Zanzibar kweli ni nchi!

Hayo yote ni matunda yaliyotokana na hiki kikundi cha watu wachache kwa jina la ccm. Kiukweli huu Muungano unakera mpaka basi.

Inachosha sana kuwalea watu wazima kama watoto kwa miaka 60 sasa! Wanatakiwa wajitegemee wenyewe sasa kwa 100%. Muungano wa changu changu, chako changu unaiumiza Tanganyika karibia katika nyanja zote.
 
Nilivyowaona waamuzi wao wanaboronga Mapinduzi Cup. Niliamini hawawezi kusimamia lolote. Hata nikaamini kumbe ndiyo maana Jecha alivuruga uchaguzii uwezo wao mdogo sana, na ndiyo maana pia mbunge wa Mkuranga akawa Rais wao . Bado wanasitahili kuwa koloni la Tanganyika.
 
Back
Top Bottom