Zanzibar sio Nchi! Eti ni nini?

Petu Hapa

JF-Expert Member
Jan 2, 2008
714
55
Muungano tunaweza kuuongelea kwa hisia tofauti na tukasema yote tunayotaka kusema. Lakini sasa naona kuna haya maneno maneno ya kusema Zanzibar si nchi. Je hii dhana ni sahihi ? kutoka kipengele kipi cha katiba? Ama ni kwa hisia hisia zetu tu? Iwapo ni hisia tu, ni haki kweli kuvua utambulisho wa eneo kikejeli kejeli kweli. Na kama sio nchi, Zanzibar ni nini sasa? Mkoa? wilaya ama ni kitu gani?
 
Kwa wingi wa watu meaning population ni kama wilaya ya Jamhuri ya Muungano!!
 
Mmeishaambiwa mara nyingi tu kwamba kulingana na katiba ya Jamhuri ya Muungano, Zanzibar ni Sehemu ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania. Mengine utajiongeza mwenyewe kama ni mkoa, wilaya, kata, kijiji au kitongoji.
 
Zanzibar ni kipande cha ardhi ndani ya tazania/ tanganyika... kwni mlikua hamlijui hiloooo
 
Ni sehemu ya Tanzania...naweza kulinganisha na kanda hivi...ingawa kieneo ni kama manzese tu!!!
 
Muungano tunaweza kuuongelea kwa hisia tofauti na tukasema yote tunayotaka kusema. Lakini sasa naona kuna haya maneno maneno ya kusema Zanzibar si nchi. Je hii dhana ni sahihi ? kutoka kipengele kipi cha katiba? Ama ni kwa hisia hisia zetu tu? Iwapo ni hisia tu, ni haki kweli kuvua utambulisho wa eneo kikejeli kejeli kweli. Na kama sio nchi, Zanzibar ni nini sasa? Mkoa? wilaya ama ni kitu gani?
Hata Tanganyika siyo Nchi jamani. Matokeo ya muungano: Zanzibar na Tanganyika viliacha kuwa nchi. Nchi ikabaki kuwa JMT. Maneno yote ya mjadala wa Nchi au siyo nchi kwa pande zote ni lazima yaishie kuvunja muungano!!
 
SIo nchi bana...ni kakitu kengine kengine hata sijui ni nini!aghhhhhhhhhr
 
kwa mujibu wa katiba ya JMT zanzibar sio nchi ni sehemu ya muungano tu ila kwa kwa mujbu wa katiba ya SMZ zanzibar ni ila inpotekea sheria mbili zikaconflict each katiba ya JMT in hold true so zanzibar sio nchi
 
Hata hwaeleweki wana serikali gani....SMZ au SUK......
 
ktk list ya nchi duniani,hakuna nchi inayoitwa zanzibar,ila najua nchi Tanzania,yenye mikoa 30,kati ya mikoa hiyo 30,mitano iko ndani ya bahari ya hindi,ikiwemo unguja,pemba na kaskaz na kusin na upi sjui
 
Muungano tunaweza kuuongelea kwa hisia tofauti na tukasema yote tunayotaka kusema. Lakini sasa naona kuna haya maneno maneno ya kusema Zanzibar si nchi. Je hii dhana ni sahihi ? kutoka kipengele kipi cha katiba? Ama ni kwa hisia hisia zetu tu? Iwapo ni hisia tu, ni haki kweli kuvua utambulisho wa eneo kikejeli kejeli kweli. Na kama sio nchi, Zanzibar ni nini sasa? Mkoa? wilaya ama ni kitu gani?

Mmeishaambiwa mara nyingi tu kwamba kulingana na katiba ya Jamhuri ya Muungano, Zanzibar ni Sehemu ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania. Mengine utajiongeza mwenyewe kama ni mkoa, wilaya, kata, kijiji au kitongoji.

Hata Tanganyika siyo Nchi jamani. Matokeo ya muungano: Zanzibar na Tanganyika viliacha kuwa nchi. Nchi ikabaki kuwa JMT. Maneno yote ya mjadala wa Nchi au siyo nchi kwa pande zote ni lazima yaishie kuvunja muungano!!

kwa mujibu wa katiba ya JMT zanzibar sio nchi ni sehemu ya muungano tu ila kwa kwa mujbu wa katiba ya SMZ zanzibar ni ila inpotekea sheria mbili zikaconflict each katiba ya JMT in hold true so zanzibar sio nchi

ktk list ya nchi duniani,hakuna nchi inayoitwa zanzibar,ila najua nchi Tanzania,yenye mikoa 30,kati ya mikoa hiyo 30,mitano iko ndani ya bahari ya hindi,ikiwemo unguja,pemba na kaskaz na kusin na upi sjui

majibu yameshatolewa hapo juu
Petu Hapa
labda utuambie kipi hujaelewa mwenzetu kwenye hayo majibu ya wadau hapo juu tukusaidie kufafanua mkuu
NB zingatia post ya chigwiye
 
Zanzibar ni sehemu ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ambayo ina mamlaka ya kujiamulia mambo yake ya ndani kama uvuvi, kilimo, maji ya kunywa nk! Hivyo kimataifa Zanzibar haina mamlaka wala haki ya kijiwakilisha. Zanzibar haiwezi kuwa na jeshi lake la ulinzi vinginevyo itahesabiwa imeasi na adhabu ya muasi inafahamika. Rais wa Zanzibar hawezi kuwa amiri jeshi wa majeshi ya ulinzi na usalama.
 
KAMA ILIVYO MAMLAKA YA PALESTINA, ZENJBAR SIYO NCHI. KWA MUJIBU WA KATIBA YA JMT Z'BAR NI SEHEMU YA JAMHURI. mfano usiohitaji kufiriki sana ni KAMA VILE KIDOLE CHA MKONO SI MKONO BALI NI SEHEMU YA MKONO.
 
Mbona nikiangalia naona kama visiwa tu?nchi iko wapi?na wamepakana na nani?hela yao inaitwaje?na wamejiunga na umoja wa mataifa lini?na wameridhia tamko gani la un?rais wao ana mamlaka gani kimataifa?
Timu yao ilishiriki kombe la dunia mwaka gani?

Jeshi lao limeshiriki operesheni ngapi za kimataifa?
 
Back
Top Bottom