Zembwela na mpoki...

mimi naona Zembwela ni mkali sababu anaongea kwa logic sana.Mpoki anachekesha tu.
 
Sioni namna ya kuwafananisha kwani ni viumbe wenye tabia tofauti kabisa.Isitoshe Zembwela wa 2002 ndiye angefananishwa na Mpoki na siyo huyu Zembwela wa 2012 ambaye kwa asilimia kubwa anaongea mantiki
 
Mnakosea sana mnapolinganisha watu katika nyakati tofauti...jiulize kwanza wakati unamsikia Zembwela je Mpoki hakuwepo???

Usiseme Messi anamzidi Zidane sababu kisa unamuona Mesi kila siku kwa wakati huu.
 
semeni yote, zembwela na mpoki kifo na usikizi! Zembwela anaufaham na uelewa mkubwa sana wa mbambo,isitoshe anaonekana anasoma na kujifunza vitu mbalimbali,nilimsikiliza juzi kwenye kipindi cha mkasi mshikaji yupo nondo mbaya,tokanimekuwa nikiangalia kipindi hiki zembwela alikuwa juu kwa 100% ubora,uchambuzi na kujenga hoja.hakuna cha lage wala nani kijana yupo juu.sipati picha akipatamwanya wa kuingia katka siasa.refer mikasi by salama.
 
Nakuunga mkono mkuu, Zembwela yupo nondo kichwani na anakushawishi kumsikiliza coz anaongea vitu relevant na hakika kuna mabadiliko makubwa katika uelewa wake wa mambo, anaelimisha, fikirisha na kufurahisha at the same point, while Mpoki yeye anafanya mahojiano yoyote yale kicomedian.
 
Zembwela anatalk point lakini kwa ishu ya hapa ya vijineno kama qualification MPOKI hashkiki..
 
Sioni namna ya kuwafananisha kwani ni viumbe wenye tabia tofauti kabisa.Isitoshe Zembwela wa 2002 ndiye angefananishwa na Mpoki na siyo huyu Zembwela wa 2012 ambaye kwa asilimia kubwa anaongea mantiki

sana kabisa
 
semeni yote, zembwela na mpoki kifo na usikizi! Zembwela anaufaham na uelewa mkubwa sana wa mbambo,isitoshe anaonekana anasoma na kujifunza vitu mbalimbali,nilimsikiliza juzi kwenye kipindi cha mkasi mshikaji yupo nondo mbaya,tokanimekuwa nikiangalia kipindi hiki zembwela alikuwa juu kwa 100% ubora,uchambuzi na kujenga hoja.hakuna cha lage wala nani kijana yupo juu.sipati picha akipatamwanya wa kuingia katka siasa.refer mikasi by salama.

hata mimi niona, ni moto wa mbali
 
Back
Top Bottom