Zawadi anazopewa rais wenu!

mpayukaji

JF-Expert Member
Oct 31, 2010
940
349

Rais Kikwete akijaribu kofia aliyozawadiwa na taasisi ya kilimo ya Brazil Agriculture Research Enterprise (EMBRAPA)Ajabu wenyeji wake hata hawavai hizo kofia! Kweli rais tunaye.
 
kesha zurura anakuja na kofia. nasikia anaendelea na ziara huko maliwi, anaenda kuzika. tuendelee kuweka rekodi za safari zake, anaweza kumpiga gepu kubwa VASCO DAGAMA
 
ngoja yeye arudi uone atakavyo waita hao wawekezaji aje awape maelfu ya heka kama zawadi.
 
"HAMNAZO" kind of Presid ha ha ha haaaaa! Kama hafai kulinganishwa na VASCO DA GAMA basi tumfananishe na MYAHUDI MZURURAJI. Kazi tunayo na hivi na sisi wa-TZ ni mabumunda tutakoma. Hivi jeshini hatuwezi pata vichaa kama akina CAPTAIN SANOGO walipige BAN huko huko lilikoenda? Wajeshi wetu nao hovyo kabisa, eti nao wanatulaumu sisi raia kwa upole wetu. Mods tafadhali tuheshimiane!
 
nimependa ulivyojihami hapo mwishoni!
 
pic-%20rapid%20trans-new.jpg
THE PUBLIC IS HEREBY NOTIFIED THAT, THE CONTRACT SIGNING FOR CONSTRUCTION OF THE DAR ES SALAAM BUS RAPID TRANSIT (BRT) INFRASTRUCTURE – PHASE 1; PACKAGE 1: ROADWORK HAS BEEN DONE ON 22ND DECEMBER 2010 BETWEEN TANROADS AND CONTRACTOR M/S STRABAG INTERNATIONAL GmbH OF GERMANY. PROJECT NAME
Second Central Transport Corridor Project (CTCP2).
Construction of Dar es Salaam Bus Rapid Transit (BRT) Infrastructure – Phase 1; Package 1: Roadwork
WORKS COVERAGE
Works for Phase 1
Length of 20.9 km of Morogoro Road (from Kimara to Kivukoni Ferry including sections of Kawawa Road), Kawawa Road (from Magomeni to Moroco) and Msimbazi Road (from Fire to the Intersection with Nyerere Road)
- The Works will also include construction of 29 ordinary bus stations ( bus stops) within roadway;
- 5 bus terminals
- 2 bus depots along the project corridor
- Construction of 3 Pedestrian bridges at Ubungo, Kimara Mwisho and Moroco
CONTRACT AMOUNT - Tanzania Shillings 240,878,713,651.61
CONTRACT PERIOD - 36 Months
We would like to remind the Public that, today we are signing the last Package Contract. previously we had signed the following contracts.
PACKAGE WORKS COVERAGE
1. Package 2 Ubungo Depot, Feeder Station and Up- Country Bus Terminal;
2. Package 3 Jangwani Depot;
3. Package 4 Kivukoni Terminal and Feeder Station;
4. Package 5 Kivukoni Terminal and Feeder Station;
5. Package 6 Feeder Stations;
6. Package 7 Relocations of Power Utilities

The above seven construction contracts will cost a total of Tshs 289,784,170,486.61.
The signing of these contracts is part of the Government's efforts to decongest traffic in Dar es salaam
 
Rais Kikwete akijaribu kofia aliyozawadiwa na taasisi ya kilimo ya Brazil Agriculture Research Enterprise (EMBRAPA)Ajabu wenyeji wake hata hawavai hizo kofia! Kweli rais tunaye.

Hizo kofia wanavaa maalbino kuwasetili na jua na ndio maana huyo mzungu hapo nyuma anamshangaa jamaa anavyofurahia hiyo hat!! Jamaa huyu ni cheating sana ;mswahili ni mswahili tu hata akivaa suti.
 
Back
Top Bottom