beautifulonyinye
JF-Expert Member
- Mar 16, 2015
- 726
- 478
Habari zenu wakuu..
Mm binafs nimekuwa mfuasi mkubwa wa Mange kimambi kwasababu anafichua ukweli uliojificha katika jamii.
Kwa miaka mingi zari amekuwa akimficha mtoto wake wa kwanza ambaye amemzaa akiwa shule na kudanganya umma kwamba yule ni mdogo wake. Sasa mambo yameharibika mange kashamwaga Mchele.. Na pia zari Hana miaka 36 Kama watu wajuavyo Ana miaka zaidi ya 40 ..
Kwa hali hiyo mtoto wa zari anamzidi babake wa kambo Mwaka mmoja. daah nimecheka Sana baada ya kutembelea page ya mange, swali limekuja kwann zari aongope kwamba zuleha sio mwanae? Bali mdogo wake?
Nimewawekea picha hapo chini
[/IMG][/IMG]