Tetesi: Zari Ana mtoto wa 1988

beautifulonyinye

JF-Expert Member
Mar 16, 2015
726
478
Habari zenu wakuu..

Mm binafs nimekuwa mfuasi mkubwa wa Mange kimambi kwasababu anafichua ukweli uliojificha katika jamii.

Kwa miaka mingi zari amekuwa akimficha mtoto wake wa kwanza ambaye amemzaa akiwa shule na kudanganya umma kwamba yule ni mdogo wake. Sasa mambo yameharibika mange kashamwaga Mchele.. Na pia zari Hana miaka 36 Kama watu wajuavyo Ana miaka zaidi ya 40 ..

Kwa hali hiyo mtoto wa zari anamzidi babake wa kambo Mwaka mmoja. daah nimecheka Sana baada ya kutembelea page ya mange, swali limekuja kwann zari aongope kwamba zuleha sio mwanae? Bali mdogo wake?

Nimewawekea picha hapo chini

[/IMG][/IMG]
 
Mbona hamna pic

Kweli Zarina ni mzee lakini ndio hivyo dogo kaoza
 
Habari zenu wakuu..
Mm binafs nimekuwa mfuasi mkubwa wa Mange kimambi kwasababu anafichua ukweli uliojificha katika jamii.
Kwa miaka mingi zari amekuwa akimficha mtoto wake wa kwanza ambaye amemzaa akiwa shule na kudanganya umma kwamba yule ni mdogo wake. Sasa mambo yameharibika mange kashamwaga Mchele.. Na pia zari Hana miaka 36 Kama watu wajuavyo Ana miaka zaidi ya 40 ..
Kwa hali hiyo mtoto wa zari anamzidi babake wa kambo Mwaka mmoja. daah nimecheka Sana baada ya kutembelea page ya mange, swali limekuja kwann zari aongope kwamba zuleha sio mwanae? Bali mdogo wake?
Nimewawekea picha hapo chini
[/IMG][/IMG]
Picha haifunguki!
 
baby_ake-1469015080863.jpg

@baby_ake - HHahahha jamani watu wanaumbuka sio mchezo ivi unajua nna jiuliza mtu una muapia mungu kabisa uongo ivi uogopi jamani Nataka kujua Zari alimzaa Zuleha akiwa na miaka mingap

Mlokuwa mananiambia nna amdika vt sivijui naona mnaanza kunisoma eti nnajua chimbuko la Zari mnazani mim ni mkurupukaji

Zari inabidi uingie kwenye kitabu cha record sasa kwa wale walio kuwa wanase,a zari ana miaka 41 sasa naona mmeanza kupaya picha kwamba ninuongo zari ana miaka 35 mwaka huu aa timiza miaka 36 so awezi kumza zuleha mwenye miaka 28 lije jua ije mvua kije kipindu pindu kije kisonono Zari kumzaa Zuleha ni ajabu la 8 la dunia mtoto wa miaka 8 kuzaa... so you guys do better acheni kumshuudia mtu uongo unahapa na miungu yoote duniani asa apo Zari kamzaeje mtu na ata nanyonyo hana alimyonyesha nn na alimtolea kwenye uc*i gani akati alikuwa ata penselu aiingii

Ila wakina Zari wamefanana jamani apo ukiniuliza Faith,sijui Zara au ashu simjui wamefanan iyo picha ni b4 yule mtoto wa kiume aja zaliwa

Yule mtoto wa kiume ndio wa mwisho na sio Zuleha tena Zuleha si ajabu akawa ni wa 3 kutoka mwisho Zara akawa na dada yake

$$$$%%%%%#$$%&&+$$&++%%%+

Haya wewe kama unasema unajua udaku wa kufata na kuingiwa na stresi za mtalakwa ambae ex-mume wake analala na rafiki yake mzimbabwe ambaye anamuogopa kumpaka ili asigungwe. Na sasa kaamishia kutunga uongo wa Zari...

Haya hao sisters hapo, kwa hiyo Zari kamzaa huyo dogo hapo hiloooooooo eeeeeehhhh
Wachambuzi wapo wamechambua kale ndimu
 
Mange hadi umemtukana mama yake Zari kuwa ni mzee asingeweza kuzaa mtoto wa umri huo, na kumuongezea umri Zari huku unajua huyo mdogo nae ana mdogo wake wao wa kiume...kweli talaka mbaya tena ukijijua unaishi kwenye mitandao hadi ukasahau kuwa mke na kuachika...

Eeeh na ile eti mzungu anakuzimia wewe celeb unajulikana mbona bado kakurushia talaka chungu haswa....achana na Zari...ambaye hata mapaparazi wa uganda ni pesa tu wanamsaka kumtumbua wapi...hongera kwa kumuongezea umaarufu

Kamjaribu shosti wako mzimbambwe anamla mumeo sasa hivi akumalize umamuogopa hiloooo...wivu tu umekujaaaaaa

Ex-mume na Ex-shosti wako hao...watafute wao kama una mishipa tuone kwanza wewe mtemi, sio kumtafuta Zari kwa wivu wa pia kumtamani Diamond.

kichwapanziiiiii-1469016415459.jpg
 
@kichwapanziiiiii - MTAALAMU WA UONGO
NAONA WENGI MMENITUMIA ISSUE YA ZARI NA MDOGO WAKE.ASANTENI NITAIANDIKA KIDOGO BAADAE

MSIMUAMINI HUYO ASILIMIA 90 YA MAMBO YOTE ANAYOWAAMBIA NI UONGO.

