Zanzibar: Padri auawa kwa kupigwa Risasi!

Status
Not open for further replies.
Hawa Waislam wengi wana akili finyu sana na wanajua Wakristo tunaishi kistaarabu.Ata ivo Zanzibar kutokana na sensa kuna watu Milioni 1.4 Bara kuna Milion 43.Kuna haja ya Muungano akati wenyewe wavivu na wataalamu wa kulalamika?CDM ichukue nchi,tupilia mbali mawazo ya Muungano waislam wa bara tunategemea wawe wastaarabu au wamfuate ponda lupango.kuna wakati inatakiwa tukubali sio mawazo yote ya nyerere ni sahihi hadi leo.Kama Muungano usioeleweka..........Mungu ampumzishe kwa amani Mtumishi wake Padri Mushi ....
 
enough is enough ..!!!this is too much and totally un acceptable... PLEASE GOD INTERUPT THIS NOW..! SHOW THESE CURSED THAT YOU DO EXIST, dear God.
 
Lakini tusisahau visasi vya kimapenzi, labda jamaa ( paroko ) alikua akiiba mke wa mwenyewe ( muuwaji )

Unamfahamu kweli Pd Mushi? Tema mate na utubu! Sio mtu wa namna hio! Sio unakosea mbele ya Mungu na watu wake!
 
Very confusing. Kila mmoja na lake
-wafuasi Farid na Ponda
-ooh JK huyo kapandikiza udini
- ooh wanzazibari na azma yao kujitenga
- vijana wa Said Mwema hao
-ooh Majambazi hayo
-wachochezi hao wanataka kuvuruga amani na umoja wetu
Very confusing.
 
Tunasubiri Tamko la viongozi wakuu wa dini hususani kardinali Pengo na rais wa baraza la maaskofu Tarsius Ngalalekumtwa mkichelewa sisi tunaenda kufa mashahidi tumechoka tena tumechoka sana!
mkuu nimetoka kanisani tumetangaziwa amepigwa risas leo asubuhi..uvumilivu unamipaka,.hawa jamaa wanatuchukulia poa sana..imefika muda na sisi ku-revange..liwalo na liwe
 
Waislamu wa ukweli wenye imani thabiti wanaua makafiri na pepo ipo juu yao.Waislamu wenye imani haba wanawasihi makafiri kuishi kwa upendo na umoja na jehanam ipo juu yao.Wakristo wa ukweli watasimamia neno la Mungu Yoh 16:1-4.Roho mtakatifu awaongoze katika kutokomeza hali hii.Amen
 
Kiini kina julikana bana labda watake kupoteza muda tu na pesa zetu...


...Igunga walipanda mamba na kujiaminisha akikua atakuwa mjusi pande zote za dini ndani ya chama chao walishangilia na kuungana na kuamini matokeo ya mwisho mamba atakuwa mjusi....

...leo mjusi amekua amekuwa
mamba ameanza kula upande moja wamemtuma anayejua lugha yake mjusi amemwambia mlipo nipanda mlitegemea nitakula majani?
 
Hii ni hatari sana, siku wakristo nao wakatoa maneno kama hayooooo, sijui kama kutakuwa na amani tena, ......sehemu yeyeote ukitaka anamni jengenei utamaduni wa kuvumiliana....mfano mwananke mwenye akili, mume akirudi na mimaneno mingi, hutakiwi kujibu, atalala na kesho yeke umtayamaliza kwa amani
kweli kwa hali hii naona hii ni hatari. maneno yaliyopo kwenye video hizi ni uchochezi uliopindukia. Na pale naon akuna vijana wengi wapo wanatikisa vichwa kukubaliana naye anaposema watu washike bunduki wapigane. halafu huyu Ilunga anamtumia huyo shehe Rogo wa Mombasa kama ndiyo reference. hata simsikii akisema mtume Mohammed alisema tufanye hivi, yeye anakazania "...Shehe Rogo amesema tukamate bunduki..." Kwa hiyo huyu shehe leo kawa ndio mungu waislamu wote wafuate mawazo yake hasa ya kushika bunduki, (AK47 na nyinginezo) kutetea dini? Yawezekana ndiyo waumini wanaanza kutekeleza maagizo yake sasa. Mungu atusaidie kila mtu apate ufahamu japo kidogo tu.
 
