Oh! mai frendi zisi heti iz gudi! iz not availebo in Tanzania senki yuu vere machi
kesha zurura anakuja na kofia. nasikia anaendelea na ziara huko maliwi, anaenda kuzika. tuendelee kuweka rekodi za safari zake, anaweza kumpiga gepu kubwa VASCO DAGAMA

"HAMNAZO" kind of Presid ha ha ha haaaaa! Kama hafai kulinganishwa na VASCO DA GAMA basi tumfananishe na MYAHUDI MZURURAJI. Kazi tunayo na hivi na sisi wa-TZ ni mabumunda tutakoma. Hivi jeshini hatuwezi pata vichaa kama akina CAPTAIN SANOGO walipige BAN huko huko lilikoenda? Wajeshi wetu nao hovyo kabisa, eti nao wanatulaumu sisi raia kwa upole wetu. Mods tafadhali tuheshimiane!
hapaswi kuitwa Vasco da Gama, jina linalomfaa huyu jamaa ni 'mzamiaji' yaan yeye akikuta msiba anazamia, akikuta semina hata ya madiwani wa Brazil yeye anazamia tu!