Ziara wizarani: Jk anamuogopa prof. Mark mwandosya?

wanajua walikotoka pia!!!View attachment 25667

JK anaweza washangaza watu kwa kum-endorse huyu jamaa ... i see a number of things in common to them ... he is one of the few former presidential aspirants ambao ****** hakuwaachia majeraha after the 2005 fiasco! No wonder Mwandosya hasn't been too much critic to the fisadis .... waiting eagerly to see the end of this movie ... another JK (refer TTCL saga) in the making??
 
Wizara ya Maji ni kati ya wizara zinazojitahidi kufanya reform. Soon tutaanza kuona matunda. Pia Prof kajieleza vizuri mbele ya Dr na kumridhisha.

Sasa akorome bila kuwa na sababu ya msingi?
Mh! Una haki ya kutoa maoni haya. Alipomwambia asilimia 55 ya wakazi wa Dar wanapata huduma ya maji safi toka DAWASCO alikuwa sahihi? JK anamwogopa sana Mark kwa kuwa wanajuana sana na 2005 Mark alikwenda hadi raundi ya mwisho ya Urais wa CCM.
 
Wizara ya Maji ni kati ya wizara zinazojitahidi kufanya reform. Soon tutaanza kuona matunda. Pia Prof kajieleza vizuri mbele ya Dr na kumridhisha.

Sasa akorome bila kuwa na sababu ya msingi?

Mbona unachanganya habari?
Wanaongelea Kikwete na Prof.Mwandosya Dr. katoka wapi tena?
 
Hata Mkapa alimwogopa sana JK kwa miaka yote 10 ya utawala wake hakumgusa wala kumkemea.
 
Hii ni episode moja tu niliyowahi kuipata as to why JK ni sisimizi kwa Mwandosya.
Hapo zamami za kale waliwahi fanya kazi wizara moja, JK akiwa waziri Mwandosya katibu mkuu. Basi kama umjuavyo ****** mbabaishaji akaibabaisha wizara kufikia point ya Mwandosya kuondoka kwa hiari akaapa hawezi fanya kazi na mpumbavu. Na katika kiapo hicho alisema siku JK akichukua fomu ya uraisi lazima na yy achukue kumuonesha kumpinga hadharani, na ndicho alichikifanya 2005. Na Mwandosya aliwahi kuwa kwenye blacklist ya JK so ikatakikana Prof awe terminated. Mkulu si akaenda huko anakokujua ilikuwa nchi ya jangwa ikachinjwa ngamia kwa madai kwamba the moment inakatika huyu naye huku anakatika. Prof aliishia kuugua sana na kuyumba tu kwa sababu Mungu si Athuman akapona. Waliporudi huku wanasubiri kuhudhuria kuag wanaona mtu yupo tu, yupo tu hadi leo na akajua kuwa prof anajua alichofanya ndo maana hadi leo hii akimuona anamuogopa sababu ya kila alichomfanyia.
Wenye kubisha mbishe, wenye kutetea mumtetee, lakini mwenye nia ya kujua ataenda kutafuta historia ya hawa wawili!!

iyo stori nliipata 2006 ila cjui kama ni kweli. Nasikia mtaalam alikufa na watoto 5 kwa kushindwa kumuondoa adui na mpaka leo iyo familia inatunzwa na govt.anyway huwa nahisi ni tungo.
 
prof na dr aliyeomba shahada..................... inakuwa ngumu kufanya comparison hata ktk mambo ya kawaida. therefore inambidi aogope hata kama jamaa angekuwa kaboronga.
 
wakati mwandosya akiwa katibu mkuu wa wizara ya nishati kikwete akiwa waziri,mwandosya alishamkatalia kusaini mama siti mwinyi kuingiza mafuta bila kulipa kodi na akamwambia mm nafanya kazi km mtaalam si mwana siasa hivo lzm kodi ilipwe! na ililipwa so kikwete knows the strength of mwandosya very much haezi ingia kichwakichwa
 
kuna tofauti kubwa sana kati ya hawa watu wawili....mmoja ni prof...na huyu mwingine ni jamaa tu aliyetoroka monduli kipindi kile sababu ya umbea na fitna......so kuna gap kubwa sana kati yao

Huu ndiyo ufinyu wa mawazo. Hivi unadhani kuwa profesa ni hoja? Suala hapa ni kwamba Rais anakosoa pale inapostahili lakini siyo kukoroma tu! Ukweli ni kwamba wizara hii chini ya Prof. Mwandosya imejitahidi sana na hata mkuu ametambua jithada zinazofanyika. Na huo ndo ukomavu!
 
Kama ulikuwa unafutilia ziara za JK kupitia TBC, kila siku. Katika mfululizo wa ziara zake wizarani, JK amekuwa akioneshwa akiwakoromea mawaziri na kuwakatisha katisha wanapotoa taarifa kwake mfano. Magufuli (Ujenzi) MW. Hawa Ghasia (management) na MW. Nungu ( miundombinu). Alikua anaongea kwa msistizo, lakini leo (tbc habari) alipokuwa wizara ya maji kwa Prof. Mwandosya. JK hajaonyesha makali hata kidogo wala kumkatisha katisha Prof wakati anaonge. JE JK ANAMUOGOPA PROF?