Hata alipouliwa yule Mchungaji kule Geita wengi ya niliokutananao hawa watu walifurahia kuuwawa kwake inanishangaza imani hii inayojinasifu amani kuwa wauaji wawatu wasio na hatia
Hivi nyie Wakiristo mtu hakiwa
Muislam ni gaidi basi siku Dr Slaa akichukuwa nchi mtuchinje wote
mbakie peke yenu Wakirsto watupu.
 
Hawa ndugu zetu waislam kweli wanamatatizo sana,sioni wala sijawahi soma mahali popote katika vitabu vitakatifu vilivyoandikwa kwamba lazima kupigana kufa na kupona kwa ajili ya kuzuia dini ingine isiendelee,huu ni upuuzi na hii damu itawarudia na nataka kuwahakikishia anayeua kwa upanga atauwawa hivyo hivyo,this is the second case kwa mapadre,mmoja alipigwa risasi amepona hadi leo hakuna aliyekamatwa kwa kuhusika,leo ameuwawa it will be the same thing,nadhani muda umefika sasa kwa wakristu jamani tujibu mashambulizi!!!!!!!!!tutakuwa victim wa hii serikali ya kidhalimu ya CCM/Kiislamu hadi lini?we need to look back and decide,enough is enough!!!!!!!!!!
R.I.P Fr.Mushi
Amen
Anzisha! kweli ww kichwa maji,unataka waanzishe wenzio?acha uchochez, tofauti yako na Ilunga ipo wp?Pimbi ww
 
Huku tunakoenda sio kuzuri...najua ndani ya kanisa pia kuna gangs...tushakemea sana, naona wanatuingia kwenye chup..i sasa!!
 
Nchi sasa ipo gizani! Ni nani wa kuwasha taa iwaangaziye watu wa nchi hii.

Kiongozi wa kiroho anauwawa akielekea kutoa huduma ya kiroho kwa waumini wake; tunaelekea wapi?

Upo wapi WEWE uliyeanzisha ili sekeseke la kidini; ulichohitaji ulipata kwa nini usilifunge. Umekaa kimya unasubiri nchi ipasuke vipande vipande; oooh Mungu fanya jambo wakajuye kuwa upo. Watu hawa wenye shingo ngumu wamejigeuza miungu wanasema wasiyoyaamini; ktk masuala magumu wanaleta mzaha.

Wamedhihaki madhabahu zako kwa kuziteketeza na moto lengo kuuwa roho za waamini sasa wamegrukua watendakazi wako; nani apigane kama si WEWE MWENYEWE? Wanyime pumzi; na watu wote waseme Amen
 
Ndiyo ombi langu, kwa Said Mwema. Hii hamuitaji muumini yeyote atoe tamko. Kuna dalili kwa wakristu kuchoka uvumilivu. Ndiyo yako maneno maeneo mengi yanasemwa. Jeshi la polisi jitokezeni kukomesha mauaji ya watu wasio na hatia. Bahati mbaya mauaji haya yana harufu ya UDINI. Polisi mliapa na hatimae kukamata wale wote waliohusika na Mauaji ya kamanda Barlow. Kweli mliweza, katika hili la Padri Mushi mnatakiwa kwa uzito uleule. Kushindwa kwenu hamtakwepa LAWAMA za kuliangamiza TAIFA. Jumapili njema.
 
Vipi kuhusu yule padre mwingine aliyepigwa risas akiwa ametokea kwenye ibada? Vipi kuhusu maendeleo yake? Mwenye Taarifa atujuze .
 
Waislamu wa ukweli wenye imani thabiti wanaua makafiri na pepo ipo juu yao.Waislamu wenye imani haba wanawasihi makafiri kuishi kwa upendo na umoja na jehanam ipo juu yao.Wakristo wa ukweli watasimamia neno la Mungu Yoh 16:1-4.Roho mtakatifu awaongoze katika kutokomeza hali hii.Amen
Du kwel wewe mchochezi! unatumia makalio kufkri ee
 
Wakirsto mnatumia dini au serikali? Sisi waislamu tukidhulumiwa tunamshtakia mungu, kwanini nyinyi mnaishitakia serikali?
 
Mungu aipumzishe mahali pema peponi roho ya marehemu Padri Mushi.
Ni tukio la kusikitisha na kuhuzunisha kwakweli, Mungu atusaidie
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom