Ze Komedi wapata pigo...

Habari kutoka TBC saa saba mchana, "mtaalam wa sauti wa kundi la Orijino Komedi amefariki kwa ajali (ya pikipiki)"

seki alipanda boda boda akienda wapi ......?... hizi ni hatari sana tena mjini.... RIP
 
MKUU FINEST UKIONA MWENZIO ANANYILEWA TIA MAJI..MMH HIZI AJALI KAMA KWELI MBONA ZITATUMALIZA ..UBAYA WALIKUWA MIKONI MWA MWA MWA dddaaadaaaaadaaaaaahHHHHH
RIP SEKI

AISEE YAANI NAUMIA ZAIDII KUNA MASHORI ALIKUWA AKIWATUNGUA PALE KIMARA MWISHO SIJUI KAMA ALIBAHATIKA KUWAACHIA HATA KAMIMBA CHA BAMBIKIZA TUJARIBU KUKALEA SEKI TULIOBAKI
SO SAD HANDSOME SEKI AUKO NASI KIMWILI TWAAMINI KIROHO UKO PAMOJA NASI ......YAANI NIKISOMAGA RIP MWILI WASISIMKA MAANA UJUI UKO KUKOJE NA AKUNA ALIERUDI KUTABALISHA

pDIDY UKO ALRIGHT KWELI?
 
seki alipanda boda boda akienda wapi ......?... Hizi ni hatari sana tena mjini.... Rip

hata uwe kijijini muwa kuripiwa ukifika utaitwa rip tu mpwa
swala la kuangalia ameacha mjane??watoto tutamsaidiaje hilo ndio la muhimu
bwana ametoa bajaji imetwaa sasa sijui nani abarikiwe hapo...??
 
pdidy uko alright kweli?

mkuu yaani nimefurahi kwasababu najua yuko hai na watu wameanza rip mapema....,
kidume anatumika vyema ata akiondoka fungu lake huko juu babu kubwa!!!
 
hata uwe kijijini muwa kuripiwa ukifika utaitwa rip tu mpwa
swala la kuangalia ameacha mjane??watoto tutamsaidiaje hilo ndio la muhimu
bwana ametoa bajaji imetwaa sasa sijui nani abarikiwe hapo...??

nina wasiwasi na wewe......kama upo sawa
 
mimi pia nimesikia kuhusu kifo ca msanii wa original komedi ambaye amegongwa na basi la Hood akiwa anaendesha pikipiki ila sijajua ni nani mpk sasa, mwenye habari zaidi atujuze
 
nimezipata kama tetesi
Wana JF!! Ukweli ni kwamba kikundi cha The Original Comedy wamefiwa na fundi wa PA (SoundMan) wao Ndg. Mohamed Muya aliyepata ajali ya pikipiki. Seki yupo salama. Mwenyezi Mungu ailaze ROHO ya Marehemu M. Muya Mahali pema peponi. AMEN
 
Sio kweli. Ni Muya, yeye anashughulika na sauti ktk orijino komedi. Alipata ajali akiwa kwenye pikipiki, aligongwa na basi la HOOD huko maeneo ya Kimara. Source: TBC Taifa(redio).
 
MKUU FINEST UKIONA MWENZIO ANANYILEWA TIA MAJI..MMH HIZI AJALI KAMA KWELI MBONA ZITATUMALIZA ..UBAYA WALIKUWA MIKONI MWA MWA MWA dddaaadaaaaadaaaaaahHHHHH
RIP SEKI

AISEE YAANI NAUMIA ZAIDII KUNA MASHORI ALIKUWA AKIWATUNGUA PALE KIMARA MWISHO SIJUI KAMA ALIBAHATIKA KUWAACHIA HATA KAMIMBA CHA BAMBIKIZA TUJARIBU KUKALEA SEKI TULIOBAKI
SO SAD HANDSOME SEKI AUKO NASI KIMWILI TWAAMINI KIROHO UKO PAMOJA NASI ......YAANI NIKISOMAGA RIP MWILI WASISIMKA MAANA UJUI UKO KUKOJE NA AKUNA ALIERUDI KUTABALISHA
Seki hajafa mtu wangu, utashikwa umbea bure:happy:
 
Ukweli ni kwamba kikundi cha The Original Comed wamefiwa na fundi wa PA (Sound Man) wao Ndg. Mohamed Muya aliyepata ajali ya pikipiki. Seki yupo salama. Mwenyezi Mungu ailaze ROHO ya Marehemu M. Muya Mahali pema peponi. AMEN

Poleni wafiwa pamoja na Orijino Komedi.
 
Back
Top Bottom