fundi25
JF-Expert Member
- Apr 16, 2013
- 10,379
- 11,523
Haita tokea mkuu mfumo wa nafasi hiyo haupo karibu kabisa rejea mfumo wa kibashite msema kweli ni mpenzi wa mungu!!Fuatilia ziara zote Trump kuanzia ile ya Saudia, Poland, South Korea, Japan na China. Kote huko anapata madili tu
•Saudia -Silaha dola bilioni 350 kwa ujumla
•Poland - Gesi
•South Korea - Silaha
•Japan -Silaha
•China -Biashara kama hvyo ndege, uchimbaji gas, nk
Naomba siku na Tanzania tupate Rais mfanyabiashara kama Trump