CHIEF MVUNGI
Member
- Apr 6, 2012
- 99
- 14
Nyiye wabongo hamujui kumbe! sasa kwa taarifa yenu Zanzibar hakuna uhuru wa vyombo vya habari na ukafungua mdomo mawili kufungwa au kuuwawa katika mazingira ya kutatanisha na ndo sabb wana TV yao(ZBC)hii mwanzo mwisho husifia serikali na kutaarifu habari za CCM tupu, weye hujui kwann hawataki kituo kingine cha TV kufunguliwa?wanajua wataja umbuka ati,sasa nyiye huona hakuna ufisadi eeh,tazmeni hapa pangu hiyo nio kashfa ya rais mstaafu Aman Karume.