Zanzibar: Padri auawa kwa kupigwa Risasi!

Status
Not open for further replies.
Ni uharifu wa kawaida huenda walidhani ana pesa za sadaka. Hivi huyu hakuwa mhasibu?

Watu wengine wanataka tufungiwe humu jf unawezaje kutoa majibu mepesi kwa maswali magumu umeambiwa vipeperushi vilitembea baada ya padre wa kwanza kupigwa risasi kwamba bado mapambano yanaendelea,ww huna uzalendo na huenda unavaa suruali fupi.
 
mkuu nimetoka kanisani tumetangaziwa amepigwa risas leo asubuhi..uvumilivu unamipaka,.hawa jamaa wanatuchukulia poa sana..imefika muda na sisi ku-revange..liwalo na liwe

kweli mkuu nipo nimechafuka kwa hasira natamani nirukie wawili watatu niwanywe damu bila kujali ina virusi au la!
 
Eeh Mwenyezi Mungu tusaidie tuondokane na vita hii inayowalenga watumishi wako. Mpunzishe kwa anami mtumishi wako Padre Mushi. Pole kwa ndugu wa marehemu na kanisa katoliki Tanzania na duniani nzima.

tunahitaji busara sana kuishi na wapagani,maana wao kuchinja na kuua ni kawaida!
 
Unamfahamu kweli Pd Mushi? Tema mate na utubu! Sio mtu wa namna hio! Sio unakosea mbele ya Mungu na watu wake!

Kabla ya kukurupuka ulitakiwa kusoma kwa makini. Nimesema LABDA, maanaake sina uhakika. We,wamkoa gani? Hata kiswahili chepesi huelewi! Kazi unayo.
 
Wewe ndiye utakuwa mnafiki hivi hujaona au kusikia padri anatembea na mke wa mtu?

Chama
Gongo la mboto DSM
1. Chama, si mapadre wote wenye tabia hizo. Mapadre wapo wengi sana, na walio wengi ni viongozi wazuri sana wa kiroho na ni waaminifu kwa wito wao.

2. Marehemu Padre Evarist namfahamu vizuri. Ni padre mzee mwenye heshima zake, na ana miaka karibu 30 kwenye huduma ya upadre.

Wakati fulani kukaa kimya ni vizuri zaidi ya kuropoka.
 
[h=5]Kwa wasomaji wa biblia, Pale bustanini Getsemane Yesu alimwambia Petro rudisha upanga alani mwaka baada ya kumkata sikio yule askari.

Imefika mahali sasa kwa wakristo ambapo wanaona ule upanga waliouhifadhi alani unahitajika kuchomolewa, sijui nani atakayezuia tena upanga huo usifanye kazi.

Lakini nawaomba wakristo kufanya haraka ya kuchomoa panga zao, endeleeni kuzihifadhi wakati bado japo viashiria vimeonekana.[/h]
 
mkuu nimetoka kanisani tumetangaziwa amepigwa risas leo asubuhi..uvumilivu unamipaka,.hawa jamaa wanatuchukulia poa sana..imefika muda na sisi ku-revange..liwalo na liwe

Ndugu yangu (ktk utaifa ) jichinjie nguruwe wako ujitafunie2 haya mambo huyawezi. Maisha matam lakini mafupi.
 
Tukilaani kitendo hicho kwa nguvu zote bila kujali itikadi zetu. Kila binadam mwenye akili timamu hapaswi kufurahia unyama huo
 
kama unanituhumu nipeleke polisi wanichunguze kupitia huu mtandao ukiweza kutumia akili huto kuwa mtumwa wa kiakili
 
...Igunga walipanda mamba na kujiaminisha akikua atakuwa mjusi pande zote za dini ndani ya chama chao walishangilia na kuungana na kuamini matokeo ya mwisho mamba atakuwa mjusi....

...leo mjusi amekua amekuwa
mamba ameanza kula upande moja wamemtuma anayejua lugha yake mjusi amemwambia mlipo nipanda mlitegemea nitakula majani?

Mkuu umemsahau na yule kenge walio mfuga juuya ule mwarobaini, aliye waambia kua nchi haita tawalika na leo tunaona.
 
Hawa wanajaribu kuficha ukweli ili ukweli wa mambo waislamu ndo wahusika na hakuna cha kuficha
 
Nchi sasa ipo gizani! Ni nani wa kuwasha taa iwaangaziye watu wa nchi hii.

Kiongozi wa kiroho anauwawa akielekea kutoa huduma ya kiroho kwa waumini wake; tunaelekea wapi?

Upo wapi WEWE uliyeanzisha ili sekeseke la kidini; ulichohitaji ulipata kwa nini usilifunge. Umekaa kimya unasubiri nchi ipasuke vipande vipande; oooh Mungu fanya jambo wakajuye kuwa upo. Watu hawa wenye shingo ngumu wamejigeuza miungu wanasema wasiyoyaamini; ktk masuala magumu wanaleta mzaha.

Wamedhihaki madhabahu zako kwa kuziteketeza na moto lengo kuuwa roho za waamini sasa wamegrukua watendakazi wako; nani apigane kama si WEWE MWENYEWE? Wanyime pumzi; na watu wote waseme Amen

.
Kule Geita wamejichukulia shiria mkononi kumfuata mchungaji aliyechinja kitoweo katika eneo la kanisa na kumchinja. Serikali badala kwanza kukemea kwa nguvu zote wauaji wanaanza kuangalia ni nani mwenye uhalali wa kuchinja. Hii ni sawa na kusema kuwa kama utaratibu wa serikali ni muisilamu achinje kitoweo cha mkristo, basi aliyeuawa ni kwa sababu ya kuvunja utaratibu wa serikali.
Huko Zanzabar nako kafuatwa padre kanisani na kwenda kupigwa risasi kwenye mlango wa hekalu. Kitakachofuata ni tamko la polisi kuwa hao watakua ni majambazi kama majambazi wengine. Wakiulizwa je mna fununu ya genge lolote lile la kijambazi kuhusika? Utasikia hapana; sasa hizo ramli mlizipata wapi na zina malengo gani? Kuna ushahidi wa vipeperushi na cd za video kuhusu kuhamasisha viongozi wa kikristo kuuawa je polisi/serikali mmlishawahi wahoji hawa wapeperushaji madhumuni na nia yao ya kufanya hivyo? Jibu ni hapana. Kwa nini basi raia tusiamini huu ni mpango wa serikali kuivuruga nchi ili kuficha mambo wanayoyafahamu wao wenyewe?
Watanzania tusikubali kuyumbishwa na watawala ni lazima kutumia jicho la tatu kukabiliana na haya mauza uza yanayoendela nchini kwa sasa.
.
 
Mngekuwa mnalaani mauaji ya masheikh kule kenya kama mnavyolaani mauaji ya padri ningewaona wa maana sana

Haya mauaji ni ya Tanzania sio Kenya na hoja hapa ni Tanzania sio Kenya na kama unafurahia mauaji haya au hata kama ni facilitator basi endelea kufurahia na kufacilitate maana inavyoonekana ni kauli za ku-compasate kama sio ku-revenge.
Kimsingi hakuna binadamu mwenye akili timamu na kwa imani yake anayoiishi atafurahia mwanadamu mwenzie kufa.
kama wewe umefurahishwa na mauaji ya Padri eti kwa kuwa kuna Mashehe wamewahi kuuwawa basi nimekuelewa wewe ni mtu wa aina gani na umedhamiria nini,na wala sihitaji kuendelea kulumbana na mtu kama wewe.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom