Zembwela na mpoki...

tatizo hamjaelewa, issue sio nani anaupeo kuliko mwenzake au nani anatumia busara kuliko mwenzake, topic inasema NANI ANAVIJINENO KULIKO MWENZAKE, hebu eleweni topic
 
Msipotoshe,Mpoki tumemjua mapema kama moja wa wachekeshaji bora kipindi hicho Mambo hayo akiwa na Joti (muda mrefu sana umepita na wala si wa juzi).

Zembwela namuheshimu pia lakini tulimuona kichwa zaidi akiwa na Max (r.i.p) lakini tuache unafiki Mpoki ni talented jamani,vichekesho vinamflow utafikiri amezaliwa hivyo na hachoshi.Kwenye kuchekesha hakuna point zaidi ya kucheka.

Mpoki ni talented kwa maneno yanayochekesha sana wakuu zangu.
 
Mnakosea sana mnapolinganisha watu katika nyakati tofauti...jiulize kwanza wakati unamsikia Zembwela je Mpoki hakuwepo???

Usiseme Messi anamzidi Zidane sababu kisa unamuona Mesi kila siku kwa wakati huu.

Hawa wanazidiana umri tu lakini umri wao kwenye game la kitaifa (umaarufu) ni sawa sema Mpoki umri bado unamruhusu kuzidi kukimbiza!
 
Hawa wanazidiana umri tu lakini umri wao kwenye game la kitaifa (umaarufu) ni sawa sema Mpoki umri bado unamruhusu kuzidi kukimbiza!

wakati unamsikia Zembwela yuko juu Mpoki alikuwa wapi??kama alikuwepo kwa nini Zembwela ulimsikia zaidi??Mpoki mkali ila kwa wakati wake..usiseme Joti ni mkali zaidi ya Max sababu unamuona Joti kila juma2 akikukumbushakumbusha vichekesho vyake.
 
Zembwela zamani bhana!! kwanza max ndio alikua anambeba, sahv analazimisha tu,hana jipya,kwishnei,chali ...... kwanza mi nikiangalia kipindi chake cha uswazi huwa ANANIKERA tu hana jipya.
 
semeni yote, zembwela na mpoki kifo na usikizi! Zembwela anaufaham na uelewa mkubwa sana wa mbambo,isitoshe anaonekana anasoma na kujifunza vitu mbalimbali,nilimsikiliza juzi kwenye kipindi cha mkasi mshikaji yupo nondo mbaya,tokanimekuwa nikiangalia kipindi hiki zembwela alikuwa juu kwa 100% ubora,uchambuzi na kujenga hoja.hakuna cha lage wala nani kijana yupo juu.sipati picha akipatamwanya wa kuingia katka siasa.refer mikasi by salama.

we **** kweli,wanaonglea vjneno vya kuchekesha we unaonglea upeo wa mambo
 
Back
Top Bottom