Ziara wizarani: Jk anamuogopa prof. Mark mwandosya?

POMPO

JF-Expert Member
Mar 12, 2011
6,690
2,400
Kama ulikuwa unafutilia ziara za JK kupitia TBC, kila siku. Katika mfululizo wa ziara zake wizarani, JK amekuwa akioneshwa akiwakoromea mawaziri na kuwakatisha katisha wanapotoa taarifa kwake mfano. Magufuli (Ujenzi) MW. Hawa Ghasia (management) na MW. Nungu ( miundombinu). Alikua anaongea kwa msistizo, lakini leo (tbc habari) alipokuwa wizara ya maji kwa Prof. Mwandosya. JK hajaonyesha makali hata kidogo wala kumkatisha katisha Prof wakati anaonge. JE JK ANAMUOGOPA PROF?
 
Kumkatisha katisha Waziri ni kumkosea heshima na pia kunaonyesha serikali haifanyi kazi pamoja. Ina maana rais hapati hizi taarifa mpaka wakati wa hotuba?
 
Wizara ya Maji ni kati ya wizara zinazojitahidi kufanya reform. Soon tutaanza kuona matunda. Pia Prof kajieleza vizuri mbele ya Dr na kumridhisha.

Sasa akorome bila kuwa na sababu ya msingi?
 
kuna tofauti kubwa sana kati ya hawa watu wawili....mmoja ni prof...na huyu mwingine ni jamaa tu aliyetoroka monduli kipindi kile sababu ya umbea na fitna......so kuna gap kubwa sana kati yao
 
:tongue:

Weeee, unataka asikanyage Mbeya?

Siasa ya Mbeya si mchezo maana mwenyewe anajua Mbeya alipumulia mgongoni mwa Mwandosya
 
Wizara ya Maji ni kati ya wizara zinazojitahidi kufanya reform. Soon tutaanza kuona matunda. Pia Prof kajieleza vizuri mbele ya Dr na kumridhisha.

Sasa akorome bila kuwa na sababu ya msingi?

DR yupi unaemzungumzia dada/kaka........?

mkubwa mwenzie kisiasa hivyo ni lazima a observe 'protokali'..si unakumbuka walishatunishiana misuli sana??na hata 2005 waliingia wote tatu bora za CCM..
 
Kama ulikuwa unafutilia ziara za JK kupitia TBC, kila siku. Katika mfululizo wa ziara zake wizarani, JK amekuwa akioneshwa akiwakoromea mawaziri na kuwakatisha katisha wanapotoa taarifa kwake mfano. Magufuli (Ujenzi) MW. Hawa Ghasia (management) na MW. Nungu ( miundombinu). Alikua anaongea kwa msistizo, lakini leo (tbc habari) alipokuwa wizara ya maji kwa Prof. Mwandosya. JK hajaonyesha makali hata kidogo wala kumkatisha katisha Prof wakati anaonge. JE JK ANAMUOGOPA PROF?

huwa anakatiza wenzake wenye phd za kuunga-unga
 
Mwandosya ni mtenda kaz wa ukwel.. Hao wengne ni waimba ngonjera wenzake (******) ndo maana alikuwa anawakatshakatsha ho2ba zao..... Hawez kumkoromea prof. Mark hata kdg.
 
Wizara ya Maji ni kati ya wizara zinazojitahidi kufanya reform. Soon tutaanza kuona matunda. Pia Prof kajieleza vizuri mbele ya Dr na kumridhisha.

Sasa akorome bila kuwa na sababu ya msingi?

Naona umetaja Dr kwani Slaa alikuwepo ziarani?
 
Jaribuni kumu-observe kwa makini Prof Mwandosya, so far hajajiingiza katika tafrani yoyote ya kumpa umaarufu kwa cheap politics, na JK anajua hilo
 
Jaribuni kumu-observe kwa makini Prof Mwandosya, so far hajajiingiza katika tafrani yoyote ya kumpa umaarufu kwa cheap politics, na JK anajua hilo

Hawa Ghasia na Nundu walishajiingiza kwenye tafrani yoyote ya kuwapa umaarufu?
 
mwandosya kile kichwa si mchezo jamaa anahanya hanya pale. atasema nini wakati hajui lolote!
 
Obvious anamuogopa even me nilikuwa makini kumfatilia kujua kama atafanya aliyokuwa anafanya kwa wale wasanii wengine...................
 
Hawa Ghasia na Nundu walishajiingiza kwenye tafrani yoyote ya kuwapa umaarufu?
Hawa tena , si ulimsikia hivi karibuni tu akilia lia na wafanyakazi wake hewa na asijue la kufanya.Mzee Nundu sijui zoezi lake pale UBT liliishia wapi.Fuatilia mkuu.
 
hao wana long history kati yao kuna wkt JK alikuwa waziri na Prof alikuwa katibu mkuu wake so anajua utendaji wake wa kazi ulivyo means anajua Prof hana mboyoyo ka wengine
 
Back
Top Bottom