Acha unafiki, Anamuogopa kwa Lipi?

Acha kabisa uzabizabina wa Ki Chadema huo
 
Wizara ya Maji ni kati ya wizara zinazojitahidi kufanya reform. Soon tutaanza kuona matunda. Pia Prof kajieleza vizuri mbele ya Dr na kumridhisha.

Sasa akorome bila kuwa na sababu ya msingi?

Sasa JK si alikuwa anapata lecture ya bure toka kwa Prof. ikamkolea! Hahaaaa Prof kashusha nondo vizuri mbele ya Dr!!By the way hizi heshima zingine (Dr. wa heshima) zinaongeza uvivu wa kwenda shule, siziungi mkono kabisaaaaa!
 
jamani kuna thread inaendela huko.....sumaye anamwaga mavitu na mkuu invisible yumo ndo anatuhabarisha
 
Hilo ni changa la macho kwani huwa MP hampelekei analysis report za wizara au ndo kujikosha mbele za vyombo vya habari kwa kuuliza cheche zake hazarani aonekane mtendaji wa mambo hapa hamna kitu watu tumeshachoka na CCM.
 
Hii ni episode moja tu niliyowahi kuipata as to why JK ni sisimizi kwa Mwandosya.
Hapo zamami za kale waliwahi fanya kazi wizara moja, JK akiwa waziri Mwandosya katibu mkuu. Basi kama umjuavyo ****** mbabaishaji akaibabaisha wizara kufikia point ya Mwandosya kuondoka kwa hiari akaapa hawezi fanya kazi na mpumbavu. Na katika kiapo hicho alisema siku JK akichukua fomu ya uraisi lazima na yy achukue kumuonesha kumpinga hadharani, na ndicho alichikifanya 2005. Na Mwandosya aliwahi kuwa kwenye blacklist ya JK so ikatakikana Prof awe terminated. Mkulu si akaenda huko anakokujua ilikuwa nchi ya jangwa ikachinjwa ngamia kwa madai kwamba the moment inakatika huyu naye huku anakatika. Prof aliishia kuugua sana na kuyumba tu kwa sababu Mungu si Athuman akapona. Waliporudi huku wanasubiri kuhudhuria kuag wanaona mtu yupo tu, yupo tu hadi leo na akajua kuwa prof anajua alichofanya ndo maana hadi leo hii akimuona anamuogopa sababu ya kila alichomfanyia.
Wenye kubisha mbishe, wenye kutetea mumtetee, lakini mwenye nia ya kujua ataenda kutafuta historia ya hawa wawili!!

Hadithi za kutunga, hazina kichwa wala miguu..
 
kama anaongea point kwanini akatishwe?? tutazame kwanini wengine walikatishwa. sidhani kama ni suala la woga. au Jk hayuko vema mambo ya maji:embarassed2:
 
kuna tofauti kubwa sana kati ya hawa watu wawili....mmoja ni prof...na huyu mwingine ni jamaa tu aliyetoroka monduli kipindi kile sababu ya umbea na fitna......so kuna gap kubwa sana kati yao

Whaao!..TGIF..hii ni kali mkuu!!
Eniwei Mr. Prezidaa hatakiwi kukatiza hotuba, mana hata flow inakuwa haieleweki..Angeweza kuambiwa na Prof. ' mh.raisi naomba usubiri mpaka nimalize hotuba' halafu ndio angetia akili kurukia hotuba katikati...JK anazeeka vibaya!!!
 
"JK kwenye wizara nyingine alikua anaongea kwa msistizo, lakini leo (tbc habari) alipokuwa wizara ya maji kwa Prof. Mwandosya. JK hajaonyesha makali hata kidogo wala kumkatisha katisha Prof wakati anaonge. JE JK ANAMUOGOPA PROF?"

Thread nyingine humu zinashangaza sana, hivi kweli inaingia akilini mtu kusema eti "Jakaya anamuogopa Mwandosya!" mimi siamini kwamba Kikwete anaogopa mtu yeyote hapa duniani, naona anakemea pale ambapo ana taarifa za kutosha kuhusu huozo wa Wizara husika in other words kila wizara anayo tembelea anakuwa amefanya home work ya kutosha kabla ya kuitembelea.

Sasa tujiulize mtu kama kiongozi wa nchi ukikuta Waziri au Mkurugenzi anakuletea taharifa za kutunga/kubuni na visingizio chungu mzima (baadhi ya viongozi Tanzania wamekubuhu kwa kutoa visingizio, hawakosi hoja za kujitetea!) Je Jakaya akiwakatisha katisha Viongozi wanapo toa taarifa zinazo kinzina na taarifa alizonazo Jakaya, kweli tunaweza kuanza kumlahumu? Kukaa kwake kimya wakati Mwandosya anatoa taarifa kuna maana moja, nayo ni: Jakaya alikuwa na huakika kwamba taarifa anazo zitoa Mwandosya siyo za kupika, ni za kweli - period; lakini mambo ya kusema eti Jakaya anamuogopa Mwandosya ni kichekesho kusema kweli.

alibebwa sana Mbeya wakati wa kampeni na huyu jamaa lazima awe na heshima kidogo mbele yake...maana bila vile hali ingekuwa mabaya sana kwa JK mbeya.
 
Back
Top Bottom