Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Zanzibar: Padri auawa kwa kupigwa Risasi!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by dada white, Feb 17, 2013.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. dada white

  dada white JF-Expert Member

  #1
  Feb 17, 2013
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 1,234
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Padri Evarist Mushi, ambaye ni paroko wa parokia ya Minara Miwili - Mtoni Zanzibar amepigwa risasi na watu wasiojulikana leo mida ya saa moja asubuhi akielekea kanisani kuongoza ibada.

  Source: Radio Wapo

   
 2. dada white

  dada white JF-Expert Member

  #2
  Feb 17, 2013
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 1,234
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Nitazidi kuwapa updates kadri navyozidi kuwapa data.
   
 3. akenajo

  akenajo JF-Expert Member

  #3
  Feb 17, 2013
  Joined: Oct 21, 2012
  Messages: 1,512
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 38
  Mungu ampe pumziko la amani,na wahusika watafutwe na kukamatwa na kupelekwa mbele ya sheria
   
 4. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #4
  Feb 17, 2013
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 27,499
  Likes Received: 1,336
  Trophy Points: 113
  So RIP kama ni kweli.
   
 5. combra

  combra JF-Expert Member

  #5
  Feb 17, 2013
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 125
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 16
  Padri Mushi ambaye ni paroko wa parokia ya Minara Miwili - Zanzibar amepigwa risasi na watu wasiojulikana leo mida ya saa moja asubuhi akielekea kanisani.

  Source: Radio Wapo ya jijini Dar es Salaam
   
 6. eburtm

  eburtm Senior Member

  #6
  Feb 17, 2013
  Joined: Oct 19, 2011
  Messages: 86
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 6
  Eeh Mwenyezi Mungu tusaidie tuondokane na vita hii inayowalenga watumishi wako. Mpunzishe kwa anami mtumishi wako Padre Mushi. Pole kwa ndugu wa marehemu na kanisa katoliki Tanzania na duniani nzima.
   
 7. dada white

  dada white JF-Expert Member

  #7
  Feb 17, 2013
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 1,234
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Kama umefungua redio wapo utasikia wanavyodadavua tukio lilivyotokea.
   
 8. akenajo

  akenajo JF-Expert Member

  #8
  Feb 17, 2013
  Joined: Oct 21, 2012
  Messages: 1,512
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 38
  Mungu atusaidie kwenye hili wimbi la viongozi wa dini kupigwa risasi
   
 9. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #9
  Feb 17, 2013
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,469
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 48
  Hii nchi hii..!, kazi ya mahubiri ya Sheikh Ilunga imeanza kuonekana....
   
 10. Kiby

  Kiby JF-Expert Member

  #10
  Feb 17, 2013
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 4,307
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 48
  Ni padre Mushi wa parokia ya mirara miwili Zanzibar. Amepigwa risasi akiwa anashuka kwenye gari tayari kwa kusalisha.
  .
   
 11. Gaza and Israel

  Gaza and Israel JF-Expert Member

  #11
  Feb 17, 2013
  Joined: Jan 3, 2012
  Messages: 2,112
  Likes Received: 266
  Trophy Points: 83
  Wakubwa:

  Taarifa zilipatika sasa hivi ni kuwa Paroko wa Kanisa la Katoliki Minara Mirefu Zanzibar, Evarist Mushi amefariki dunia baada ya kupigwa risasi saa 1.00 asubuhi na kufariki kabla hajafika hospitali ya Minazi Mirefu. Paroko huyu amepigwa risasi akishuka katika gari lake wakati akienda kuendesha ibada ya saa 3.00 leo.
   
 12. C

  C programming JF-Expert Member

  #12
  Feb 17, 2013
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 1,152
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 38
  padri wa kanisa katoliki la parokia la minara miwili amepigwa risasi na kuwawa..na watu wasiofahamika....na kumuuwa fadher evelist mushi....

  tukio hiloo...limetokea asubuhi hii wakati father evarist mushi akielekea ...kanisani kwenda kusalishaa ghafla alivamiwa na kumpiga risasi na kuuwawa......

  source:wapo redio.....breaking news kipindi cha patapata
   
 13. M

  Milindi JF-Expert Member

  #13
  Feb 17, 2013
  Joined: Mar 3, 2009
  Messages: 751
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 28
  Nimesikia wapo Radio ni kweli.Mungu ailaze Mahala pema peponi Padre Mushi.Hata mimi uzalendo umenishinda kabisa na inaniuma sana.
   
 14. Return Of Undertaker

  Return Of Undertaker JF-Expert Member

  #14
  Feb 17, 2013
  Joined: Jun 12, 2012
  Messages: 1,043
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 38
  Amin nawambieni msiogipe yuke uwaye nwili maana kazi ya shetani ni kuuwa bali nwana huisha
   
 15. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #15
  Feb 17, 2013
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 35,208
  Likes Received: 1,530
  Trophy Points: 113
  Alazwe mahali pema.....kisa cha kuuawa ni nini?
   
 16. dada white

  dada white JF-Expert Member

  #16
  Feb 17, 2013
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 1,234
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Tatizo umeshalitaja mbele ya swali lako au unataka upewe tatizo gani tena?
  Tatizo ni kuwa waislamu hawatupendi na wana vita na chuki kubwa sana juu ya ukristo at the same time wakristo wanaendelea kulala usingizi fofofo wakizani hawa jamaa ni ndugu zetu.
   
 17. Rapherl

  Rapherl JF-Expert Member

  #17
  Feb 17, 2013
  Joined: Jun 20, 2012
  Messages: 2,854
  Likes Received: 733
  Trophy Points: 113
  Huu ni mpango maalumu naona,ngoja tuone mwisho wake
   
 18. mustafa ommy

  mustafa ommy JF-Expert Member

  #18
  Feb 17, 2013
  Joined: Feb 8, 2013
  Messages: 221
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 16
  Ooooh, so sad , apumzike kwa amani
   
 19. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #19
  Feb 17, 2013
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 13,845
  Likes Received: 1,451
  Trophy Points: 113
  tuna hali mbaya kuliko tunavyojiona, tupo mbali sana....viongozi hawaijali nchi yetu wala hawafikirii vizazi vijavyo vitaishi kwenye mazingira gani, wanachowaza wao kutawala tu.!!!!!
   
 20. Siku za ajabu

  Siku za ajabu JF-Expert Member

  #20
  Feb 17, 2013
  Joined: Dec 23, 2012
  Messages: 587
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 18
  Jamani tuombe,tuombe tuombe mungu afanye njia.
   
Thread Status:
Not open for further replies.

Share This Page