KWA UFUPI KUNA BAADHI YA MAMBO ANAYOSEMA MANGE HAYAWEZI TENA KUNISHTUA MIMI "NEVER" AGAIN MAANA NIMESHAMFAHAMU KUPITA MAELEZO.HIYO ISSUE YA KINA ZARI NILIJUA MAPEMA TU KUWA NI UONGO MKUBWA.

NAOMBA NIWAAMBIE KUWA MANGE NI MUONGO HATARI. UONGO WAKE ULIVUKA MIPAKA KWENYE HII ISSUE YA TALAKA.ALIJIANDAA NA MAUONGO MAZITOO HAMJAWAHI KUSIKIA.YAANI ALIUPANGA UONGO MPAKA UKAPANGIKA MWISHO WAKE INGEWEZA SABABISHA BABA WATOTO WAKE PAMOJA NA NYARI WOTE WAWEKWE JELA YAANI ALIDANGANYA ILI AWATIE HAO KWENYE MATATIZO MAKUBWA.MWANAMKE WA AINA GANI AMBAYE YUKO TAYARI BABA WA WATOTO WAKE AINGIE KWENYE MATATIZO MAKUBWA KIASI CHA KUWEZA KUWEKWA HATA JELA.

MUNGU MKUBWA AKAKUTANA NA JAJI MWENYE UZOEFU SANA.ALIMSTOPISHA PALEPALE NA MAUONGO YAKE NA SASAHIVI KWENYE SYSTEM YA MAREKANI ANATAMBULIKA RASMI KAMA MTU MGOMVI NA MUONGO ALIYEKUBUHU.KAIDANGANYA POLISI AKAENDA KUDANGANYA MPAKA MAHAKAMANI.HIVI NINAVYOONGEA ANA ADHABU KALI YAANI NI AIBU TUPU.

ISINGEKUWA WATOTO WADOGO ANGEKUWA JELA HUYO SAA HIZI KWA USHENZI ALIOUFANYA.BAHATI YAKE ANA WATOTO WADOGO KWAHIYO ANATUMIKIA KIFUNGO CHA NJE.LAKINI NI MHALIFU RASMI KABISA.

MANGE NJOO HAPA UBISHE.
 
Ngoja nami niendelee kuwa mdaku nirushe nayosoma insta...

from @who_iz_the_boss - Shame on you mange kimambi maaan i just love this family hapo mswahilk angeanza matusi na nini ila mdogo mtu kaja na jibu moja tu picha haya zari hapo cjui alizaa linimaana they all look young mange kimambi umeweka wapi uso wako. Shame on y'all too ambao mlikuwa busy kule mnasapot how do u feel beinh busted on ur faces

******************

kichwapanziiiiii-1469018241208.jpg

from @kichwapanziiiiii - JIULIZENI SASA KWANINI MAHAKAMA IAMUE KUMLINDA BABA K NA KUMUAMURU MANGE AKAE MBALI NA MZUNGU??? HATA MAWASILIANO YAWE CONTROLLED, YA KUHUSU WATOTO TU, WHY? ????,
AMEFANYA NINI KWANI?? ALIWAWEKEA CHAMPAGNE NA KUSEMA I LOVE AMERICA ILI KUWACHANGANYA TU. MBONA MAHAKAMA ISIAMURU MWANAUME NDIO AKAE MBALI NA MANGE??? MNAKUMBUKA ALIWAAMBIA ETI ALIPOJUA BABA K NA NYARI WANAWASILIANA ALIENDA AKAOMBA RESTRAINING ORDER AGAINST BABA K ,POLISI WAKAKUBALI NA BABA K AKAAMBIWA AKAE MBALI ASIISOGELEE FAMILY? ?? SASA MUULIZENI KULIKONI KUFIKA MAHAKAMANI HIYO ORDER JAJI AKAIGEUZA AKAAMRIWA YEYE NDIO AKAE MBALI NA BABA K???? POLENI SANA MNAOMUAMINI KICHAA BIN SHETANI.MHALIFU HUYO ANA HUKUMU TAYARI.

*************
kichwapanziiiiii-1469019082427.jpg

from @kichwapanziiiiii - SOMENI KWA MAKINI MANENO YA HAPO JUU, ALIYAANDIKA MANGE MWENYEWE MAJUZI.

MJIULIZE WHY?? KWANINI?? THEN MUULIZENI AWAELEZE ETI ALIFANYA NINI MPAKA KUPEWA RESTRAINING ORDER?? NA HUKUMU NYINGINE JUU.KAMA YEYE MJANJA NA KAMA ANAJIONA MWANAMKE KWELI AWAELEZENI HIYO RESTRAINING ORDER KULIKONI????
WANASHERIA TUSAIDIENI KUELEKEZA WATU NINI MAANA YA HIYO KITU NA NINI ATHARI ZAKE ILI WAACHE KUDANGANYIKA ZAIDI.
 
Back
Top Bottom