Zanzibar sio Nchi! Eti ni nini?

Katiba ya sasa ndio haiitambui znz Kama nchi.....labda baada ya huo mchakato wa Katiba mpya ndio rasmi zanzibar itatambulika Kama INJI.
 
SIo nchi bana...ni kakitu kengine kengine hata sijui ni nini!aghhhhhhhhhr
Wenyewe Zanzibariccm wameyataka wakiongozwa na balozi mkaazi walipokataa mapendekezo ya katiba ya waryoba ambayo yaliweka uwazi kuhusu muuungano sasa wanajikanganya wache watawaliwe na watanganyika.
 
ktk list ya nchi duniani,hakuna nchi inayoitwa zanzibar,ila najua nchi Tanzania,yenye mikoa 30,kati ya mikoa hiyo 30,mitano iko ndani ya bahari ya hindi,ikiwemo unguja,pemba na kaskaz na kusin na upi sjui

Kwenye iyo mikoa 30 ZANZIBAR imo haimo apo ndo utapata jibu
 
Zanzibar ni kama Ohio, Nevada, Virginia na majimbo mengine kwa pamoja ikaitwa USA. Hapa kwetu Zanzibar na Tanganyika zikaungana na kuwa Tanzania. Hivyo baada ya Muungano Zanzibar ikakoma kuitwa nchi vivyo hivyo Tanganyika badala yake kwa pamoja ikawa Tanzania. Usimsikilize mzee Madevu Rais wa UN atakupoteza
 
Ndiyo mafundisho mapya ya Jiwe hayo?
 
Wenyewe Zanzibariccm wameyataka wakiongozwa na balozi mkaazi walipokataa mapendekezo ya katiba ya waryoba ambayo yaliweka uwazi kuhusu muuungano sasa wanajikanganya wache watawaliwe na watanganyika.

Kwani lile jeshi ni lao lilomteka Jecha?
 
S
Kwani ndie aliyeandika katiba? Kwanza wapemba usiwaambie hizo habari watakushangaa mbona hawaulizwi passport wanapokuja kununua viazi mbatata Iringa

Hivi Tokea lini Magu ameijua Katiba? Neno hilo halimo katika msamiati wa CCM

Kwani wazanzibari wanataka viazi??
 
Back
Top Bottom