Zanzibar kabla ya 1964

Tunasonga mbele hakuna kurudi nyuma. Huyu Sultan Jamshid mwambieni @#%&mae
 
baadhi ya picha za huko nyuma zaonyesha kuwa hakuna makubwa sana mabadiliko yoyote yaliyopatikana. Visiwa hivyo vimekwama katika historia, Seychelles na Mauritius vilivyojikomboa karibu wakati mmoja viko mbele sana zaidi ya visiwa vyetu hapa. wakandamizaji na mabwanyenye wa Kiarabu wamekuwa replaced na wale wa Kiafrika, ingawa hawa wanavaa suti za Kizungu. Visiwa hivi ni mfano mzuri wa uduni wa maendeleo ya nchi iliyojikomboa kwa umwagaji mkubwa wa damu.
 
Kweli kabisa Zak.
Hakuna kitu pale isipokuwa siasa za kibabe na impunity iliyokithiri, na kujisifu majukwaani eti kuna maendeleo. Wakazi wengi wana dhiki k\ubwa kimaisha, wengine wanaume wazima hujifunga kanga kiunoni kwa ufukara.
 
[video=dailymotion;x5qses]http://www.dailymotion.com/video/x5qses_the-1964-zanzibar-massacre-arabs-ma[/video]
 
baadhi ya picha za huko nyuma zaonyesha kuwa hakuna makubwa sana mabadiliko yoyote yaliyopatikana. Visiwa hivyo vimekwama katika historia, Seychelles na Mauritius vilivyojikomboa karibu wakati mmoja viko mbele sana zaidi ya visiwa vyetu hapa. wakandamizaji na mabwanyenye wa Kiarabu wamekuwa replaced na wale wa Kiafrika, ingawa hawa wanavaa suti za Kizungu. Visiwa hivi ni mfano mzuri wa uduni wa maendeleo ya nchi iliyojikomboa kwa umwagaji mkubwa wa damu.

Zanzibar ilijikombowa kutoka mikononi mwa Waarabu na kuanza kuendelea na maendeleo yalisita pale Karume alipokufa .Ukaja utawala mwengine ulioitwa CCM chuini ya kisingizio cha Muungano na kwa bahati mbaya ni kuwa utawala wa sasa una lemgo lake Kuzuia maendeleo ya Zanzibar unategemea mabadiliko hapo.
 
Kweli kabisa Zak.
Hakuna kitu pale isipokuwa siasa za kibabe na impunity iliyokithiri, na kujisifu majukwaani eti kuna maendeleo. Wakazi wengi wana dhiki k\ubwa kimaisha, wengine wanaume wazima hujifunga kanga kiunoni kwa ufukara.

Siasa za kibabe bado zinaendelea kwa Wa Zanzibar kujikomboa kutoka katika utawala wa Kitanganyika na Muungano fake wa bandia wa Zanzibar wasingeweza kupata dhiki na maisha duni kama wavamizi wa kigeni kwenda katika nchi yao kufanya Njama za kijeshi kulipindua Taifa lao la Jamhuri ya watu wa Zanzibar!!! Serikali ya Jamhuri ya watu wa Zanzibar iliweza kupata maendeleo mengi tu kwa nchi yao baada ya kupewa uhuru wao kutoka kwa British Monarchy mnamo 10 DECEMBER 1963 na Wa Zanzibar waliweza kupata kiti chao ndani ya United Nation!!!Wa ZANZIBARI Walizidi kuendeleza nchi yao huru hadi hapo January 1964 wakatokea watu wabaya na ma jeolus kwa wazanzibar akina Nyerere na Okello na Ma gaidi wengine wa kigeni wakapanga njama zao na kumdanganya karume na wazanzibar kidogo tu na kwenda kufanya Genocide na mauwaji ya kikatili huko zANZIBAR!!!! 95% ya Wa Zanzibar walikataa njama hizo na hatimaye Wazanzibar wengi sana nao walipoteza maisha yao katika Taifa lao wenyewe siku ya 12 jan 1964!!!
Always Wazanzibar asili wana amini kuwa wao sio waliofanya mambo yale ile siku ya Mapinduzi fake 12 jan 1964 ya kulipoteza Taifa lao na Kunufaisha wengine:target:

New Generation ya Wa Zanzibar na Serikali yao GNU wamejipanga na wako makini
Kulirudisha Taifa lao na hadhi yake kama lilivyokuwa hapo awali kabla ya 1964!!! na wamebakisha mambo kidogo tu machache ya kurekebisha Muungano wa haki kama mataifa mengine yaliyoungana duniani Wa Zenji wanataka kuona serikali 3 kuona serikali ya wa TANGANYIKA au kuvunja muungano:A S clock:
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom