho ya umauti katika maisha yao. Hutumiwa na wachawi kama mabanda ya kufugia mapepo wachafu pamoja na mambo mengine mengi.

Pia huweza kuchukuliwa kama misukule kwa urahisi sana. Wengi wao huishia kuwa wagumba au kuwa na uzazi wa tabu na hata wanapo fanikiwa kujifungua watoto, basi watoto wao huwa wa ajabu ajabu sana na huwaletea madhara makubwa sana hapo baadaye.

Mtoto anayezaliwa baada ya mwanamke kutoa mimba, mara nyingi huwa anakuwa eidha ni :
i. Roho ya mtoto uliye muua akiwa tumboni.
ii. Mtoto wa kichawi ama mtoto wa kijini ambaye ni dini anayekuwa amepandikizwa kichawi kwa ajili ya kuleta matatizo katika maisha yako.
iii. Kufahamu kuhusu jinsi mtoto wa kichawi anavyo kuwa, hebu tembelea makala haya hapa

SULUHISHO : Ili kuondokana na athari za kiroho za kutoa mimba, mwanamke aliye toa mimba, anatakiwa kufanya tambiko maalumu kwa ajili ya kui –please roho ya mtoto aliyedhulumiwa haki ya kuja duniani kwa wakati alioutaka yeye. Baada ya kufanya tambiko hilo maalumu, anatakiwa kufanya tambiko la kufunga milango ya roho ya mauti pamoja na wasaidizi wake ( DEATH SERVANTS ).

hii umeitoa kwa MUNGU WA KABILI
 
Hawatakuelewa kwa sasa mpaka madhara yakishaanza kuwapata ndipo watakuelewa.

Leo hii tunashuhudia misululu ya wanawake kwenye maombezi ua nyumba za waganga. Haya yote ni matokeo ya walichokifanya enzi zao sasa yamewafika shingoni wanatafuta pakupumulia.
 
Mtoa mada ameanza vizuri sana lakini amemalizia kihovyo kabisa. Suluhisho kwa mwanamke aliyetoa mimba ni kama alivyoandika LadyRed hapo juu. Ukifanya tambiko baada ya kutoa mimba unazidi kufurahisha hizo roho za mauti zinazovamia mwanamke aliyetoa mimba. Kutoa mimba ni UUAJI ! Mimba inapofika umri wa kutambulika kwa kipimo cha hospitali, tayari binadamu ameshaumbwa ndani ya tumbo la mama yake lakini bado umbo lake ni dogo sana. Kwa maneno mengine, mtu anayeua (anayetoa) mimba ameua mtoto (japo ni mchanga sana). Licha ya athari za kuvamiwa na roho za mauti, mwanamke aliyetoa mimba anajiongezea athari mbaya sana za kisaikologia. Mwanamke aliyetoa mimba hasemi lakini kila akimwona mtoto ambaye ana umri sawa na wa yule wa kwake aliyemtoa tumboni, anaumwa roho sana lakini anajikaza tu.
 
Ni kweli kabisa amemalizia vibaya. Hilo tambiko sio suluhisho. Suluhisho hapo ni kuomba toba na Rehema ili Mungu akusamehe.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom