Tunasonga mbele hakuna kurudi nyuma. Huyu Sultan Jamshid mwambieni @#%&mae
baadhi ya picha za huko nyuma zaonyesha kuwa hakuna makubwa sana mabadiliko yoyote yaliyopatikana. Visiwa hivyo vimekwama katika historia, Seychelles na Mauritius vilivyojikomboa karibu wakati mmoja viko mbele sana zaidi ya visiwa vyetu hapa. wakandamizaji na mabwanyenye wa Kiarabu wamekuwa replaced na wale wa Kiafrika, ingawa hawa wanavaa suti za Kizungu. Visiwa hivi ni mfano mzuri wa uduni wa maendeleo ya nchi iliyojikomboa kwa umwagaji mkubwa wa damu.

Kweli kabisa Zak.
Hakuna kitu pale isipokuwa siasa za kibabe na impunity iliyokithiri, na kujisifu majukwaani eti kuna maendeleo. Wakazi wengi wana dhiki k\ubwa kimaisha, wengine wanaume wazima hujifunga kanga kiunoni kwa ufukara.