Ziara ya Trump China, Boeing yaula

$1.1 Trillion ni sawa na Tshs ngapi?
2,472,250,000,000,000 Tsh.

Ukitaka kujua inatamkwa vipi basi hesabu idadi ya comma (kutoka kulia/right) halafu zidisha kwa 3.

Ukipata jibu angalia picha ya chini.

abdde1a26294dd9bfaecb6bfca104e61.jpg
 
Fuatilia ziara zote Trump kuanzia ile ya Saudia, Poland, South Korea, Japan na China. Kote huko anapata madili tu

•Saudia -Silaha dola bilioni 350 kwa ujumla

•Poland - Gesi
•South Korea - Silaha
•Japan -Silaha
•China -Biashara kama hvyo ndege, uchimbaji gas, nk

Naomba siku na Tanzania tupate Rais mfanyabiashara kama Trump
Wakat tunataja maskini kama sisi
 
Fuatilia ziara zote Trump kuanzia ile ya Saudia, Poland, South Korea, Japan na China. Kote huko anapata madili tu

•Saudia -Silaha dola bilioni 350 kwa ujumla

•Poland - Gesi
•South Korea - Silaha
•Japan -Silaha
•China -Biashara kama hvyo ndege, uchimbaji gas, nk

Naomba siku na Tanzania tupate Rais mfanyabiashara kama Trump
Ila huyu mjinga acha waendelee kumdharau tu ila ukweli anaifanya America kuwa Great Again. Tangu ameingia huko kote alikoenda hajatoa msaada wa hata sumni. Badala yake kila anakopita anaiingizia Marekani millions of us$. Hata akija huko Tanzania atahakikisha mnaingia mkataba wa mabilioni wa kununua hata sindano za vyerehani huko marekani. Ninyi si mnadai vyerehani vinne vinatosha kuwa viwanda vya kushonea viraka.
Na zaidi jamaa ile misaada inayotolewa na marekani anataka kui downsize kwa 30%
 
Fuatilia ziara zote Trump kuanzia ile ya Saudia, Poland, South Korea, Japan na China. Kote huko anapata madili tu

•Saudia -Silaha dola bilioni 350 kwa ujumla

•Poland - Gesi
•South Korea - Silaha
•Japan -Silaha
•China -Biashara kama hvyo ndege, uchimbaji gas, nk

Naomba siku na Tanzania tupate Rais mfanyabiashara kama Trump
Huyo wenu aliyejifungia pale Magogoni kama yule professor aliyekua amejifungia pale Buguruni?
 
Back
Top Bottom